IFM sio Chuo???

safi kaka mkubwa umetisha sanah..ifm hakiwez kuwa chuo!! watu wako pale ki-fashion zaid na wala sio kusoma!!!
 
Naona hapa watu wanabishana sana ila kabla ya kubisha hebu pitia vile vitabu vya TCU vyenye maelezo ya vyuo IFM imeandikwa kuwa ni Non University ila waweza nielimisha zaidi
 
acha kujitia moyo wewe..kama unasoma ifm jua kuwa umepotea...afadhali kidogo ungekuwa unasoma TIA au IAA ningekuelewa na wala sio IFM..kama unataka kujua IFM wanachaguliwaga wanafunzi wa aina gani nenda kwenye kitabu cha TCU kaangalie cut-off points zao utaona na utajua kuwa IFM wanaendaga wanafunzi waliopata ngapi form 6!!!! usibishane kitu kama uwezo wako wa kujua mambo mdogo
 
Bajabiri habari za siku nyingi mkuu,lakini nasikia siku hizi hakitoi hizo A-Diploma AU ULIMAANISHA NINI MKUU

salama mdau,,,simaanishi diploma hii tuijuayo,namaanisha kuwa tumeathiriwa na kusoma kwa ajili ya vyeti kuliko kusoma kwa ajili ya maarifa,,,,,ila pia tupo makini kuangalia umesoma nini kuliko unajua nini????
 
Last edited by a moderator:
kusoma tunasoma tenah sana 2 mkuu...ila lazima tuwape changamoto kidogo wale wanafunzi wa (institute of fashion and modelling).(ifm)
 
Niliwahi kusikia habari mbalimbali kutoka kwenye source mbalimbali, inasemekana ubora wa chuo unategemea sana ni taaluma gani inazungumziwa hapa.Kuna baadhi ya fani mfano Uhasibu,Fedha na masoko (Mzumbe university),Uhandisi na sheria (UDSM), Udaktari (Muhimbili ...), Kilimo (SUA ).Ingawa kwa mtazamo wangu chuo bora TZ kimetokana na Mazingira ya chuo, Ubora wa wahadhiri, background za wanafunzi na facilities.Kigezo sio kuwa na majengo mazuri au kuwa karibu na mjini tuu.
 
Sijui kwa nini mnakichukia Chuo hicho mpaka tafsiri ya Chuo hicho mnaibadili (Chuo cha USIMAMIZI wa Fedha)
kwanini mnataka kulinganisha na wanaochukua sanaa au ufundi mchundo UDSM
au umeneja na ukurugenzi kenye Vyuo km Mzumbe?
kuna madawa na kompyuta UDOM kote huko ukimaliza huwezi pewa Uhasibu katika benki yoyote sanasana ni afisa mikopo au Umeneja kwa muda lakini banking ipo IFM
Uhuni au umalaya ni Hobby ya mtu hivi ni Chuo gani hakina tabia za kununua paper au kumhonga Lecture wapate hizo paper?
Ni Chuo pekee kilichokuwa kikitoa CPA tangu miaka ya 1979 na ndio maana wahindi na wenye Pesa wanasoma Chuo hicho wakitarajia kwenda fanya Biashara ya fedha
Nina majina ya watoto waliomaliza form IV wakapata Div II wamepangiwa hapo baada ya kukosa mikopo, msiwavunje mioyo kwani baada ya masomo wana uhakika 100% ya kupata kazi za Uhasibu kuliko wanaomaliza Sheria Vyuo vyote wanashinda majumbani na Mahakamani kusubiri wenye kesi za jinai wawahonge, au kwenda kuwasaidia mawakili
au uwalinganishe na wahandisi wanaoshinda kwenye makampuni ya watu binafsi bila ya uhakika huwezi linganisha na hao wafunga tai, na wasichana warembo wahasibu
 
ile ni institute na weng wanaoenda pale full ubishoo af na pepa zao very simple na best angu yupo pale yaan cjaanza chuo ila maswali nilijibu karibu yote had yeye alishangaa akaniona najua kumbe hakuna kitu pepa yenyewe easy af watu kibao kuna facult inaitwa social protection wamepelekwa na tcu wakat hawakujaza na co wa 2ndround......kielimu ifm ipo chini aisee co kama udsm.sua.mzumbe etc
 
Wewe ulieleta hii mada ni pumbavu ongea huku ukihusisha kichwa hao ni tcu ndo waliowapeleka huko na sio ifm ,wewe umechaguliwa wap kwanza angalia usije uka disco huko uendako maana unaonekana ni kilaaaza yaani BONGO LALA
 
IFM sio chuo kikuu kwa taarifa yako....hiyo ni INSTITUTE au taasisi tu..inatoa NON DEGREE PROGRAMMES...ukisoma pale elimu yako haitambuliki kwa kiwango cha degree ULIMWENGUNI,,kama unabisha kisome kitabu cha T.C.U kurasa za mwanzo mwanzo kabla ujaingia kwenye mabainisho ya couz za vyuo...USIKONDE PIGA MSULI TU,,,,ata mwana FA alisoma hapo...BEST WISHES,,,KARIBU UDSM
 
SIO CHUO 100%...IFM inatoa non degree education,,elimu yake haitambuliki kimataifa,,,soma kijitabu cha T.C.U kuna vyuo lukuki tu ambavyo vinatoa nono degree levels lakin watu waliviomba bila kujua,,,KARIBU UDSM
 
hahah dah hii tpc nmeipenda, kuna baadhi ya wa2 arguing with em is much like fighting with a pig in mud, after sometime u'll notice that he actually likes it!!
 
jamani najina Ya Second Round Robo tatu nzima wamemwagwa IFM na Hawakuichagua wengi wao....
Hii inaashiria IFM ina Mapungufu kidoogo.
na wengi waliotupiwa wana tokeo la Kuyumba yumba kana Langu..ila Ni Ntazamo Tu..anaejua Ukweli afunguke!!!
Hapo kwenye red kuna tatizo sana... Hii inatoa " reflection" halisi ya jinsi ulivyo tatizo kuzidi hata hiyo IFM uliyoifanya mada na kuileta jamvini.. Edit post yako vema halafu urudi jamvini .....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom