I hate the way I love him

My dear hua inatokea but trust me with time mambo yatabadilika, 5 months bado mpo kwenye stage ya mwanzo na hivi mnakaa tofauti hata mapungufu yake bado hujayajua.
Niliwahi kupenda hivyo kipindi cha nyuma bt baada ya kuumizwa nimeshika adabu siku hizi hua natumia akili zaidi kuliko moyo na sijawahi kupenda wala kumtrust mtu kwa zaidi ya 60% tena.

Sasa Kaunga print hii makitu uwe unayasoma mara kwa mara. Usifanye mchezo na long distance relationship asee. Mara nyingi sana huwa haziwork na ni full kuchitiana kimatendo na kupendana kinafiki "kimaneno". Kabla sijaanza kuchakachua, mark my words.... Tumia akili kuuruhusu moyo wako kupenda. Usipende kwa kutumia moyo kabla hujatafakari kwa kutumia akili. Mapenzi ya siku hizi ni almost full usanii.
 
Last edited by a moderator:

Sometimes heri kukubali tu matokeo,halafu tatizo kumwondoa akilini inakuwa kazi nyingine kubwa.
Mwanzoni unaumiza sana but mda unavyoenda maumivu yatapungua tu usijali.
 
hubby morning, nikae hapa au nipite! lol
 
Sometimes heri kukubali tu matokeo,halafu tatizo kumwondoa akilini inakuwa kazi nyingine kubwa.
Mwanzoni unaumiza sana but mda unavyoenda maumivu yatapungua tu usijali.
khaaaaa Excellent mdogo wangu upo?
 
Last edited by a moderator:
Kwanini lakini? Why?
bby i have missed u sana khaaaaa! Kaunga asijeniapiza kwa kuchakachua uzi wake! lol! Kaunga sweetheart listen to your heart, watu wapo karibu na wanacheat, itakuwa hiyo ya mbali! nadhani haya makitu hayana formula, wengine wanacheat jf, wana wapenzi watatu watatu humu humu, home ana mumewe, kazini yupo! sasa si balaa hili! LISTEN TO UR HEART Kaunga, lolest!
 
Last edited by a moderator:
Thanks again Asprin, asante cacico, Kaizer na wote. Nimepata vitu adimu sana; ruksa kuchakachua nimeshacopy maushauri kwa fyucha yuzi kama alivyonishauri ASA hapo juu!

Church nao, l am going to thank God for ur wonderful lives!
Mmwaaaah to all of u!
 
Last edited by a moderator:
Nikiamka ni mtu wa kwanza kumfikiria, nikilala ni mtu wa mwisho kumfikiria!

Ndoto zangu nyingi ni juu yake!

Nisiposikia sauti yake naumia!

Nisipopata SMS nakasirika!

Sina nguvu za kucontrol hisia zangu na sina uwezo wa kumficha ninavyojisikia!

It hurts so much that we are apart, ninaumia sana ninapotaka kukumbatiwa lkn naishia kukumbatia mito.

Nahisi ninaact like a school girl in love while l am a mature woman; nifanyaje?

Erotica is an expert on the subject matter. Consult her Kaunga! Kwangu mimi mapenzi ni wendawazimu maana wewe unaweza ukawa hoi, mwenzako anapeta tu kama hana akili nzuri.
 
Darling love kaunga, no wonder you have been so absent mindend and

distracted lately... selfish Ero dd not note a thing of this thingy, sorry baby.

you are a lovely intelligent natural african gal of many mivuto. we will get him baby, wore not.
 
Erotica is an expert on the subject matter. Consult her Kaunga! Kwangu mimi mapenzi ni wendawazimu maana wewe unaweza ukawa hoi, mwenzako anapeta tu kama hana akili nzuri.

I am not so sure about that kirusha roho, you are an evidence of my failure. mwaaaaah.
 
Back
Top Bottom