Igunga: Jinsi wakala wa CHADEMA alivyouliwa...

Taarifa rasmi inaeleza kuwa Marehemu Mbwana Masoud, aliekuwa Wakala wa CDM kutokea Ubungo DSM, alipotea tar 2/10/2011, siku ya uchaguzi, lakini ukweli ni kuwa siku hiyo ndiyo ilipogundulika kuwa amepotea baada kuhitajika kupelekwa kituoni kwake na kukosekana.

Hali halisi ni kuwa Mbwana Masoud usiku wa tar 1/10/2011 (Mkesha wa kuamkia siku ya uchaguzi) baada ya kula chakula cha jioni alitoka kunyoosha miguu, ingawa palitolewa Hali ya tahadhari lakini hali ilionekana iko shwari. Kumbe kulikuwa na kundi la mabaunsa wanne wa CCM wakimfuatilia, na inaelekea walikuwa wakiwasiliana kwa simu na gari lao, kwani mara walipomvamia, tena mbele za watu, gari hilo aina ya L/Cruiser Hardtop jeupe lenye namba T***ARD, mali ya CCM, Mara nyingi katika kipindi cha kampeni hizi lilikuwa likitoka usiku na mchana huwa linapaki, dereva wake ni yule alieshiriki kuwapiga mabapa ya mapanga wana CDM waliokuwa wakidai matokeo ya uchaguzi yatangazwe.

Ingawa Mbwana alijitahidi kujitetea asichukuliwe lakini alizidiwa nguvu, alijaribu kupiga kelele kuomba msaada lakini alipigwa kabari ya nguvu, kabla ya watu waliokuwa karibu hawajajua la kufanya (kwani tukio lenyewe lilifanywa kwa kasi, pia walijifanya kama ni watu wanaofahamiana ila wana mzozo fulani) walimtia kwenye gari Hilo na kuondoka nae kwa kasi kuelekea upande wa Mwanzugi.

Mafedhuli hao wa CCM, Mateso waliyomtesa Mbwana Masoud kabla ya kumtoa roho ni Mungu na wao wenyewe ndio wanajua, lakini kwa jinsi hali ya maiti yake ilivyokutwa baada ya kutupwa kwenye vichaka karibu na Magereza siku ya tar 9/10/2011 inaonesha dhahiri unyama aliofanyiwa hata huko Somalia walikozoea kuuana hakuna unyama wa aina hii.

Alikutwa na suruali tupu bila shati, SHINGO YAKE ILIKUWA IMEVUNJWA KWA NGUVU, MACHO YAKE YAMETOBOLEWA NA HAYAONEKANI, KICHWA CHAKE KIMEPASULIWA KWA NYUMA CHINI YA KISOGO, KIFUA CHAKE KIMEBABUKA KAMA VILE AMEMWAGIWA AINA FULANI YA TINDIKALI, mwili wake unaonesha alipigwa sana kabla kuuawa kinyama.

Kilichotushangaza ni kuwa mwili huo uliotupwa hapo unaonesha dhahiri hakuuliwa siku hiyo ya tar 9/10, lakini haukuwa umevimba Kama kawaida bali ulikuwa unaonesha dhahiri kuwa ulitiwa dawa ya kuhifadhia maiti, kwa vyovyote vile wauaji wake hawakuwa majambazi wa kawaida wa mtaani ambao huua na kuishia zao, bali ameuliwa na Organization kamili yenye motive ya kuua wakala wa CDM, ikumbukwe kwamba Serkali ya CCM awali ilitangaza kukataza mawakala kutoka nje ya jimbo, baada Wakili Tundu Lissu kwenda kumfundisha sheria Msimamizi wa Uchaguzi Igunga, ndipo wakaruhusiwa kwa shingo upande, lakini njiani walisumbuliwa sana na maaskari kwa maelekezo ya wakubwa w CCM.

Alitekwa ili kuwatisha mawakala wengine waogope kuwajibika, uongozi wa CDM ulitumia busara kutopiga kelele na badala yake kwenda kutoa taarifa Polisi kimyakimya, ingawa Polisi yenyewe haikuchukua hatua yoyote ya msako, mawakala wa CDM waliwajibika vilivyo vituoni na hakuna kura iliyoibiwa, ikabidi Serkali iisaidie CCM ishinde kwa nguvu kwa kuwazuia maelfu ya Vijana waliofika vituoni kupiga kura ingawa walipoteza shahada zao, kwa kujaza form No 17, mwanzo waliwaruhusu kupiga kura Kama sheria inavyotaka, lakini walipoona wanazidi kuwa wengi, ilipofika saa 4 asubuhi Mkurugenzi aliagiza wasiruhusiwe kupiga kura, wakafukuzwa, wengine hawakukuta majina yao kwenye daftari, wengine walikataliwa kupiga kura kwa kuwa waliorodheshwa kuwa wamekufa! Just imagine unaenda kituoni na shahada yako kupiga kura unazuiwa usipige kwa sababu wewe umeshakufa!

Haya; pamoja na kutumia vibaya mahindi ya msaada kama rushwa siku moja kabla uchaguzi, na kampeni potofu siku ya uchaguzi kuwa mgombea wa CDM amejitoa kwa hiyo haina haja kumpigia kura, ndiyo yalichangia ushindi kiduchu wa CCM.

