IDs za JF na Matukio

na wasiwasi imetokana na zile tamthilia za kweny t.v

Yes,but ni ya mda mrefu sn,km ingekua ya msimu ningeianzisha wakati ule ilipokua ikirushwa ile tamthilia!but kutokana na mapnz yangu kwa mhusika nilipoamua kujiunga ika ni jina nililoona linanifaa!
 
Yes,but ni ya mda mrefu sn,km ingekua ya msimu ningeianzisha wakati ule ilipokua ikirushwa ile tamthilia!but kutokana na mapnz yangu kwa mhusika nilipoamua kujiunga ika ni jina nililoona linanifaa!

understood,have a nice time cantalisia
 
Nakumbuka hili jina kwenye zile tamthiliya za ITV/TBC za amerka kusini

Yes,nilimpenda yule mdada kwa uhusika wake na nikapenda kutumia hili jina,vp hili lako limetokana na nn au linamwakilisha na nini?
 
Back
Top Bottom