I hate the way I love him

Nikiamka ni mtu wa kwanza kumfikiria, nikilala ni mtu wa mwisho kumfikiria!

Ndoto zangu nyingi ni juu yake!

Nisiposikia sauti yake naumia!

Nisipopata SMS nakasirika!

Sina nguvu za kucontrol hisia zangu na sina uwezo wa kuna mficha ninavyojisikia!

It hurts so much that we are apart, ninaumia sana ninapotaka kukumbatiwa lkn naishia kukumbatia mito.

Nahisi ninaact like a school girl in love while l am a mature woman; nifanyaje?

ni upepozz tu huo utapita!!:eek2:
 
Unajiskia unavojiskia sababu unataka kujiskia hivo.
at any given time you are the master of your feelings
Umeshindwa kufuta hiyo feeling because you like it
when you'll decide to stop feeling that way, it will fade.

Waaoh, tough one!
I love being in love with him, lkn naogopa/sipendi jinsi ninavyokosa control of myself!
 
Hiyo sentensi ya mwisho Asprin, why? Kwanini mdengue tunavyowazimikia?

Nipe tips za kupenda tu bila kudondoka; maana kudenguliwa sijui kama nitakuafford! Maana kudengua ni kwetu sisi wanawake, "kanakake na kudengua" ndio msemo wa wanyamwezi.

Kwasababu tunajiaminisha kuwa hata tukivurunda mnasamehe fasta. Hamna jinsi. Kuanguka mapenzini ndo kama hivyo ufanyavyo. Kupenda ni kumtrust, kumheshimu, kumjali na kumpa nafasi. Penzi ni both way traffic bana, nipe nikupe in equal weight.
 
Waaoh, tough one!
I love being in love with him, lkn naogopa/sipendi jinsi ninavyokosa control of myself!
You only lose control because you want to.
Your idea of being in love might be linked to thinking about him
at the moment you realise that thinking of him as you do
is different from being in love with him, you'll be free again
wanawake wengi wanapenda the idea of romance/being in love
even more than the object of her affection him/herself
Just wake up and decide that you won't think of him that much.
Ukichukua uamuzi huo (na umaanishe) it will stop hapo hapo
 
Kaunga, nimeweka utani pembeni sababu ukimuona nyani mzee kama mie ujue kakwepa mishale mingi.

Ndo maana naweza kukuambia kabisa uko okay na wala hakuna la ajabu unalofanya.

Sema taabu ni hapo anapokuwa bize afu wewe una nguvu nyingi za kuongea na kuchat.

Kuna saa utaweza kujizuia kuna saa linakuja wazo la liwalo na liwe mie naanzisha maongezi.

Kuhusu wanaosema usianzishe wewe maongezi umwache aanzishe yeye, sijui labda kama uwe mzuri kwenye kupretend ila wengine hilo haliko kwenye menu yangu.

Mapenzi hayana formula wala script, kikubwa asikufanye ukapoteza uelekeo wa maisha tu kama kuacha kazi na kumfuata.
Ila haya ya kuanzisha maongezi, anzisha as much as you can, hata akijua unampenda sana so what? Wee sio wa kwanza kupenda kihivyo na wala si wa mwisho.

Kama anakuthamini hata kidogo hawezi abuse au kukubeza kisa umempeeeeenda, labda kama umependa marioo ila mwanamme wa haja huwa anaelewa.
 
Last edited by a moderator:
Mwali, sijui uko strong kiasi gani katika mahusiano, but kuishi kwingi kuona mengi.

Kuna saa unajikuta kwenye situation hata kivuli chako hakiamini kama ni wewe achia mbali nafsi inakuuliza umepoteza lini akili ya kufikiri?

So mie simshangai Kaunga, namtakia tu hayo mapenzi yamfikishe anakotaka kufika.

When you fall in love akili zingine zinakuwa kama zimekula mneli, ni utumwa wa kihisia.

Uzuri haitokei mara kwa mara na kuna baadhi ya watu hawaipati kabisa maishani.
 
Last edited by a moderator:
Nikiamka ni mtu wa kwanza kumfikiria, nikilala ni mtu wa mwisho kumfikiria!

Ndoto zangu nyingi ni juu yake!

Nisiposikia sauti yake naumia!

Nisipopata SMS nakasirika!

Sina nguvu za kucontrol hisia zangu na sina uwezo wa kuna mficha ninavyojisikia!

It hurts so much that we are apart, ninaumia sana ninapotaka kukumbatiwa lkn naishia kukumbatia mito.

Nahisi ninaact like a school girl in love while l am a mature woman; nifanyaje?

that makes the two of us!
 
Cha kufanya ni kutafuta njia ya kufikisha ujumbe wako! Hadi nakuonea huruma maana mwanamke akipenda uteseka sana. Ni vizuri ukajaribu kujizui kwani ukijionesha unampenda kupitiliza nalo ni tatizo.

Jamani dildo ni mtu, l am in love with a person na sio kwamba l am horny!
 
that makes the two of us!

Eeh, sijui nikupe pole au hongera. Lkn bora ufaidiike na ushauri ninaopewa humu ndani. Msome vizuri Asprin na 'loving but not falling in love', Kongosho na 'being yourself n enjoying the moment& j nna Mwali na 'we are being like this coz we want to'
 
Last edited by a moderator:
You only lose control because you want to.
Your idea of being in love might be linked to thinking about him
at the moment you realise that thinking of him as you do
is different from being in love with him, you'll be free again
wanawake wengi wanapenda the idea of romance/being in love
even more than the object of her affection him/herself
Just wake up and decide that you won't think of him that much.
Ukichukua uamuzi huo (na umaanishe) it will stop hapo hapo
Mwali i dont think the one in red is true..
Do you believe in power of love?
Is it something to stop by the time u want to stop it??
Is love a voluntarily phenomenon?
 
Last edited by a moderator:
Mwali i dont think the one in red is true..
Do you believe in power of love?
Is it something to stop by the time u want to stop it??
Is love a voluntarily phenomenon?
You can't easily decide to start/stop faling in love
but you can decide the way in which and the extent to which you are in love
Being in love is very different from acting strangely, but most people think
that the stranger they act the deeper their feelings, and so so convince themselves
or their lovers they act in very strange ways. Thinking about someone is fine,
but why do you have to feel bad or irritated about it? maybe because you overdo it?
If so, then just stop overdoing. It won't reduce the feeling of love.
 
my dear Kaunga hyo mbinu ilinisaidia thou ilikuwa inaniumiza. unakuta najibana kutokumuanza lakn mwisho wa siku nlizoea tukawa level. . . hiyo ndo tabia ya penzi wakati we uko 100% and vise versa mwingne yupo 10% sa kinachotakiwa hapo we uanze kushuka na yeye aanze kupanda ili mkutane kwenye 50% by 50% ambapo mtakuwa na 100% hapo ndo mapenzi yananoga. kila la heri!

Thanks dearest, kipimo ndio shida kukijua. Believe me nimejaribu si tu kupunguza lakini pia kuend hii kitu altogether lakini nimekubali defeat; sijui kaniwekea LIMBWATA? LOL

Nashukuru kwa ushauri wako charminglady.
 
Last edited by a moderator:
Nikiamka ni mtu wa kwanza kumfikiria, nikilala ni mtu wa mwisho kumfikiria!

Ndoto zangu nyingi ni juu yake!

Nisiposikia sauti yake naumia!

Nisipopata SMS nakasirika!

Sina nguvu za kucontrol hisia zangu na sina uwezo wa kumficha ninavyojisikia!

It hurts so much that we are apart, ninaumia sana ninapotaka kukumbatiwa lkn naishia kukumbatia mito.

Nahisi ninaact like a school girl in love while l am a mature woman; nifanyaje?

feelings hizo zipo na hayo ni mapenzi tu
 
Back
Top Bottom