Uchaguzi 2020 Je, kuna uwezekano kutangaza nia kugombea Urais kupitia CHADEMA kwa baadhi, kunatumika kama kichaka cha kujifichia aibu ya kushindwa ubunge?.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,506
113,626
Wanabodi,

Naomba kuanza na angalizo:
Hili ni bandiko la swali, kuhusu ideas ya watangaza nia wa urais Chadema. Kama una majibu, karibu uchangie. Nimeanza na angalizo hili kwasababu humu jf tumevamiwa na ma simple minds ambao kazi yao ni kujadili watu badala ya kujadili ideas!. Kumezuka mtindo wa watu kutokujadili hoja iliyo mezani na badala yake kumjadili mtoa hoja!. Tujifunze kujadili mada iliyo mezani na sio kumjadili mtoa mada.

Kuelekea uchaguzi wa 2020, imetabiriwa kuwa kwa huku Tanzania Bara, Wabunge karibu wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%, kama ilivyoshinda kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ambao ulikuwa huru na wa haki!.

Hivyo ili kuepuka kushindwa kwa aibu, jee kunauwezekano, huku kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa na vyama kugombea urais kupitia tiketi ya chadema, kwa baadhi ya wagombea, sio kweli kuwa ,wote wanataka kugombea urais kwa dhati, bali kuna baadhi wanataka kunatumia ugombea urais kama kichaka tuu cha kujifichia aibu ya kugombea na kushindwa Ubunge?, hivyo kuutumia huo ugombea urais wa kupitia Chadema as an excuse ya kutogombea ubunge?.

Au ndio wanatangaza nia ya kugombea urais kupitia Chadema ili kuutumia ugombea huo kama ngazi ya kujinusuru kipigo cha CCM kwa kuwaonyeshea wapiga kura kuwa wao ni presidential materials, hivyo kama wangeweza kuwa rais wa JMT kupitia Chadema, then ubunge ni nini compared?, hivyo kuwapa mileage zaidi ya kuchaguliwa ubunge?.

Lengo la kuuliza hivi, ni kufuatia watia nia wakizidi kumiminika Chadema licha ya kumjua mgombea wa CCM, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ni mtu wa namna gani, na amefanya nini, na wewe unajijua ni mtu wa namna gani, unawezaje kathubutu kuchukua fomu kuomba kuteuliwa Chadema kumkabili Magufuli?!.

Nilidhani wana Chadema, baada tuu ya kumsikia Tundu Lissu ametangaza nia, then haikutarajiwa kama kuna mtu mwingine yoyote wa Chadema angethubutu kuchukua fomu kwa upinzani, kushindana na Lisu, lakini kufutia upinzani legelege uliopo nchini Tanzania kiasi kwamba kwa maoni yangu, ndani ya kambi nzima ya upinzani, watu pekee ambao wanaweza kumkabili rais Magufuli na aka feel angalau ka joto joto ka uchaguzi, ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe pekee, hivyo hawa wagombea wengine wanao omba kuteuliwa Chadema, are they serious kweli wanataka kugombea kumkabili Magufuli au wanagombea tuu ili na wao kuonyeshea ni presidential materiale?!.

NB. Leo ninapozungumza haya, sii wengi wanajua kuwa kuna baadhi ya wabunge wa majimbo wa Chadema, wanaojitambua, ambao wanaijua kazi nzuri iliyotukuka ya JPM, hawatagombea tena uchaguzi wa 2020, hivyo namna nzuri ya kutogombea kwa heshima ni kugombea urais!. Lakini kwa wale ambao hawatapitishwa kwenye urais, wakiamua kuendelea kugombea ubunge, kiukweli watapata aibu ya mwaka, watashindwa kwa aibu, then bandiko hili litaeleweka baada ya matokeo ya uchaguzi Mkuu ambao upinzani utagalagazwa vibaya.

