Labda ni yeye mwenyewe,ila si ameshaanza kufuliaCha ajabu wengi huwa wanapotea baada ya matukio.
Wapi id ya mzee wa loliondo?
Kweli swahiba, mie nahisi ni memba wa zamani wanaamua kufungua id mpya kuendana na tukio lililopo, tukio likiisha wanaendelea na id zao za kawaida!Cha ajabu wengi huwa wanapotea baada ya matukio.
Wapi id ya mzee wa loliondo?