Husninyo nakuja.......nipokee tafadhali

Mimi na Sweetie tulikua na Marrital problems... lunch nilikua nakukaribisha home... na tushamaliza... mpaka karibu tunapumzika....

Yaani ukiwa unanitenga namna hii ni kama unanifanyia Assassination ya makusudi . . . .
Najua hunipendi siku hizi
 
Yaani ukiwa unanitenga namna hii ni kama unanifanyia Assassination ya makusudi . . . .
Najua hunipendi siku hizi

Sijakutenga.... nishakwambia kua nakupenda huko nyuma na niwe dada wa hiari ukaleta pose...

Kaiser nijulishe basi kama mahabuba wako ana sister ake nianze kufanya mazoezi ya kiingletha nisiwe kama mr handsome

You are a good Man.... Unajua kabisa lazima upitie kwa Mume kwanza hata kama dada yangu.... Safi saana...
 
Sijakutenga.... nishakwambia kua nakupenda huko nyuma na niwe dada wa hiari ukaleta pose...

You are a good Man.... Unajua kabisa lazima upitie kwa Mume kwanza hata kama dada yangu.... Safi saana...

Nilijua ndo maana napitia kwa Kaiser anipe fununu kwanza na kama yupo yeye ananijua na anajua la kufanya kwanza
 
Orayt............ I hereby declare that this useful thread is officially CLOSED!

:A S 103::A S 103::A S 103:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom