Ifikapo 2015 wasomi tusiogope kugombea ubunge kupitia CHADEMA

Tanzania ni taifa lenye wasomi wa kutosha lakini cha kusikitisha ni kwamba hawa wasomi wanakua chini ya mamlaka ya mtu ambaye UWEZO F but only POLITICAL POWER,one philosopher said these words?

ALL MEN ARE INTELLECTUALS BUT NOT ALL MEN HAVE THE FUNCTIONS OF INTELLECTUALS IN THE SOCIETY"Tunao walalamikia kuwa wanatafuna nchi ya tanzania are doing so by the consent of we mass people.

Watanzania tuna false consciousness na kila tukiambiwa tunachukulia poa haki ya mung tutaangamia,mi nashauri kama wasomi kweli tunania ya kulikomboa taifa hili basi tufanye kazi yetu na tusikubali kujiingiza kwenye kundi la wachache walanchi, MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU WABARIKI WATANZANIA,TUUNGANISHE NGUVU JAMANI
 
Una hoja nzuri kijana but umesahau mfumo tendaji ndio chanzo cha yote. historia yetu ya siasa pia ni moja ya sababu za tatizo uliloliona wewe. ile dhana ya chama na serikali ndio imetufikisha hapa tulipo, wataalam si kitu mbele ya wanasiasa wetu!
 
Back
Top Bottom