Husninyo nakuja.......nipokee tafadhali

mi nilipigwa limbwata ilikuwa ikiingia pm napata jasho la vidole halafu nacheka sielewi kwanini!
hakuna shaka yoyote itakuwa limbwata la husninyo hilo, si unaona kaizer anataka kwenda dodoma kwa nauli ya kukopa? husninyo bana!
 
huyo si ashakwambia pm yake giza totoro pm kazipanga kwa namba jf bana
juzi kuna kadada nilikatumia pm eti kakanambia yeye hakatongozwi kwa kiswahili kanatongozwa kwa foreign language tu. khaaa! nikajua wadada wa kibongo midosho ya kumwaga. acha nianze evning klass bana
 
ah! au ndo hako niliko katumia mimi? mi kaliandika tu neno bon voyage nikakambia mi siwekagi mafuta big bon nawekaga bp
halafu kakaandika i dont andastand mi nikakaambia mi sisimagi chini kwanza hayo matusi
 
ndo hako hako mkuu! kalinambia kakiskia halufu ya pafyum za tanzania shiling yeye kanatapika. acha tuishie hapa maana nazani kana uhusiano na mamods kale kabinti. tusije tukala ban mpaka easter sunday.
 
ChieafMTz, inaonekana kweli ulipata tabu ila mi nitakupa uzoefu, nashukuru umenipa mwanga mwanga wa Dodoma....hapo club laaziz ndo wakienda na malaaziz wao?
Ni club ya maraha. Kila demu ukimuulizia kazi yake atakuambia yuko CBE. Ila nasikia wana bifu na mademu wa UDOM
 
ndo hako hako mkuu! kalinambia kakiskia halufu ya pafyum za tanzania shiling yeye kanatapika. acha tuishie hapa maana nazani kana uhusiano na mamods kale kabinti. tusije tukala ban mpaka easter sunday.

:focus: hivi wewe kama dokta wa mahusiano jf unazani kwanini unazani braza kaizer kaleta hili li sredi la husninyo
 
sorry aisee, shetani amenipitikia. hivi nikuuliize. nikipigwa ban utanimiss?

nitakumiss sana kloro.
Kwanza nikiliona jina lako mi hoi. Nikisoma posts ndio kabisaa. Hebu fanya mpango utangulie wewe huyo kaizer atafata.
 
juzi kuna kadada nilikatumia pm eti kakanambia yeye hakatongozwi kwa kiswahili kanatongozwa kwa foreign language tu. khaaa! nikajua wadada wa kibongo midosho ya kumwaga. acha nianze evning klass bana
Hahaha! Pole sana mkuu zidisha juhudi utatoka tu mshikaji.
 
nitakumiss sana kloro.
Kwanza nikiliona jina lako mi hoi. Nikisoma posts ndio kabisaa. Hebu fanya mpango utangulie wewe huyo kaizer atafata.

Klorokwini si nilisema haya ushatoka hivyo,spanish lady hoi taabani lol.
 
nitakumiss sana kloro.
Kwanza nikiliona jina lako mi hoi. Nikisoma posts ndio kabisaa. Hebu fanya mpango utangulie wewe huyo kaizer atafata.
hii post imewatia wivu mpaka ma internet providers, yaani gafla wamenikatia inteneti connection. hapa natumia imejensi tu. nakuja bana huyu kaizer mpotezee tu, mwambie bunge limehairishwa.
 
:focus: hivi wewe kama dokta wa mahusiano jf unazani kwanini unazani braza kaizer kaleta hili li sredi la husninyo
asante ndugu muuliza suali. nazani blaza kaizer kaanzisha hili sredi ili kupata feeling ya husninyo ataipokeaje hii habari. husninyo akionesha kusmile tu kaizer anachinja. hapa itakuwa imekula kwetu wapinzani. na akionesha msimamo basi kaizer atabadilisha kibao na kusema anajoke tu hayuko serious. acha tusubirie part 2 ya hii sredi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom