Huu ni nini jamani???

vidudi

Member
Jun 28, 2016
75
37
Wana JF
nimekutana na in box message kwenye e-mail yangu kuwa ni upload my certificate qualification,na pale kwenye lile jina la huyo sender katumia NACTE lakini google account yenyewe inadai kutomtambua huyo mtumaji km kweli ni Nacte, na tatizo la profile wote twalijua
kingine kilichonishangaza ni namba ambazo huyo mtu katuma ili niweze fanya mawasiliano nae kuwa haziendani kabisa na zile za nacte. jamani msaada kwa hili ni kweli au utapeli???
 
weka hapa hizo namba tukusaidie
jamii-forums.png

swissme
 
Usitume kama uko dar nenda physically. Nadhani kwenye webdite zao kuna namba wapigie. Huwexi jua hao ni nani. Kwani uliomba hujajibiwa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Usitume kama uko dar nenda physically. Nadhani kwenye webdite zao kuna namba wapigie. Huwexi jua hao ni nani. Kwani uliomba hujajibiwa
Ndio niliomba bado sijajibiwa, ila kwa sasa sipo dar nipo Zanzibar
 
Ndio mambo ya kizenji hayo, ndo maana watanganyika wakaupenda muungano na wataulinda kwa nguvu zote yakhee.
 
Back
Top Bottom