I hate the way I love him

Do you trust him? Ameshapropose? Ushawahi kupenda hivyo hapo kabla?

I do trust him, hajanipa sababu za not to!
We are only 5 month old, hajaspeak out clearly na ring na vitu kama hivyo but there is WE in our discussion about the future!

Sijapenda kihivyo ndio maana inaniumiza.
 
He knows, the thing is tunakaa miji tofauti, and l want to be with him everyday. Si unaona jinsi ilivyo ngumu hata kama tungekuwa tunakaa pamoja. Kazi zetu wote ni za kutoka sana!

Naamini ananipenda, ila mwenzangu yuko kimature zaidi though we are agemate!

Nashukuru mwaya kwa kuniwishia well.

dont wory everythin will be undercontrol..but for such a case just maintain communication by any means..it work just trust!!!
 
my dia umekosea usimweke mwanadamu kuwa first itakugarimu mweke muumba wako na hatakuangusha kamwe Kaunga dear then waje wakuja later
 
He knows, the thing is tunakaa miji tofauti, and l want to be with him everyday. Si unaona jinsi ilivyo ngumu hata kama tungekuwa tunakaa pamoja. Kazi zetu wote ni za kutoka sana!

Naamini ananipenda, ila mwenzangu yuko kimature zaidi though we are agemate!

umekosea kumweka mwanadamu kwa kiwango mtangulize akupaye pumzi ya kila siku ukimuwaza na kamtafakari njia zake then hao wegine waje later dear
 
Nashukuru kwa ushauri. Hukunielewa lakini, nimesema ni MTU wa kwanza unajua Mungu si mtu. Ninaposali asubuhi na usiku kabla ya kulala, l thank God for his life, l pray to God to protect and bless him; kifupi kukutana naye huyo mpenzi wangu naona kama ni blessing from God hivyo sijaacha kumshukuru Mungu kwa kutukutanisha hata siku moja!

Najua changamoto za mahusiano kwani nimeshakutana nazo, ninachotaka nimpende sawa lkn niwe sobber. Hivyo dearest nisaidie kuomba ili niwe myself again!
 
yah ulichosema uko very correct!! ila according to wht she`ve said(am realy sure if ni msichana) na hali halisi ilivyo hasa katika hii dunia ya sasa mambo kama hayo yapo na yanatokea bila mtu kujua! nasema hivyo mana even ma self ishanitokea! sasa ni hal ambayo ishatokea ndo maana kaja hapa JF kuomba msaada..tumsaidie na sio kumlaum..coz am sure hakupenda!!
 
You're in L.O.V.E mumie!...initiate mawasiliano ukiona kimya na kama mko mbalimbali sana, mtembeleane mara kadhaa (inategemea na mtakavyokubaliana ).
 
Nashukuru kwa ushauri. Hukunielewa lakini, nimesema ni MTU wa kwanza unajua Mungu si mtu. Ninaposali asubuhi na usiku kabla ya kulala, l thank God for his life, l pray to God to protect and bless him; kifupi kukutana naye huyo mpenzi wangu naona kama ni blessing from God hivyo sijaacha kumshukuru Mungu kwa kutukutanisha hata siku moja!

Najua changamoto za mahusiano kwani nimeshakutana nazo, ninachotaka nimpende sawa lkn niwe sobber. Hivyo dearest nisaidie kuomba ili niwe myself again!

u will dear kila kitu kilifanyika kwa neno ulimi waumba na kubomoa amini unayoyatamka yatakuwa kuna nguvu kwenye neno
 
I do trust him, hajanipa sababu za not to!
We are only 5 month old, hajaspeak out clearly na ring na vitu kama hivyo but there is WE in our discussion about the future!

Sijapenda kihivyo ndio maana inaniumiza.
Hujapenda kihivyo? What do you mean? Kwamba hujampenda ila wamtamani tu? Miezi mitano ni michache kumjua mtu kivile. Uachie muda uamue kabla hujaupa moyo kazi ya uamuzi.
 
You're in L.O.V.E mumie!...initiate mawasiliano ukiona kimya na kama mko mbalimbali sana, mtembeleane mara kadhaa (inategemea na mtakavyokubaliana ).

Kigoma na Dar hny, ATC ndio mfiliisi precision ndio hiyo upitishwe kwanza Mwanza then KIA ndio JKNIA. Ndicho tunachofanya so far, lkn siridhiki bado. Nataka tuongee muda wote, SMS all the time; kama si utoto ni nini?

Past relations hata week bila mawasiliano ningeona poa, lkn sasa..hadi najichukia!
 
Hujapenda kihivyo? What do you mean? Kwamba hujampenda ila wamtamani tu? Miezi mitano ni michache kumjua mtu kivile. Uachie muda uamue kabla hujaupa moyo kazi ya uamuzi.

I meant sijawahi kupenda like that!

Najua 5 months ni muda mfupi kumfahamu mtu na ndicho akili yangu imekuwa ikijaribu kuushauri huu Moyo wangu ambao umekuwa mbishi sana. Kifupi nimefanya reasonings za kuzidi lkn reaction bado ni ile ile. Nafanyaje ili asitawale mawazo yangu.
Naitamani sana hali yangu ya zamani ambapo l was in control.
 
haki ya nan maisha yanakuwaga magumu kweli unapokuwa ww una kimuhe muhe cha kuwasiliana na mwenzio kila dakika halaf yy hyo siyo style yake. ishawah kunitokea baada ya muda utazoea na utachukulia poa coz bado wachanga mno, miez mi5 bado mapenz ni motomoto.
 
Communication is Power..
Do anything possible to make sure you are in contact averytime possible..
 
Nikiamka ni mtu wa kwanza kumfikiria, nikilala ni mtu wa mwisho kumfikiria!

Ndoto zangu nyingi ni juu yake!

Nisiposikia sauti yake naumia!

Nisipopata SMS nakasirika!

Sina nguvu za kucontrol hisia zangu na sina uwezo wa kuna mficha ninavyojisikia!

It hurts so much that we are apart, ninaumia sana ninapotaka kukumbatiwa lkn naishia kukumbatia mito.

Nahisi ninaact like a school girl in love while l am a mature woman; nifanyaje?

"who makes you angry controls you" !!!!!!!
 
Back
Top Bottom