Huyajui maeneo haya!?Basi huifaham Dsm.

Kinondoni moscow,huko ndiko wale wadada poa wa hapa mjin weng wanatokea huko,asbui ukiwa unaenda job,wao wanarudi
 
Kuna kinondoni ukitoka makaburini kuelekea kivulini bar kuna chocho unaingia wacheza kamari wote wa town wanapatikana huko ukitaka cm lap top na bidhaa nyingine nenda na pesa yako kaa pemben utaondoka na mzigo wa kutosha huko watu wanaweka bond mpaka dundo ananunua ndala za buku jero anachapa mwendo
 
Mbona mmeisahau Rozana na ile baa opposite na makutano ya uhuru na mandela?
 
Kinondoni shamba kwa Msokota nywele! maarufu kwa supu ya makanyagio ya nguruwe na choma ya masikio ya nguruwe!
 
Huwa nafurahishwa na Tandale uzuri tu huko darisalama kwenu. Tandale uzuri kila ukipita lazima ukutane na mtu kalewa, iwe mchana, usiku, jioni, asubuhi lazima utapishana na mtu yuko chakari!!!. nafurahishwa zaidi ninapowaona wadau wanalala wamesimama kwa kuegemea nguzo ya umeme! darisalama mna vituko kwakweli!
 
Tenda za rada, umeme, ndege ya serikali, helkopta etc mbona hatuambiani? Acheni ubaya bwana.

hizo nenda serena (zamani movenpick) pale garden kwa nyuma au reception kulia kwako wanapokunywa chai, wajanja wote wa madili makubwa wanashinda hapo.
 
Wabongo bana.....mnajisifia kwa wizi na deal za kilaghai....jk na wenzake wana wacopy alafu mnakuja kulalamika...
 
Back
Top Bottom