Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,193
huwezi jua labda nataka ku declare interest
mmmmhh!
huwezi jua labda nataka ku declare interest
mmmmhh!
Aah hash unaharibu sasa mshikaji klorokwini kasumbuka sana hapa jamvini mpe chance na hus jamani.huwezi jua labda nataka ku declare interest
Aah hash unaharibu sasa mshikaji klorokwini kasumbuka sana hapa jamvini mpe chance na hus jamani.
dah,..... kidume unang'aa... hadi dude wangu smiles umeshanikomba?Kwako Husninyo,, umeugusa mtima wangu...nimehakikisha napata katrip ka kuja Idodomya, walau nikwepe kero za hapa DSM kidogo, so nakuja Idodomya!:A S thumbs_up:
Huwezi amini furaha niliyo nayo hasa baada ya kusoma hapa
nakuomba, kama Mwenyekiti, nike nikutembelee....niansalamu zako kutoka kwa Asprini, ameomba nirudi na kamchango, halikadhalika Teamo aminipa copy ya katiba yetu uipitie pitie....katibu kanipa fomu ya kujiunga natumai utaijaza
kazi yangu mimi ni moja tu, umenigusa nikagusika naomba unikirimu nitakapofika huko hiyo kesho, nimeona umeshakuwa mwenyeji kidogo sasa! Nitapenda tukae sehemu tulivu, unielezee yaliyojiri huko.
Mdhamini Bifirita atakuja baada ya hapo kufanya tathmini ya ziara yangu
Niwaombeni ndugu zangu Kimey, Fidel80, The Finest, GY, Inkoskaaz, hashyool, ijapokuwa sharing is caring, hapa is a no go zone.:A S 27:
Mhesshimiwa sana Ivuga nitarudi na mafotoz yenye taswira za huku., ila za Husninyo sitakukabidhi hata kidogo,
Maria Roza nakutafutia kitu cha nguvu huku (U know what I mean) walau utulie safari hii!:coffee:
Mpenzi wangu Nyamayo, nivumilie nitarudi mara na mihogo,
MJ1 Love, Nitarudi na Yolanda yako ulontuma,
Smiles, I will be back with lots of them smiles, and a lot more, bear with me
Wiselady, mtumishi, nitakukuta mlimani endelea kuniombea!
Rose80, hebu cheki na bacha kama bado anao mlenda kama sio nikuletee,
Dena Amsi na AD.....poleni kwa yalowakuta, nitarudi na ushauri murua kutoka kwa Husninyo (namwaminia kwa hilo)
babu DC, mzee wa busara Acid, mchungaji Masa na Mkewe Lizzy, nikirudi kiutu uzima will know what to do
Kwa sasa ombi langu ni moja tu kwako Husna, nipokee tafadhali....nitaingia kwa tukutuku mida ya saa kumi jioni....asante kwa kunisikiliza....:hug::hug:
kweli wahanga wa mbande tupo wengi... hapo bado sonyo la kibaigwaUsisahau kuniletea nyama chafu ya pale Mbande, tafadhali na kuku toka Kibaigwa!!! By the way na ndoo ya nyanya pale Kandambili!!
Yolanda hahahaaaaaaaaaa na cobra
mmmh!
Wasije wakaunguza na hicho ki pc.
Kaizer nishampotezea kwanza nahisi kama babu yangu mjomba ake shangazi yake mama ake mdogo bibi.
Nina safari ya Idodomya leo kumwona Husninyo....nitarudi na mchango wake!
Smiles pole dear,nilikwambia mapema kuwa ungana nasi mlimani,ona sasa!
habari lako mkuu?
mkuu, usisahau kuniletea tembele la huko idodomya,
Rose wangu anajua ati kuyaandaa vizuri hayo!!!
Nataraji tukutuku lako, halitashindwa kunichukulia huo mzigo,
Salimia Husninyo bana!!!!!!
Nina safari ya Idodomya leo kumwona Husninyo....nitarudi na mchango wake!
hahaha, kiongozi...
Rose nimemwambia kuwa kama ulishindwa kumletea mlenda nitauleta mimi kama vipi umpelekee, kama na matembele hakuna noma
yatafika tu
kwa sasa nguvu nimezielekeza Dodoma....
dah,..... kidume unang'aa... hadi dude wangu smiles umeshanikomba?
haya bana, ngoja nivumbue vipaji vipya
My dear.....
tatizo siku ile mlinikimbia mkaenda wenyewe.....:Cry:
Dah....dude!! sawa tuu....
unajua unavyonitenga hivyo......
mi mikono ya Pope hata siitaki tena......