Kushindwa kwa wasomi wachache kwenye nafasi mbali mbali za uongozi, sio justification ya kuongozwa wa watu wasioenda shule. Taifa lolote lililoendelea, ni matokeo ya matumizi ya taaluma flan katika ngazi mbali mbali za kufanya maamuzi. Hivyo kama tunapenda uongozi mimi nadhani tupambane tu kurudi shule kwani naimani kubwa kuwa katiba ijayo itatabanaisha level ya elimu inayotakiwa kwa diwani, wabunge mawaziri n.k. Katiba hii ya sasa ndiyo iliyotufikisha hapa. Inaeleza tu kwa ujumla kuwa ni mtanzania anayejua kusoma na kuandika. Yaan hata akiwa haelewi anachokisoma na kukiandika sio mbaya ilimradi tu ajue kusoma na kuandika. Hii ni weakness tu, hatuwezi kufika tuendako kwa kutohusisha elimu katika ngazi za kufanya maamuzi ya taifa hili.wasomi ni nani,siasa,usomi na uongozi wa umma ni vitu viwili tofauti usione una kidgree kimoja viwili ukaona unajua kiongozi anazaliwa si nyie mnaenda kutafuta ugali kwa gia ya mmesoma.maprofessor wangapi wameshidwa uongozi
Wanasheria!
Hatujasoma kwaajili ya ubunge siye unataka na fani yangu ya Civil nikawekwe waziri wa elimu. Wacha tubaki washauri wasomi ndio uchumi wa nchi tatizo waTZ hamjui ndo maana Mbunge analipwa ten times ya Muhandisi Mkuu sasa Majengo yataacha kuwadondokea hovyo?
Hapo mbona ndo ilikuwa mwanzo we uliishiaje mwanzo???Kwa kuishia ni huku mbele mbele kiongozi. Anyway kwa katiba iliyopo wewe unaruhusiwa pia.Je mimi niliyeishia vidudu naruhusiwa?
amnaaaa ukumbuki mrema aliwahi kuwa mbunge tmkile miposho naweza mi nataka jimbo la selasini maana jamaa aliniboa kwenye ishu ya posho...kwani lazima niwe mchaga kugombea rombo?
a university graduatekwa tafsiri yenu msomi ni nani?