Husninyo nakuja.......nipokee tafadhali

Yaani humu JF kweli kuna mambo!!! yaani nimecheka na hii thread!! Thanks for making my night! Usku mwema kwa wale ambao ni usku kwao!
 
asante ndugu muuliza suali. nazani blaza kaizer kaanzisha hili sredi ili kupata feeling ya husninyo ataipokeaje hii habari. husninyo akionesha kusmile tu kaizer anachinja. hapa itakuwa imekula kwetu wapinzani. na akionesha msimamo basi kaizer atabadilisha kibao na kusema anajoke tu hayuko serious. acha tusubirie part 2 ya hii sredi.

picha la kichina jeti lii anatembea juu ya maji
 
hii post imewatia wivu mpaka ma internet providers, yaani gafla wamenikatia inteneti connection. hapa natumia imejensi tu. nakuja bana huyu kaizer mpotezee tu, mwambie bunge limehairishwa.

mmmh!
Wasije wakaunguza na hicho ki pc.
Kaizer nishampotezea kwanza nahisi kama babu yangu mjomba ake shangazi yake mama ake mdogo bibi.
 
mmmh!
Wasije wakaunguza na hicho ki pc.
Kaizer nishampotezea kwanza nahisi kama babu yangu mjomba ake shangazi yake mama ake mdogo bibi.
halaf naskia kafanana na king majuto, mimi hautoregret kabisa yaani, hapa kijijini wananiita tom kruz.
 
picha la kichina jeti lii anatembea juu ya maji
hehe dah kamanda acha nilog out mida za kwenda kulinda mabanda ya kuku hizi. hili tatizo la wizi wa kuku vijijini linatunyima hata muda wa kuwapa mimba wake zetu. aaarggh. acha nikaombe uraia msumbiji bana.
 
mi mwenyewe nina shuka la kimasai nimetoka kurudisha mbuzi....kuna jirani yangu mwanga sana katuma kuku kuiba mbuzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom