Lemme say this
JF-Expert Member
- Nov 4, 2023
- 397
- 1,064
Habarini wakuu,
Mimi jina langu, ni San na ni mgeni wa hapa JF.
Lengo langu la kujiunga hapa ni kutaka kupata maarifa na ushauri kwa baadhi ya members wa humu na pia ninapenda sana kusoma riwaya na visa vya kweli na moja ya riwaya iliyonivutia humu ni "Nilimdhania kahaba kumbe bikira" ya mkuu singanojr na true story iliyonivutia na kupelekea mpaka nimefungua ID ni hii ya mkuu INSIDER MAN aisee ni nzuri maana Kuna member wanahangaika na arosto zao
Nimekuwa nikifuatilia JF tangu mwaka Jana na leo hii nimeona nifungue ID nipate kuchangia mada na kupata ushauria pia kujirekebisha pale ninapo kosea
NB: mimi sio CCM..!!
Uzi tayari