Nirudi kwenye mada ya msingi ya mauaji, nisameheni najichanganya kwani Nina machungu mengi, Maiti ya Mbwana Masoud ilipookotwa, ilikutwa na kipande cha karatasi ambacho wauaji walitaka iaminike kuwa marehemu aliiandika baada ya kuuawa akitaja majina ya waliomuua, Polisi waliipuuza karatasi hiyo ingawa bado wanaishikilia, inazidi tu kuthibitisha kuwa wauaji wamejaribi kuficha kitendo chao na hivyo kukamilisha misingi ya First Degree Murder!

CCM Arusha iliua kwa kutumia Polisi wa serkali yake, lakini Igunga CCM imeua kwa kutumia Mungiki wake iliowalipa na kutumia gari lake, gharama zitokanazo na kodi zetu, Masoud akiwemo.

Salaam kwenu enyi Wauaji CCM, mnahubiri Amani na Utulivu majukwaani lakini Mikono yenu imetapakaa Damu ya wasio na Hatia, hakuna waliofanya hivyo wakafanikiwa mafanikio ya kudumu, mmepata Spasmodic Victory lakini Hakika mtaSuffer Eternal, Shameful Defeat!

Enyi wauaji CCM, Salaam kwenu kutoka kwa maelfu ya vijana wa Igunga waliodhulumiwa haki Yao ya kupiga kura kwa makusudi, Tunawaambia, Sukilizeni Vizuri enyi Mafedhuli, Haki itatendeka Igunga, however long it might take, lakini HAKI LAZIMA ITATENDEKA TU!

Tunajua hamuamini Mungu Enyi Wauaji na Wazinzi wa Wake za Watu, lakini Mungu alishasema " HAKI IKIDHIHIRI, BATILI HUJITENGA, HAKIKA BATILI NDIO HUJITENGA!" Kama mnajidai hamumuamini wala kumuogopa Mungu basi Hakika Mtakumbana na Nguvu za Umma ambazo ni Kubwa kuliko nguvu za Dola!

Umma wa Igunga una Hasira na Nyie Mafedhuli wakubwa, mnajua, Mbona hamkusherehekea vilivyo ushindi wenu hapa Igunga? Mlilipua fastafasta mkaenda kusherehekea Singida na Dar ambako mlifanya sherehe kubwa na maandamano ya kumpokea Mbunge wenu wa huko mliekuja kumtengenezea Igunga.
Yeyote asije akajali kwa kufikiri hili litapita! vita ndiyo imeanza hivyo! Ninajua comments nyingi za hasira zimefutwa! lakini swali tufanye nini ndilo linalopaswa kutinga hapa!
Miye sasa hivi ninatafuta balozi na taasisi zote za kimataifa ili waelewe unyama huu! wa hawa MBWA wanaojikomba na kutembeza bakuli kwa ajili ya watanzania wanaowaua.
 
Sisiem inatupeleka kubaya hakika!
>>> Wamepandikiza mbegu ya udini maskini WAISLAM wanatumika vibaya bila wao kujua utafikiri hawaoni nchi ilivyoyumba?!
>>> Wamepandikiza ukabila Magamba hawa! Eti chama fulani cha kidini wana majambia, mara chama kingine cha kabila fulani hii yote kuua demokrasia.
>>> sasa wamekuja na staili ya kuua watu Mungu watazame kwa macho ya ukali!
HIVI SISIEM wanafikiri kuna ufalme fedhuli ulizaliwa ukaishi milele.....Wewe waache hawajui NGUVU YA UMMA! Waambieni wamtazame GADAFI yuko wapi? Na hizo pesa walizoficha nje watazileta hakika....>>> na Kwenye mahandaki watajificha kama hawatabadilika hakika!
 
Taarifa rasmi inaeleza kuwa Marehemu Mbwana Masoud, aliekuwa Wakala wa CDM kutokea Ubungo DSM, alipotea tar 2/10/2011, siku ya uchaguzi, lakini ukweli ni kuwa siku hiyo ndiyo ilipogundulika kuwa amepotea baada kuhitajika kupelekwa kituoni kwake na kukosekana.

Hali halisi ni kuwa Mbwana Masoud usiku wa tar 1/10/2011 (Mkesha wa kuamkia siku ya uchaguzi) baada ya kula chakula cha jioni alitoka kunyoosha miguu, ingawa palitolewa Hali ya tahadhari lakini hali ilionekana iko shwari. Kumbe kulikuwa na kundi la mabaunsa wanne wa CCM wakimfuatilia, na inaelekea walikuwa wakiwasiliana kwa simu na gari lao, kwani mara walipomvamia, tena mbele za watu, gari hilo aina ya L/Cruiser Hardtop jeupe lenye namba T***ARD, mali ya CCM, Mara nyingi katika kipindi cha kampeni hizi lilikuwa likitoka usiku na mchana huwa linapaki, dereva wake ni yule alieshiriki kuwapiga mabapa ya mapanga wana CDM waliokuwa wakidai matokeo ya uchaguzi yatangazwe.

Ingawa Mbwana alijitahidi kujitetea asichukuliwe lakini alizidiwa nguvu, alijaribu kupiga kelele kuomba msaada lakini alipigwa kabari ya nguvu, kabla ya watu waliokuwa karibu hawajajua la kufanya (kwani tukio lenyewe lilifanywa kwa kasi, pia walijifanya kama ni watu wanaofahamiana ila wana mzozo fulani) walimtia kwenye gari Hilo na kuondoka nae kwa kasi kuelekea upande wa Mwanzugi.

Mafedhuli hao wa CCM, Mateso waliyomtesa Mbwana Masoud kabla ya kumtoa roho ni Mungu na wao wenyewe ndio wanajua, lakini kwa jinsi hali ya maiti yake ilivyokutwa baada ya kutupwa kwenye vichaka karibu na Magereza siku ya tar 9/10/2011 inaonesha dhahiri unyama aliofanyiwa hata huko Somalia walikozoea kuuana hakuna unyama wa aina hii.

Alikutwa na suruali tupu bila shati, SHINGO YAKE ILIKUWA IMEVUNJWA KWA NGUVU, MACHO YAKE YAMETOBOLEWA NA HAYAONEKANI, KICHWA CHAKE KIMEPASULIWA KWA NYUMA CHINI YA KISOGO, KIFUA CHAKE KIMEBABUKA KAMA VILE AMEMWAGIWA AINA FULANI YA TINDIKALI, mwili wake unaonesha alipigwa sana kabla kuuawa kinyama.

Kilichotushangaza ni kuwa mwili huo uliotupwa hapo unaonesha dhahiri hakuuliwa siku hiyo ya tar 9/10, lakini haukuwa umevimba Kama kawaida bali ulikuwa unaonesha dhahiri kuwa ulitiwa dawa ya kuhifadhia maiti, kwa vyovyote vile wauaji wake hawakuwa majambazi wa kawaida wa mtaani ambao huua na kuishia zao, bali ameuliwa na Organization kamili yenye motive ya kuua wakala wa CDM, ikumbukwe kwamba Serkali ya CCM awali ilitangaza kukataza mawakala kutoka nje ya jimbo, baada Wakili Tundu Lissu kwenda kumfundisha sheria Msimamizi wa Uchaguzi Igunga, ndipo wakaruhusiwa kwa shingo upande, lakini njiani walisumbuliwa sana na maaskari kwa maelekezo ya wakubwa w CCM.

Alitekwa ili kuwatisha mawakala wengine waogope kuwajibika, uongozi wa CDM ulitumia busara kutopiga kelele na badala yake kwenda kutoa taarifa Polisi kimyakimya, ingawa Polisi yenyewe haikuchukua hatua yoyote ya msako, mawakala wa CDM waliwajibika vilivyo vituoni na hakuna kura iliyoibiwa, ikabidi Serkali iisaidie CCM ishinde kwa nguvu kwa kuwazuia maelfu ya Vijana waliofika vituoni kupiga kura ingawa walipoteza shahada zao, kwa kujaza form No 17, mwanzo waliwaruhusu kupiga kura Kama sheria inavyotaka, lakini walipoona wanazidi kuwa wengi, ilipofika saa 4 asubuhi Mkurugenzi aliagiza wasiruhusiwe kupiga kura, wakafukuzwa, wengine hawakukuta majina yao kwenye daftari, wengine walikataliwa kupiga kura kwa kuwa waliorodheshwa kuwa wamekufa! Just imagine unaenda kituoni na shahada yako kupiga kura unazuiwa usipige kwa sababu wewe umeshakufa!

Haya; pamoja na kutumia vibaya mahindi ya msaada kama rushwa siku moja kabla uchaguzi, na kampeni potofu siku ya uchaguzi kuwa mgombea wa CDM amejitoa kwa hiyo haina haja kumpigia kura, ndiyo yalichangia ushindi kiduchu wa CCM.

Nirudi kwenye mada ya msingi ya mauaji, nisameheni najichanganya kwani Nina machungu mengi, Maiti ya Mbwana Masoud ilipookotwa, ilikutwa na kipande cha karatasi ambacho wauaji walitaka iaminike kuwa marehemu aliiandika baada ya kuuawa akitaja majina ya waliomuua, Polisi waliipuuza karatasi hiyo ingawa bado wanaishikilia, inazidi tu kuthibitisha kuwa wauaji wamejaribi kuficha kitendo chao na hivyo kukamilisha misingi ya First Degree Murder!

CCM Arusha iliua kwa kutumia Polisi wa serkali yake, lakini Igunga CCM imeua kwa kutumia Mungiki wake iliowalipa na kutumia gari lake, gharama zitokanazo na kodi zetu, Masoud akiwemo.

Salaam kwenu enyi Wauaji CCM, mnahubiri Amani na Utulivu majukwaani lakini Mikono yenu imetapakaa Damu ya wasio na Hatia, hakuna waliofanya hivyo wakafanikiwa mafanikio ya kudumu, mmepata Spasmodic Victory lakini Hakika mtaSuffer Eternal, Shameful Defeat!

Enyi wauaji CCM, Salaam kwenu kutoka kwa maelfu ya vijana wa Igunga waliodhulumiwa haki Yao ya kupiga kura kwa makusudi, Tunawaambia, Sukilizeni Vizuri enyi Mafedhuli, Haki itatendeka Igunga, however long it might take, lakini HAKI LAZIMA ITATENDEKA TU!

Tunajua hamuamini Mungu Enyi Wauaji na Wazinzi wa Wake za Watu, lakini Mungu alishasema " HAKI IKIDHIHIRI, BATILI HUJITENGA, HAKIKA BATILI NDIO HUJITENGA!" Kama mnajidai hamumuamini wala kumuogopa Mungu basi Hakika Mtakumbana na Nguvu za Umma ambazo ni Kubwa kuliko nguvu za Dola!

Umma wa Igunga una Hasira na Nyie Mafedhuli wakubwa, mnajua, Mbona hamkusherehekea vilivyo ushindi wenu hapa Igunga? Mlilipua fastafasta mkaenda kusherehekea Singida na Dar ambako mlifanya sherehe kubwa na maandamano ya kumpokea Mbunge wenu wa huko mliekuja kumtengenezea Igunga.