Jumatatu Njema.
Paskali
Update
Hoja yangu kumhusu Lissu katika bandiko hili, pia imeibuliwa na mwana jf huyu katika bandiko hili
Elections 2020 - Please CHADEMA, mtapata mnachokitafuta
Tupo nje ya muda, hakuna mgombea anayefaa zaidi ya Lissu, huu si wakati wa drama, Lissu ni Alasa`nte Quatara wa Tanzania, hakuna mwenye uwezo wa kum challenge Magufuli na kumwangusha kwenye uchaguzi huu zaidi ya Lissu.

Huu si muda wa Mbowe, Msigwa wala Nyalandu, huu ni muda wa Tundu Lissu.

Kosa lolote ktk uchaguzi huu unaenda kuigharimu CHADEMA na tutaishia kugawana mbao na kuitoa CCM madarakani itakuwa ndoto nawaambia kweli.

Huu mwaka ndo utaamua hatima ya Chadema vinginevyo tutagawana mbao
Naunga mkono hoja kuhusu ndio the best man wa kum challenge rais Magufuli kwasababu Lissu ni zaidi ya Magufuli katika... kama nilivyoeleza hapa
Elections 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!

However, I'd like to differ kwenye Lissu kumshinda Magufuli!. Lissu will only challenge but not to win but just to challenge na sio kumwangusha Magufuli kwasababu...

Ila hili wimbi la watia nia wa Chadema hadi Mbowe, tells me kuwa Lissu ni Just a Pacemaker and not a contender kwasababu ana mlolongo wa kesi za jinai, hivyo hii hoja yangu kumhusu Lissu na kurejea kwake, kwangu is still valid
Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela!
Usikute wanamngoja Lissu kwa hamu!, Lissu anajua!, Chadema wanajua,... wanaomsubiri arudi, watasubiri sana!.

P

Rejea
Elections 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!.

Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?

Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.

Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.

Elections 2020 - Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!
 
Watashindwa kwa kukubaliwa kwa CCM au kwa mabavu mapya ya CCM yakishirikisha dola? Nadhani Rafiki yangu unakengeuka sasa! Yellow isn't blue, I think you certainly know that! Just call a spade, spade not another version of the spoon!!
 
Acha upotoshaji wa kijinga Paskali, kwani ukitia nia ya kugombea urais ndio huwezi kugombea ubunge? Akina Kigwangalla, Makamba, Mwigulu nk wote hao walijitokeza kugombea urais wa ccm, mbona wote ni wabunge hivi sasa?
 
Wanabodi,
Kuelekea uchaguzi wa 2020, imetabiriwa kuwa kwa huku Tanzania Bara, Wabunge wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%.

Hivyo ili kuepuka kushindwa kwa aibu, jee kunauwezekano, huku kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa na vyama kugombea urais kupitia tiketi ya chadema, kwa baadhi ya wagombea, sio kweli kuwa wanataka kugombea urais kwa dhati, bali kunatumika tuu kama kichaka cha kujifichia aibu ya kugombea na kushindwa Ubunge?, hivyo kuutumia huo ugombea urais wa kupitia Chadema as an excuse ya kutogombea ubunge?.

Au ndio wanatangaza nia ya kugombea urais kupitia Chadema ili kuutumia ugombea huo kama ngazi ya kujisuru kipigo cha CCM kwa kuwaonyeshea wapiga kura kuwa wao ni presidential materials, hivyo kama wangeweza kuwa rais wa JMT kupitia Chadema, then ubunge ni nini compared?, hivyo kuwapa mileage zaidi ya kuchaguliwa ubunge?.

Lengo la kuuliza hivi, ni kufuatia watia nia wakizidi kumiminika Chadema licha ya kumjua mgombea wa CCM ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ni mtu wa namna gani, na amefanya nini, na wewe unajijua ni mtu wa namna gani, unawezaje kathubutu kuchukua fomu kuomba kuteuliwa Chadema kumkabili Magufuli?.

Nilidhani wana Chadema, baada tuu ya kumsikia Tundu Lissu ametangaza nia, then haikutarajiwa kama kuna mtu mwingine yoyote Chadema angethubutu kuchukua fomu kwa upinzani kufutia upinzani legelege uliopo nchini Tanzania kiasi kwamba kwa maoni yangu, ndani ya kambi nzima ya upinzani, watu pekee ambao wanaweza kumkabili rais Magufuli na aka feel angalau ka joto joto cha uchaguzi, ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe pekee, hivyo hawa wagombea wengine wanao omba kuteuliwa Chadema, are they serious kweli au wanagombea tuu ili na wao kuonyeshea ni presidential materiale?!

Jumatatu Njema.
P
Eti na huyu ni mwandishi wa habari!
 
Unaweza msababishia mtu ban humu jamvini.

Ila Mungu akuhurumie sana.
 
Una akili za kishamba sana !
 
Jibu Ni hili

Wabunge wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%.
 
Mimi sijawahi kukukubali hata siku moja, wanao kuona wewe kichwa huwa nawashangaa sana.

Post kama hii ni mfano wa kwamba unavimbishwa kichwa tu.

Wanabodi,
Kuelekea uchaguzi wa 2020, imetabiriwa kuwa kwa huku Tanzania Bara, Wabunge wote wa upinzani hata wakigombea tena, wataishia kupigwa chini na CCM, kufuatia kukubalika kwa CCM kwa kazi kubwa na nzuri ya kuwaletea maendeleo Watanzania inayofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano. Imetabiriwa CCM itashinda uchaguzi Mkuu ujao kwa ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9%.

Hivyo ili kuepuka kushindwa kwa aibu, jee kunauwezekano, huku kutangaza nia ya kuwania kuteuliwa na vyama kugombea urais kupitia tiketi ya chadema, kwa baadhi ya wagombea, sio kweli kuwa wanataka kugombea urais kwa dhati, bali kunatumika tuu kama kichaka cha kujifichia aibu ya kugombea na kushindwa Ubunge?, hivyo kuutumia huo ugombea urais wa kupitia Chadema as an excuse ya kutogombea ubunge?.

Au ndio wanatangaza nia ya kugombea urais kupitia Chadema ili kuutumia ugombea huo kama ngazi ya kujisuru kipigo cha CCM kwa kuwaonyeshea wapiga kura kuwa wao ni presidential materials, hivyo kama wangeweza kuwa rais wa JMT kupitia Chadema, then ubunge ni nini compared?, hivyo kuwapa mileage zaidi ya kuchaguliwa ubunge?.

Lengo la kuuliza hivi, ni kufuatia watia nia wakizidi kumiminika Chadema licha ya kumjua mgombea wa CCM ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ni mtu wa namna gani, na amefanya nini, na wewe unajijua ni mtu wa namna gani, unawezaje kathubutu kuchukua fomu kuomba kuteuliwa Chadema kumkabili Magufuli?.

Nilidhani wana Chadema, baada tuu ya kumsikia Tundu Lissu ametangaza nia, then haikutarajiwa kama kuna mtu mwingine yoyote Chadema angethubutu kuchukua fomu kwa upinzani kufutia upinzani legelege uliopo nchini Tanzania kiasi kwamba kwa maoni yangu, ndani ya kambi nzima ya upinzani, watu pekee ambao wanaweza kumkabili rais Magufuli na aka feel angalau ka joto joto cha uchaguzi, ni Tundu Lissu na Zitto Kabwe pekee, hivyo hawa wagombea wengine wanao omba kuteuliwa Chadema, are they serious kweli au wanagombea tuu ili na wao kuonyeshea ni presidential materiale?!

Jumatatu Njema.
P
 
Walio tia nia CCM mwaka 2015 hawakugombea ubunge? So wakina Msigwa hawezi gombea ubunge? Acha kutafuta sifa za kitoto humu Jf

Back
Top Bottom