JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 7,524
- 7,570
majuzi ndugu yangu alikuwa anatafuta nyumba ya kupanga.dalali alimpeleka kwenye nyumba mbalimbali lakini kuna baadhi ya nyumba alimwambia kwamba mwenye nyumba anataka mpangaji wa dini fulani tu, yaani kama yake. sasa miimi nashangaa watu tunakuwa wanafiki kiasi hiki, mbona sijawahi kuona mfanyabiashara kama vile duka, usafiri daladala akichagua wateja kwa misingi wa dini .acheni unafiki jamani.