Dah! poleni sana CDM, lakini tuombe msikatishwe tamaa na haya yote yanayotokea, bali iwe ni changamoto kwa chaguzi zijazo. CDM daima.
 
Kipindi cha kampeni Igunga ilitokea tafrani DC akavuliwa ushungi tu CCM+ BAKWATA wakatoa matamko mengi ikiwa pamoja na kusomwa kwa dua mbaya kama Chadema wasingeomba radhi.
Sasa hili ni zito tena sana la mauaji ya ndugu yetu Masoud Mbwana aliejitolea kwenda kulinda haki ya wana Igunga, mauaji ya kutisha na ya kinyama yaliyofanywa na watu wenye nia mbaya kwa taifa letu. Sasa na hapa napo tunataka tamko na ile DUA kama ni kweli hapa ndipo mahala pake ili wahalif wajulikane na hukumu ifanyike hapahapa.
Hivi ingekuwaje huyu Mbwana Msoud ingedaiwa kuuawa na wafuasi wa Chadema. Kwanza taarifa za habari zingesikika zikitoa tamko la serikali. Pili BAKWATA wangetumia tuu hata jina la Mbwana Masoud kwamba ni Muislam na Chadema wameua Muislam. Wanazuoni wangetoa tamko. Najaribu kufikiria tu
 
inasikitisha sana kwa kweli!mungu na awalaani waliohusika na huu unyama..R.I.P MASOUD
 
Marehemu Masoud apate raha ya milele na apumzike kwa amani.

BAKWATA wataoe tamko kwa vile aliyeuawa ni mwislamu kama wakishindwa kuna waislamu walio bora kuliko wengine.

Sisiemu mulianza kuuana wenyewe kwa wenyewe tangu siku nyingi na mnaendelea mpaka leo, sasa hiyo dhambi inawashabmbulia kwa kuwaua hata watu wadogo kama Masoud (rip). Serikali yenu inatakiwa ijituzulu kwa vile ninyi sasa mikono yenu inadamu nyingi na hizi damu zinamlilia MUNGU kwa kutafuta haki na ukweli.

Kwa vyama vya siasa na visivyo , kukaa kimya kwa muuaji wakati unamwona na unamfahamu bila kumzuia au kumweka hadharani nidhambi na wewe u mshiriki wa dhambi hiyo kwa kukaa kimya. Pigeni kelele mpka sauti ifike miisho ya dunia. Tusisubiri waguse wapenzi wenu tu.
 
Kwa hali kama hii tunapata uhakika kwamba jeshi la polisi pamoja na vyombo vyote vya ulinzi na usalama haviko kwa maslahi ya watanzania wote.

Na ndio maana kiongozi wa ccm anaweza kusimama jukwaani mbele ya vyombo vya habari na kutangaza kwamba nchi hii ina wenyewe, na wenyewe ni ccm na asichukuliwe hatua yoyote.

Hawa ccm wanajaribu kutugawa sana watanzania, nadhani kuna faida kubwa wanayoipata kwa kuleta mifarakano na ubaguzi miongoni mwa wananchi.

Wanatumia vyombo vya dola, asasi za kiraia, asasi za kidini, viongozi wa serikali pamoja na viongozi wa kidini kutugawa watanzania kwa nia yao ovu ya kuendelea kututawala bila ridhaa yetu.

Kama jeshi la polisi linataka liendelee kuaminiwa na wananchi ni lazima libadilike, lifanye kazi kitaalamu, liache kuinyenyekea ccm, litambue kwamba nchi hii ni yetu sote na kila mmoja anastahili haki yake ya kuishi na hakuna mtu awaye yeyote anaweza kuondoa uhai wa mwenzake kwa kisingizio chochote.

Hali hii ya watu kuuawawa kiholela na jeshi la polisi kutokuchukua hatua ikiendelea namna hii, tusishangae siku moja tukishikiana mapanga, mikuki na mishale kwa ajili ya kulipizana kisasi.

Sasa, ili tusifike huko ni wajibu wa jeshi la polisi kujitenga na wanasiasa hawa wa CCM wasiothamini uhai wa watu zaidi ya mali zao na tamaa zao za madaraka.
Uzuri wa Watanzania si watu wa visasi, wangekuwa ni watu wa visasi basi ingeangaliwa jamaa kauawa ili mtu ashinde ubunge, hivyo kingefanyika kitu kitakacho fanya hata huyo mbunge asiweze kuingia bungeni....chinjilia mbali
 
Taarifa rasmi inaeleza kuwa Marehemu Mbwana Masoud, aliekuwa Wakala wa CDM kutokea Ubungo DSM, alipotea tar 2/10/2011, siku ya uchaguzi, lakini ukweli ni kuwa siku hiyo ndiyo ilipogundulika kuwa amepotea baada kuhitajika kupelekwa kituoni kwake na kukosekana.

Hali halisi ni kuwa Mbwana Masoud usiku wa tar 1/10/2011 (Mkesha wa kuamkia siku ya uchaguzi) baada ya kula chakula cha jioni alitoka kunyoosha miguu, ingawa palitolewa Hali ya tahadhari lakini hali ilionekana iko shwari. Kumbe kulikuwa na kundi la mabaunsa wanne wa CCM wakimfuatilia, na inaelekea walikuwa wakiwasiliana kwa simu na gari lao, kwani mara walipomvamia, tena mbele za watu, gari hilo aina ya L/Cruiser Hardtop jeupe lenye namba T***ARD, mali ya CCM, Mara nyingi katika kipindi cha kampeni hizi lilikuwa likitoka usiku na mchana huwa linapaki, dereva wake ni yule alieshiriki kuwapiga mabapa ya mapanga wana CDM waliokuwa wakidai matokeo ya uchaguzi yatangazwe.

Ingawa Mbwana alijitahidi kujitetea asichukuliwe lakini alizidiwa nguvu, alijaribu kupiga kelele kuomba msaada lakini alipigwa kabari ya nguvu, kabla ya watu waliokuwa karibu hawajajua la kufanya (kwani tukio lenyewe lilifanywa kwa kasi, pia walijifanya kama ni watu wanaofahamiana ila wana mzozo fulani) walimtia kwenye gari Hilo na kuondoka nae kwa kasi kuelekea upande wa Mwanzugi.

Mafedhuli hao wa CCM, Mateso waliyomtesa Mbwana Masoud kabla ya kumtoa roho ni Mungu na wao wenyewe ndio wanajua, lakini kwa jinsi hali ya maiti yake ilivyokutwa baada ya kutupwa kwenye vichaka karibu na Magereza siku ya tar 9/10/2011 inaonesha dhahiri unyama aliofanyiwa hata huko Somalia walikozoea kuuana hakuna unyama wa aina hii.

Alikutwa na suruali tupu bila shati, SHINGO YAKE ILIKUWA IMEVUNJWA KWA NGUVU, MACHO YAKE YAMETOBOLEWA NA HAYAONEKANI, KICHWA CHAKE KIMEPASULIWA KWA NYUMA CHINI YA KISOGO, KIFUA CHAKE KIMEBABUKA KAMA VILE AMEMWAGIWA AINA FULANI YA TINDIKALI, mwili wake unaonesha alipigwa sana kabla kuuawa kinyama.

Kilichotushangaza ni kuwa mwili huo uliotupwa hapo unaonesha dhahiri hakuuliwa siku hiyo ya tar 9/10, lakini haukuwa umevimba Kama kawaida bali ulikuwa unaonesha dhahiri kuwa ulitiwa dawa ya kuhifadhia maiti, kwa vyovyote vile wauaji wake hawakuwa majambazi wa kawaida wa mtaani ambao huua na kuishia zao, bali ameuliwa na Organization kamili yenye motive ya kuua wakala wa CDM, ikumbukwe kwamba Serkali ya CCM awali ilitangaza kukataza mawakala kutoka nje ya jimbo, baada Wakili Tundu Lissu kwenda kumfundisha sheria Msimamizi wa Uchaguzi Igunga, ndipo wakaruhusiwa kwa shingo upande, lakini njiani walisumbuliwa sana na maaskari kwa maelekezo ya wakubwa w CCM.

Alitekwa ili kuwatisha mawakala wengine waogope kuwajibika, uongozi wa CDM ulitumia busara kutopiga kelele na badala yake kwenda kutoa taarifa Polisi kimyakimya, ingawa Polisi yenyewe haikuchukua hatua yoyote ya msako, mawakala wa CDM waliwajibika vilivyo vituoni na hakuna kura iliyoibiwa, ikabidi Serkali iisaidie CCM ishinde kwa nguvu kwa kuwazuia maelfu ya Vijana waliofika vituoni kupiga kura ingawa walipoteza shahada zao, kwa kujaza form No 17, mwanzo waliwaruhusu kupiga kura Kama sheria inavyotaka, lakini walipoona wanazidi kuwa wengi, ilipofika saa 4 asubuhi Mkurugenzi aliagiza wasiruhusiwe kupiga kura, wakafukuzwa, wengine hawakukuta majina yao kwenye daftari, wengine walikataliwa kupiga kura kwa kuwa waliorodheshwa kuwa wamekufa! Just imagine unaenda kituoni na shahada yako kupiga kura unazuiwa usipige kwa sababu wewe umeshakufa!

Haya; pamoja na kutumia vibaya mahindi ya msaada kama rushwa siku moja kabla uchaguzi, na kampeni potofu siku ya uchaguzi kuwa mgombea wa CDM amejitoa kwa hiyo haina haja kumpigia kura, ndiyo yalichangia ushindi kiduchu wa CCM.

Nirudi kwenye mada ya msingi ya mauaji, nisameheni najichanganya kwani Nina machungu mengi, Maiti ya Mbwana Masoud ilipookotwa, ilikutwa na kipande cha karatasi ambacho wauaji walitaka iaminike kuwa marehemu aliiandika baada ya kuuawa akitaja majina ya waliomuua, Polisi waliipuuza karatasi hiyo ingawa bado wanaishikilia, inazidi tu kuthibitisha kuwa wauaji wamejaribi kuficha kitendo chao na hivyo kukamilisha misingi ya First Degree Murder!

CCM Arusha iliua kwa kutumia Polisi wa serkali yake, lakini Igunga CCM imeua kwa kutumia Mungiki wake iliowalipa na kutumia gari lake, gharama zitokanazo na kodi zetu, Masoud akiwemo.

Salaam kwenu enyi Wauaji CCM, mnahubiri Amani na Utulivu majukwaani lakini Mikono yenu imetapakaa Damu ya wasio na Hatia, hakuna waliofanya hivyo wakafanikiwa mafanikio ya kudumu, mmepata Spasmodic Victory lakini Hakika mtaSuffer Eternal, Shameful Defeat!

Enyi wauaji CCM, Salaam kwenu kutoka kwa maelfu ya vijana wa Igunga waliodhulumiwa haki Yao ya kupiga kura kwa makusudi, Tunawaambia, Sukilizeni Vizuri enyi Mafedhuli, Haki itatendeka Igunga, however long it might take, lakini HAKI LAZIMA ITATENDEKA TU!

Tunajua hamuamini Mungu Enyi Wauaji na Wazinzi wa Wake za Watu, lakini Mungu alishasema " HAKI IKIDHIHIRI, BATILI HUJITENGA, HAKIKA BATILI NDIO HUJITENGA!" Kama mnajidai hamumuamini wala kumuogopa Mungu basi Hakika Mtakumbana na Nguvu za Umma ambazo ni Kubwa kuliko nguvu za Dola!

Umma wa Igunga una Hasira na Nyie Mafedhuli wakubwa, mnajua, Mbona hamkusherehekea vilivyo ushindi wenu hapa Igunga? Mlilipua fastafasta mkaenda kusherehekea Singida na Dar ambako mlifanya sherehe kubwa na maandamano ya kumpokea Mbunge wenu wa huko mliekuja kumtengenezea Igunga.
Mi niliishasema toka mwanzo hawa watu sio watawala tena wa haki bali ni mamluki wauaji wakubwa wanatumia kila njia kulinda serikali yao ya kidharimu!!!!!!!! Kwa mtu mwenye akili sawasawa Igunga kunanini la ziada mpaka muwauwe watu kwa nini???????? Hao ni mabaradhuri wameishiwa sera ya kutawala nchi hii sasa ni vitisho na kuuwa watu wasio na hatia!!!!!!!!
 
Masudi umekufa katika mateso makali ukilitetea taifa lako,umekuwa shujaa wa kwanza baada ya uhuru na uvamizi wa nduli, nitauomba uongozi wa chadema uandae utaratibu mzuri wa kukuenzi na kuwa chachu ya mapinduzi ninayoyaona yakiikaribia tanganyika.

hakuna haja ya kulipiza kisasi uchunguzi huru ufanyike ili ukweli ujulikane na watanzania waeleawe ukweli,masudi wewe utakuwa Steve Biko wa enzi hizi za makuburu weusi.
Kweli Ringo uchunguzi huru ufanyike si kwa kutumia mapolisi wa maghamba bali wana harakati na wanasheria mbona wapo, wafanye hiyo kazi ukweli wa kifo cha mpambanaji wetu ujulikane hatua rasmi ziweze kuchukuliwa !!!!!!!!!!!
 
Uzuri wa Watanzania si watu wa visasi, wangekuwa ni watu wa visasi basi ingeangaliwa jamaa kauawa ili mtu ashinde ubunge, hivyo kingefanyika kitu kitakacho fanya hata huyo mbunge asiweze kuingia bungeni....chinjilia mbali
Magumu anakesi ya kujibu ubunge ameupata kwa mauaji hapa wanasheria mnasemaje?
Hili Kifumbiwa macho basi hatuna nchi.
 
Jambo moja naliamini moyoni mwangu, yote haya yana mwisho. Mwisho wake nisipouona mimi kama Masoud, watoto wangu watauona mwisho huo mwema na watajua kuwa baba yao Aweda alifia akipinga maovu haya ya ccm, kama si wao wajukuu zangu watauona mwisho huo mwema wa nchi yetu bila ccm dhalimu. mapambano lazima yaendelee, hakuna kukata tamaa.

taratibu zikoje ndugu Michael? i mean mwili utaletwa Dar? ni nini kinafuata baada ya hapa.
najua uko karibu na viongozi wengine makao makuu na pia Igunga,pls tujulisheni.
i am shocked!
 
Nimeumia sana moyoni. Poleni wafiwa. Wale waliolalama kua kwa Hijabu ya (kwanza) asie muislam kamili wako wapi? au kwa vile huyu alikua CDM ndo matamko hayatatolewa. Mh hiyo 2015 sijui wataua wangapi.
 
Hivi ingekuwaje huyu Mbwana Msoud ingedaiwa kuuawa na wafuasi wa Chadema. Kwanza taarifa za habari zingesikika zikitoa tamko la serikali. Pili BAKWATA wangetumia tuu hata jina la Mbwana Masoud kwamba ni Muislam na Chadema wameua Muislam. Wanazuoni wangetoa tamko. Najaribu kufikiria tu

Umenena. naona watawala wakiua wao matamko hakuna. watadai kwa vile alikua CDM basi na Uislam aliuacha. ndo hapo najiuliza ambao wako CDM na ni waislam wao si watu eeh. Panga la haki likate kuwili BAKWATA mko wapi.
 
Slowly the TRUE colors of CCM under JK is beginin to reveal itself. It is a begining of phase II liberation of the people of this country. Oh GOD keep the souls of those dying in the fight for true democracy in TZ in eternal PEACE!
 
Haki itendeke polisi waache uccm wafanye kazi kisheria.we're tired to see our bloods poured always down we're Tanzanian what is ccm which kills people for demands of leadership.please! LEADER of people(WS)we're read on demostrations all the country
 
Taarifa rasmi inaeleza kuwa Marehemu Mbwana Masoud, aliekuwa Wakala wa CDM kutokea Ubungo DSM, alipotea tar 2/10/2011, siku ya uchaguzi, lakini ukweli ni kuwa siku hiyo ndiyo ilipogundulika kuwa amepotea baada kuhitajika kupelekwa kituoni kwake na kukosekana.

