IDs za JF na Matukio

Sigma

JF-Expert Member
Feb 26, 2011
5,006
1,254
Kwa muda wa mwaka mmoja tangu nihamie hapa JF nimekuwa nikiona new members wakiingia jamvini na ID zinazoambatana na matukio ya kipindi hicho anachoji-register.
Mfano:
Janjaweed,
Rais wa migomo,
Chipolopolo,
ENDELEA............
 
Cha ajabu wengi huwa wanapotea baada ya matukio.
Wapi id ya mzee wa loliondo?
Kweli swahiba, mie nahisi ni memba wa zamani wanaamua kufungua id mpya kuendana na tukio lililopo, tukio likiisha wanaendelea na id zao za kawaida!
 
Kweli swahiba, mie nahisi ni memba wa zamani wanaamua kufungua id mpya kuendana na tukio lililopo, tukio likiisha wanaendelea na id zao za kawaida!
Ebo sweetlady, you are thoughtbroadcasting my thinking!
 
Back
Top Bottom