Husninyo nakuja.......nipokee tafadhali

Kwa hiyo Husna ndo mipango yote kwa week mbili hizi?
Baada ya hapo ---atakuwa free zone na unaahidi ku-share?
Natoa angalizo tu hapa............Nimemtuma Lizzy kufuatilia nyendo zako kwa siku kadhaa ili kujua kama utaruadia zaidi ya mara tatu kununuliwa Fanta....tamu bila -kushare.

Mchango uuwakilishe kwa Asprin.
 
hahahahaha hii sababu nyengine ya kuvunjika mbavu....haaa..ina maana wajamaa wako nyuma sana kwenye utumiaji wa kondom?
taarifa zisizo rasmi ni kwamba maeneo ya dodoma wanaichukulia kondom kama "govi la mzungu" sasa wanasema kuvaa govi la mzungu ni kumshirikisha mzungu kwenye tendo la ndoa lako wewe na mwenza wako. nitakuwa na kibarua kipevu walahi lakini uzoefu utasaidia. nitafupisha kikao ili npate sku tatu za kuibiana na husninyo.
 
Kwa hiyo Husna ndo mipango yote kwa week mbili hizi?
Baada ya hapo ---atakuwa free zone na unaahidi ku-share?
Natoa angalizo tu hapa............Nimemtuma Lizzy kufuatilia nyendo zako kwa siku kadhaa ili kujua kama utaruadia zaidi ya mara tatu kununuliwa Fanta....tamu bila -kushare.

Mchango uuwakilishe kwa Asprin.

duh hapa si unantafutia ugomvi na mchungaji Masa....hiyo laana yake naweza ishia njiani nisionane na Husninyo bana.......

Its only after that tunaweza kudiscuss kipengele cha pili...kwa sasa tusubiri kidogo...
 
Nimekusoma...........hizi nomino zako ngumu sana kueleweka
 
Sasa hii tiketi ya basi niliyoshaikata taipeleka wapi?:sad::mmph::doh:
anyway ngoja kesho tairudisha haikuwa bahati yangu:mad:
 
haaa, sidhani kama ataweza kumfanyia hivyo mwenyekiti, mkuu ulienda na nguo za kichifu labda akakuogopa nini?
Hapana mkuu. Nilitinga kishkaji sana na 110 GRANDE ya kuazima. Lakini hakutokea hata kuja kuniona. Au aliniona matawi ya juu sana. Lol
 
Niwaombeni ndugu zangu Kimey, Fidel80, The Finest, GY, Inkoskaaz, hashyool, ijapokuwa sharing is caring, hapa is a no go zone.
A%20S%2027.gif

Hahaha Kaizer wewe!!! haya mkuu ukumbi ni wako na msg delivered!
 
Sasa hii tiketi ya basi niliyoshaikata taipeleka wapi?:sad::mmph::doh: anyway ngoja kesho tairudisha haikuwa bahati yangu:mad:
Niuzie mie. Baada ya kujua kuwa bado yuko Dom, nampandia tena bila ya kujali yaliyonikuta. Nzi kufia kwenye chupa ya asali ni halali kabisa.
 
Hapana mkuu. Nilitinga kishkaji sana na 110 GRANDE ya kuazima. Lakini hakutokea hata kuja kuniona. Au aliniona matawi ya juu sana. Lol

sasa mi mtoto wa mkulima, naenda hivyo hivyo....nadhani ndo 'swagga' zake...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom