Huyajui maeneo haya!?Basi huifaham Dsm.

Utelezi unaboa sana
hasa tunaokaa nje ya mji
yaani huku hakuna high heels
labda uvibebe mkobani

Na tope lile ukivaa mchuchumio wakati unahitajika kutembea basi hujipendi. Vaa buti mpaka ufike unapoenda then unabadilisha.
 
Nina gambuti
Mchuchumio wangu nabeba kwenye rambo
Natia kwenye pochi
Na uzuri fasheni ya pochi iliyoko huku
Ni zile kubwa kama zamtu anapeleka mtoto klinik
Na tope lile ukivaa mchuchumio wakati unahitajika kutembea basi hujipendi. Vaa buti mpaka ufike unapoenda then unabadilisha.
 
Back
Top Bottom