huu udini!

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
7,291
7,238
majuzi ndugu yangu alikuwa anatafuta nyumba ya kupanga.dalali alimpeleka kwenye nyumba mbalimbali lakini kuna baadhi ya nyumba alimwambia kwamba mwenye nyumba anataka mpangaji wa dini fulani tu, yaani kama yake. sasa miimi nashangaa watu tunakuwa wanafiki kiasi hiki, mbona sijawahi kuona mfanyabiashara kama vile duka, usafiri daladala akichagua wateja kwa misingi wa dini .acheni unafiki jamani.
 
Nlidhani wameishia kwenye kuoa na kuolewa :confused3: sasa mpaka dini hio si balaa!!!
 
majuzi ndugu yangu alikuwa anatafuta nyumba ya kupanga.dalali alimpeleka kwenye nyumba mbalimbali lakini kuna baadhi ya nyumba alimwambia kwamba mwenye nyumba anataka mpangaji wa dini fulani tu, yaani kama yake. sasa miimi nashangaa watu tunakuwa wanafiki kiasi hiki, mbona sijawahi kuona mfanyabiashara kama vile duka, usafiri daladala akichagua wateja kwa misingi wa dini .acheni unafiki jamani.
Mwenye nyumba kigagula bin mshirikina. Nimeshaishi uswazi kadhia kaa hizo ni nyingi sana.
 
Licha ya kuchagua dini pia kabila hawataki mpangaji wa kabila la WAHAYA na WACONGO kisa wanavurugu
 
Jeez! si bure huyo mwenye nyumba ana u-crazy fulani badala ya kuangalia mahela unaangalia dini
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom