Tukio la Stanslaus Ishengoma kutoa tangazo la kupotea na kumtafuta jirani yake Abdallah Juma limenigusa sana sana!

NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
3,865
5,684
Nimemuona ITV kwenye kipindi cha 'YUPO WAPI?'

Anasema ni jirani yake huyo ametoweka tangu 28.2.24 bila kujulikana ameelekea wapi. Ameongeza pia kuwa mtafutwa ana tatizo la kifafa na kwamba ni majirani tu hapa mjini.

Kwa uzoefu wetu tu tunajua hapo ni watu wa imani mbili tofauti lakini wameishi vema kiasi cha mmoja kushindwa kuvumilia kutoweka kwa mwenzake.

Nafarijika kuona huku mtaani wengi tunaishi vema kabisa na ndo maana ukienda kule Kilwa ambako Waislamu ni 99% kuna 1% ya Wakristo wapo miaka na miaka.

Humu JF, kwa great thinkers, siku hizi kumetamalaki vita kubwa sana ya udini, matukio kama haya yatusaidie kuufuta huo udini.
 
Anasema ni jirani yake huyo ametoweka tangu 28.2.24 bila kujulikana ameelekea wapi. Ameongeza pia kuwa mtafutwa ana tatizo la kifafa na kwamba ni majirani tu hapa mjini...
Ameni, Mpende jirani Yako kama nafsi Yako. Na hii ndio Amri kuu ya pili ya kwanza ni Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa Mali zako zote na Nguvu zako zote.
 
Nimemuona ITV kwenye kipindi cha 'YUPO WAPI?'

Anasema ni jirani yake huyo ametoweka tangu 28.2.24 bila kujulikana ameelekea wapi. Ameongeza pia kuwa mtafutwa ana tatizo la kifafa na kwamba ni majirani tu hapa mjini.

Kwa uzoefu wetu tu tunajua hapo ni watu wa imani mbili tofauti lakini wameishi vema kiasi cha mmoja kushindwa kuvumilia kutoweka kwa mwenzake.

Nafarijika kuona huku mtaani wengi tunaishi vema kabisa na ndo maana ukienda kule Kilwa ambako Waislamu ni 99% kuna 1% ya Wakristo wapo miaka na miaka.

Humu JF, kwa great thinkers, siku hizi kumetamalaki vita kubwa sana ya udini, matukio kama haya yatusaidie kuufuta huo udini.
Mkuu, huku mtaani hatuna kabisa hayo mambo ya udini. Yaani imani zote including sisi wa imani za jadi tunaishi kwa upendo na amani kabisa. Shughuli zote za kijamii tunashirikiana vizuri kabisa, hapa JF ndio kuna baadhi ya members ni vichaa wa kiimani.
 
Kushabikia dini za kuletewa ni ujinga wa hali ya juu. Tutangulize utu kwanza.

Mababu zetu hawakuwa na dini hizi za waarabu na wazungu. Je ndio wapo wapi baada ya kifo?

Mungu yupo ila hizi dini ni project za watu.
 
Nimemuona ITV kwenye kipindi cha 'YUPO WAPI?'

Anasema ni jirani yake huyo ametoweka tangu 28.2.24 bila kujulikana ameelekea wapi. Ameongeza pia kuwa mtafutwa ana tatizo la kifafa na kwamba ni majirani tu hapa mjini.

Kwa uzoefu wetu tu tunajua hapo ni watu wa imani mbili tofauti lakini wameishi vema kiasi cha mmoja kushindwa kuvumilia kutoweka kwa mwenzake.

Nafarijika kuona huku mtaani wengi tunaishi vema kabisa na ndo maana ukienda kule Kilwa ambako Waislamu ni 99% kuna 1% ya Wakristo wapo miaka na miaka.

Humu JF, kwa great thinkers, siku hizi kumetamalaki vita kubwa sana ya udini, matukio kama haya yatusaidie kuufuta huo udini.
Kuna sehemu ametaja dini yake au ya rafikiye?
 
Mkuu unataka kumaanisha amani iwepo baina ya wakristo na hawa ndugu zetu wanaoamini ati wakiwaua "makafiri" basi watapewa mabikra 72 kama zawadi?
Mkuu idadi ya waislamu worldwide ni more than 25% ya watu wote.

Hawa watu kama wanaamini ulichokiandika kuna mtu angebaki salama?

Hii imani unayoisema inatokana na maandiko yao au unawamezesha maneno? Kama hayo maandiko yapo tunaomba na sisi tupatie tukuunge mkono katika kampeni yako hii.
 
Mapungufu gani maalimu ?! Kwamba Quran haijasema myaue makafiri ? Au hamjaahidiwa mabikra 72 na mifereji ya konyagi ?!

Magaidi bana, dini ya kutombana na kusambaza chuki.
Wahi hospital ukawaone madaktari wa afya ya akili unaweza kujiona mzima lakini akili yako haijakaa sawa wahi mapema utanishukuru.
 
Kwa hiyo kumbe nyie watu mnao amini Mungu hilo jambo ni lakushangaza kwamba mnabaguana kabisa kwa tofauti ya dini mpka tukio la bwana ishangoma limekua stori kubwa!!!!
 
Nimemuona ITV kwenye kipindi cha 'YUPO WAPI?'

Anasema ni jirani yake huyo ametoweka tangu 28.2.24 bila kujulikana ameelekea wapi. Ameongeza pia kuwa mtafutwa ana tatizo la kifafa na kwamba ni majirani tu hapa mjini.

Kwa uzoefu wetu tu tunajua hapo ni watu wa imani mbili tofauti lakini wameishi vema kiasi cha mmoja kushindwa kuvumilia kutoweka kwa mwenzake.

Nafarijika kuona huku mtaani wengi tunaishi vema kabisa na ndo maana ukienda kule Kilwa ambako Waislamu ni 99% kuna 1% ya Wakristo wapo miaka na miaka.

Humu JF, kwa great thinkers, siku hizi kumetamalaki vita kubwa sana ya udini, matukio kama haya yatusaidie kuufuta huo udini.
Maisha ya watu wenye dini tofauti, kabila tofauti na rangi tofauti kuishi na kulala nyumba moja na kitanda kimoja ni la kawaida miaka na miaka si geni.
 
Mkuu, huku mtaani hatuna kabisa hayo mambo ya udini. Yaani imani zote including sisi wa imani za jadi tunaishi kwa upendo na amani kabisa. Shughuli zote za kijamii tunashirikiana vizuri kabisa, hapa JF ndio kuna baadhi ya members ni vichaa wa kiimani.
Umesema kweli kabisa...! Mapenzi ni makubwa bila kujali Imani zetu....!
 
Unapata dharura usiku, unamgongea jirani wa imani tofauti na unapata msaada kama ambao ungeupata kwa ndugu zako wa damu. Yaani huo ubaguzi wa kiimani huku mikoani haupo kabisa, nimeishi Lindi kwa miaka kadhaa, hata kwenye sherehe zao za kidini tunaalikwa kupiga ubwabwa.
 
Back
Top Bottom