Mkutano wa CHADEMA Temeke nini kilitokea?

Nesi mkunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2022
701
1,842
MKUTANO WA CHADEMA TEMEKE NINI KILITOKEA.

Na Thadei Ole Mushi.

1. Uwanja wa Bulyaga ni uwanja mdogo sana Square Meter 100 za Mpira wa Miguu wanashindwa kuujaza. Hii inatupa tafsiri kuwa chama kipo zaidi Mitandaoni na Sio kwenye Field.Eneo dogo kama hilo ukiwa na watu 2,000 tu unajaza kwa maana hiyo jumapili hata watu 500 hawakufika.

2. Kuhusu viongozi wa Dini, RC na KKKT kama taasisi kubwa kuliko zote kwenye Ukristu walichomoa kuhudhuria mkutano huo jambo ambalo linatuonyesha bado Taifa letu lipo salama sana. Wangehudhuria hawa ingekuwa hatari kwa Usalama wa nchi na wangelipasua Taifa.

3. Makanisa yaliyohudhuria ni makanisa madogomadogo ambayo hayana waumini zaidi ya 1,000 nchini. Kwa kifupi makanisa haya yanatafuta nitoke vipi kupitia Chadema.

4. Kuhusu hoja za bandari na Mambo ya Kisheria ni mtu mmoja tu aliweza kuelezea vizuri ambaye ni Mwabukusi. Tatizo lake kubwa ni jazba anashindwa kueleweka kwa urahisi, akitulia ataeleweka. Tatizo lingine kubwa bado ameshikilia msimamo wa Utanganyika na Uzanzibar, anaweza kujenga hoja bila kuongeza nyufa kwenye Muungano akaeleweka.

5. Kuhusu upande wa Uislamu aliyewakilisha Dini hiyo kutoka Chadema ni Ndugu Uhuru Moshi Kitima. Huyu ni mwanachama wa Chadema na hakuwahi kuwa Shekhe popote.

6. Vyama vya Upinzani havina mashirikiano kwenye agenda zao. Hakuna chama hata kimoja kilichowaunga Chadema Mkono kwenye mkutano wao, jambo ambalo linaonyesha vyama vingine nje ya Chadema vinauelewa mkataba wa Bandari au wamekisusia chadema kwa sababu wanazozijua wao.

7. Watu wanauliza Salum Mwalimu yupo wapi? Makamu mwenyekiti wa Bawacha taifa Bi Hawa mwaifuga yupo wapi? Walishindwaje kuwatumia kuondoa harufu ya Udini iliyopo?

8. Baada ya Mkutano, agenda na walichokiongea hakikuenda viral tatizo ni nini? Vyombo vya habari wamegoma kuripoti, au ni agenda walizozizungumza hazikuwa na nguvu? Maana baada ya masaa manne hakuna tena agenda zao mtaani. Kuna haja ya kufanyia kazi eneo hili zamani walikuwa wazuri sana eneo hili.

9. Niliwahi kuwaambia kwa nchi ambayo ni ya hali ya hewa ya Kitropick ni ngumu sana kuwaambia watu waandamane au kuwatumia kisiasa.Sababu kubwa ni upatikani wa urahisi wa mahitaji yao ya kila Siku, ukilima mhogo unaota, ukiosha maharagwe nyumbani ukamwaga maji yanaota, ukitupa papai bovu linaota nk. Akili za ukanda wa Kitropick ni ngumu sana kushiriki kwenye biashara ya Siasa na ni rahisi sana kuwaongoza. CCM ifanye mpango wa mbolea za bure, wapatie mbegu za bure, wapatie maji ya umwagiliaji na maafisa ugani wasimamiwe vizuri wawahudumie wananchi watashinda uchaguzi kila siku.

10. Wanachama wa Chadema wameshajua wanatumiwa na wenzao kufanya siasa Biashara. Wameamua kuwasusia wenye biashara yao. Wanajua viongozi wao hunufaika na siasa zao vs CCM ndio maana wao wanajenga mahekalu wakati wanachama wengine wakigongeana wali maharagwe huku mtaani. Watagombana na CCM weeeee halafu Gafla utasikia Kimya na ukiona kimya wafuatilie utakuta wanashusha Miradi mikubwa huko Makwao wewe unabaki kudaka Inzi mtaani.Familia ya Lisu ipo ughaibuni, ya Lema hivyo hivyo, ya Mbowe ina kinga ya kutosha halafu uwasikilize ukagombane huko barabarani kwa maslahi yao. Au utakuwa mwehu usikilize diaspora aliyepo marekani akuambie kapambane na Polisi bandari imeuzwa na wewe ufanye hivyo hivyo.

Mwisho.
Madikteta wote Duniani hutengenezwa na wananchi wenyewe. JPM alianza vizuri sana ila kelele za watu na ukosoaji usiokuwa na Mipaka ulimgeuza akawa mbogo na kuiongoza nchi kwa mkono wa chuma.

Kwa kawaida wanyama wote Duniani wana tabia inayofanana ya kujilinda na kulipiza kisasi wanaposhambuliwa na adui. Hofu yangu ni kwamba Rais SSH ataweza kuvumilia mpaka mwisho au nature itachukua mkondo wake na yeye ataanza kujilinda na kulipa visasi?

Upinzani katika eneo walilofikia wakae mahali watengeneze hoja zao na ushauri wao wapige hodi Ikulu wakutane na Rais waangalie wanaweza kuongeza value kwenye kitu gani kwenye huu uwekezaji wa Bandari kuliko njia wanayotumia sasa.

Kwa jinsi wanavyokwenda nauona uchaguzi mkuu wa 2025 wapinzani wakipitia tena wakati mgumu kuliko hata ule wa 2020. Uongozi wa Mama Samia na jinsi walivyokuwa wanakwenda na Upinzani kulikuwa na Mwanga mkubwa sana mbele kuhusu Ustawi wa Demokrasia nchini.

Ole Mushi
0712702602

FB_IMG_1690266911189.jpg
FB_IMG_1690266908238.jpg
 
Duh! Dar Es Salaam ndiyo ilikuwa ngome kuu ya upinzani, hasa CHADEMA.
Kama chama kinashindwa kupata mkutano wa watu 1000 jijini Dar slum, basi wana hali mbaya sana kisiasa kuelekea 2025!
 
Jambo ni hili uuzaji bandari ni swala la kitaifa umekuja na hoja nyepesi sana ya kisiasa

MNAJIDANGANYA NI BORA MKAAMINI HIVYO
 
Back
Top Bottom