Hali halisi ni kuwa Mbwana Masoud usiku wa tar 1/10/2011 (Mkesha wa kuamkia siku ya uchaguzi) baada ya kula chakula cha jioni alitoka kunyoosha miguu, ingawa palitolewa Hali ya tahadhari lakini hali ilionekana iko shwari. Kumbe kulikuwa na kundi la mabaunsa wanne wa CCM wakimfuatilia, na inaelekea walikuwa wakiwasiliana kwa simu na gari lao, kwani mara walipomvamia, tena mbele za watu, gari hilo aina ya L/Cruiser Hardtop jeupe lenye namba T***ARD, mali ya CCM, Mara nyingi katika kipindi cha kampeni hizi lilikuwa likitoka usiku na mchana huwa linapaki, dereva wake ni yule alieshiriki kuwapiga mabapa ya mapanga wana CDM waliokuwa wakidai matokeo ya uchaguzi yatangazwe.

Ingawa Mbwana alijitahidi kujitetea asichukuliwe lakini alizidiwa nguvu, alijaribu kupiga kelele kuomba msaada lakini alipigwa kabari ya nguvu, kabla ya watu waliokuwa karibu hawajajua la kufanya (kwani tukio lenyewe lilifanywa kwa kasi, pia walijifanya kama ni watu wanaofahamiana ila wana mzozo fulani) walimtia kwenye gari Hilo na kuondoka nae kwa kasi kuelekea upande wa Mwanzugi.

Mafedhuli hao wa CCM, Mateso waliyomtesa Mbwana Masoud kabla ya kumtoa roho ni Mungu na wao wenyewe ndio wanajua, lakini kwa jinsi hali ya maiti yake ilivyokutwa baada ya kutupwa kwenye vichaka karibu na Magereza siku ya tar 9/10/2011 inaonesha dhahiri unyama aliofanyiwa hata huko Somalia walikozoea kuuana hakuna unyama wa aina hii.

Alikutwa na suruali tupu bila shati, SHINGO YAKE ILIKUWA IMEVUNJWA KWA NGUVU, MACHO YAKE YAMETOBOLEWA NA HAYAONEKANI, KICHWA CHAKE KIMEPASULIWA KWA NYUMA CHINI YA KISOGO, KIFUA CHAKE KIMEBABUKA KAMA VILE AMEMWAGIWA AINA FULANI YA TINDIKALI, mwili wake unaonesha alipigwa sana kabla kuuawa kinyama.

Kilichotushangaza ni kuwa mwili huo uliotupwa hapo unaonesha dhahiri hakuuliwa siku hiyo ya tar 9/10, lakini haukuwa umevimba Kama kawaida bali ulikuwa unaonesha dhahiri kuwa ulitiwa dawa ya kuhifadhia maiti, kwa vyovyote vile wauaji wake hawakuwa majambazi wa kawaida wa mtaani ambao huua na kuishia zao, bali ameuliwa na Organization kamili yenye motive ya kuua wakala wa CDM, ikumbukwe kwamba Serkali ya CCM awali ilitangaza kukataza mawakala kutoka nje ya jimbo, baada Wakili Tundu Lissu kwenda kumfundisha sheria Msimamizi wa Uchaguzi Igunga, ndipo wakaruhusiwa kwa shingo upande, lakini njiani walisumbuliwa sana na maaskari kwa maelekezo ya wakubwa w CCM.

Alitekwa ili kuwatisha mawakala wengine waogope kuwajibika, uongozi wa CDM ulitumia busara kutopiga kelele na badala yake kwenda kutoa taarifa Polisi kimyakimya, ingawa Polisi yenyewe haikuchukua hatua yoyote ya msako, mawakala wa CDM waliwajibika vilivyo vituoni na hakuna kura iliyoibiwa, ikabidi Serkali iisaidie CCM ishinde kwa nguvu kwa kuwazuia maelfu ya Vijana waliofika vituoni kupiga kura ingawa walipoteza shahada zao, kwa kujaza form No 17, mwanzo waliwaruhusu kupiga kura Kama sheria inavyotaka, lakini walipoona wanazidi kuwa wengi, ilipofika saa 4 asubuhi Mkurugenzi aliagiza wasiruhusiwe kupiga kura, wakafukuzwa, wengine hawakukuta majina yao kwenye daftari, wengine walikataliwa kupiga kura kwa kuwa waliorodheshwa kuwa wamekufa! Just imagine unaenda kituoni na shahada yako kupiga kura unazuiwa usipige kwa sababu wewe umeshakufa!

Haya; pamoja na kutumia vibaya mahindi ya msaada kama rushwa siku moja kabla uchaguzi, na kampeni potofu siku ya uchaguzi kuwa mgombea wa CDM amejitoa kwa hiyo haina haja kumpigia kura, ndiyo yalichangia ushindi kiduchu wa CCM.

Nirudi kwenye mada ya msingi ya mauaji, nisameheni najichanganya kwani Nina machungu mengi, Maiti ya Mbwana Masoud ilipookotwa, ilikutwa na kipande cha karatasi ambacho wauaji walitaka iaminike kuwa marehemu aliiandika baada ya kuuawa akitaja majina ya waliomuua, Polisi waliipuuza karatasi hiyo ingawa bado wanaishikilia, inazidi tu kuthibitisha kuwa wauaji wamejaribi kuficha kitendo chao na hivyo kukamilisha misingi ya First Degree Murder!

CCM Arusha iliua kwa kutumia Polisi wa serkali yake, lakini Igunga CCM imeua kwa kutumia Mungiki wake iliowalipa na kutumia gari lake, gharama zitokanazo na kodi zetu, Masoud akiwemo.

Salaam kwenu enyi Wauaji CCM, mnahubiri Amani na Utulivu majukwaani lakini Mikono yenu imetapakaa Damu ya wasio na Hatia, hakuna waliofanya hivyo wakafanikiwa mafanikio ya kudumu, mmepata Spasmodic Victory lakini Hakika mtaSuffer Eternal, Shameful Defeat!

Enyi wauaji CCM, Salaam kwenu kutoka kwa maelfu ya vijana wa Igunga waliodhulumiwa haki Yao ya kupiga kura kwa makusudi, Tunawaambia, Sukilizeni Vizuri enyi Mafedhuli, Haki itatendeka Igunga, however long it might take, lakini HAKI LAZIMA ITATENDEKA TU!

Tunajua hamuamini Mungu Enyi Wauaji na Wazinzi wa Wake za Watu, lakini Mungu alishasema " HAKI IKIDHIHIRI, BATILI HUJITENGA, HAKIKA BATILI NDIO HUJITENGA!" Kama mnajidai hamumuamini wala kumuogopa Mungu basi Hakika Mtakumbana na Nguvu za Umma ambazo ni Kubwa kuliko nguvu za Dola!

Umma wa Igunga una Hasira na Nyie Mafedhuli wakubwa, mnajua, Mbona hamkusherehekea vilivyo ushindi wenu hapa Igunga? Mlilipua fastafasta mkaenda kusherehekea Singida na Dar ambako mlifanya sherehe kubwa na maandamano ya kumpokea Mbunge wenu wa huko mliekuja kumtengenezea Igunga.

I am completely overhwelmed by these SAD NEWS from Igunga.

I am a real man. Usually I never cries whenever I hear or see horrible things etc. I remember to cry when my mommy died about 10 years ago! But this Igunga KILLING executed by CCM made me cry this morning!

Nasikitika kuanza na Kiingereza wakti mwingine huwa naona Kiingereza kina maneno mazuri na mafupi ya kufikisha message kuliko Kiswahili chetu. Jamani hakika nimesikitishwa sana na habari hizi za MAUJI YALIYOFANYWA NA WAUAJI WA CHAMA TAWALA-CCM. Hakika hii inatoa picha kuwa mwaka 2015 HII TANZANIA YETU ITAWAKA MOTO TUPENDE TUSIPENDE. Yale yaliyotokea Kenya kwenye Uchaguzi wa 2007 yatatokea Tanzania. Believe me. Labda tu Mungu wa Mbinguni aingilie kati na mambo yafuatayo yawe yamefanyika kabla ya GE-2015:
  1. Kwamba ifikapo mwaka 2015 TUWE TAYARI TUMEPATA KATIBA MPYA ambayo itakuwa imeunda TUME MPYA YA UCHAGUZI AMBAYO NI HURU NA HAKI ambayo haitapendelea Chama Tawala kama ilivyo sasa.
  2. Kwamba ifikapo mwaka 2015 kwa hali kinayoenda nayo Chama Twawala-CCM KITAKUWA KIMEPOTEZA MVUTO kwa Watanzania walio wengi na hakitafurukuta kwenye Uchaguzi huo wa 2015.
  3. Kwamba ifikapo mwaka 2015 Watanzania walio wengi watakuwa WAMEPATA ELIMU YA URAIA kwa maana ya kujua HAKI ZAO ZA URAIA na HAKI ya kupiga kura kuchagua mtu,sera na chama wanachokipenda.
  4. Kwamba CHADEMA kitakuwa tayari kitakuwa KIIMESHAJIIMARISHA MPAKA VIJIJINI kwa maana ya kuwa na WANACHAMA HAI ambao watakipigia kura CHADEMA ili kichukue nchi.
Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Igunga kwa hakika umetufungua macho Watanzania tulio wengi na kutuonyesha preview(picha) ya AINA YA CHAMA TAWALA TULICHO NACHO na mwelekeo wake halisi kwa siku zijazo hasa kitakachotokea mwaka 2015. Kwamba CCM NI WAUAJI. Kwamaba CCM wakotayari KUTOA UHAI WA MTU ili tu wapate madaraka na kushika dola. Kwamba CCM wako tayari kutumia hata majeshi ya KUKODI wakiona kuwa JESHI LA POLISI,UWT na TPDF wameshindwa kutii AMRI ZAO ZA KUUA kama ilivyotokea ARUSHA baada ya Uchaguzi wa Meya wa JIJI LA Arusha.

Hakika hii haikubali kwa sasa na haitakubaliki kwa Chaguzi zijazo na ya GE-2015. CCM tunawapa WARNING KWAMBA WAACHE UBABE WAO VINGINEVO TANZANIA HAITATAWALIKA 2015.Take it from me CCM ndio watakao haribu AMANI YA TANZANIA!

Kama CCM wameanza kurogana na kuuana wao kwa wao kwasababu ya URAIS WA MWAKA 2015 basi tujue kuwa HATUKO SALAMA HATA KIDOGO. WAKISHAMALIZANA WAO WATAGEUKIA VYAMA VYA UPINZANI ILI KUTIMIZA AZMA NA MALENGO YAO.

Shime Watanzania wenzangu TUUKATAE UJINGA NA UDIKTETA WA CHAMA TWAWALA. Sasa LAZIMA TUSEME CCM BASI maana HAWANA HATI MILIKI YA KUTAWALA TANZANIA MILELE.
 
Back
Top Bottom