Hapo kwenye red kuna tatizo sana... Hii inatoa " reflection" halisi ya jinsi ulivyo tatizo kuzidi hata hiyo IFM uliyoifanya mada na kuileta jamvini.. Edit post yako vema halafu urudi jamvini .....
hyo ofic yenu inajishughulisha na utoaji wa huduma gani?
jamaa kasema ukweli !! The best Tanzania univsty ni
1. UDSM
2. SUA
3. MZUMBE
4. UDOM
Wengne mtajipangia hzo namba zinazofuata huko nyuma !! Turudi kwenye mada yetu kwa kweli ifm ni moja wapo wa vyuo vya kata tena kwa vilazaaa kabisa nyie wanafunzi wa ifm mnajua kuvaa nguo chini ya makalio so mwisho wa siku ni bora hcho chuo kingekuwa cha fashion na usharobaro wa kipumbavu ila tukirudi katika suala zima la kitabu a.k.a Elimu pale ni empty set !!
Hii ni taasisi na sio chuokikuu, ni taasisi kama uamsho
Hivi mpiga msuli... Chuo kikuu bora kwa mtazamo wako ni kipi?
IFM sio chuo kikuu kwa taarifa yako....hiyo ni INSTITUTE au taasisi tu..inatoa NON DEGREE PROGRAMMES...ukisoma pale elimu yako haitambuliki kwa kiwango cha degree ULIMWENGUNI,,kama unabisha kisome kitabu cha T.C.U kurasa za mwanzo mwanzo kabla ujaingia kwenye mabainisho ya couz za vyuo...USIKONDE PIGA MSULI TU,,,,ata mwana FA alisoma hapo...BEST WISHES,,,KARIBU UDSM
naomba kumsaidia ilo swal chuo cha UDSM na matawi yake Kama DUCE NA MUCE
Wewe wasema... Sio mpiga msuli... Manake kwake yeye hata udsm si bora.
lakin hakuna m2 asiyetaman kuwa member wa udsm hapa tz
lakin hakuna m2 asiyetaman kuwa member wa udsm hapa tz