Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,530
- 13,467
- Thread starter
- #41
haki ya nan maisha yanakuwaga magumu kweli unapokuwa ww una kimuhe muhe cha kuwasiliana na mwenzio kila dakika halaf yy hyo siyo style yake. ishawah kunitokea baada ya muda utazoea na utachukulia poa coz bado wachanga mno, miez mi5 bado mapenz ni motomoto.
Asante kwa kunipa matumaini Nambe, l hope with time itapungua; ila haya mambo bwana yalikuwa yanafaa kwa teenegers. Huwezi amini just few months nilikuwa nikiona mtu anahangaika na vijiSMS namshangaa halafu namuonea huruma. Look at me now! Ptuh
Last edited by a moderator: