Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,320
- 17,823
Kwako Husninyo,, umeugusa mtima wangu...nimehakikisha napata katrip ka kuja Idodomya, walau nikwepe kero za hapa DSM kidogo, so nakuja Idodomya!:A S thumbs_up:
Huwezi amini furaha niliyo nayo hasa baada ya kusoma hapa
nakuomba, kama Mwenyekiti, nike nikutembelee....niansalamu zako kutoka kwa Asprini, ameomba nirudi na kamchango, halikadhalika Teamo aminipa copy ya katiba yetu uipitie pitie....katibu kanipa fomu ya kujiunga natumai utaijaza
kazi yangu mimi ni moja tu, umenigusa nikagusika naomba unikirimu nitakapofika huko hiyo kesho, nimeona umeshakuwa mwenyeji kidogo sasa! Nitapenda tukae sehemu tulivu, unielezee yaliyojiri huko.
Mdhamini Bifirita atakuja baada ya hapo kufanya tathmini ya ziara yangu
Niwaombeni ndugu zangu Kimey, Fidel80, The Finest, GY, Inkoskaaz, hashyool, ijapokuwa sharing is caring, hapa is a no go zone.:A S 27:
Mhesshimiwa sana Ivuga nitarudi na mafotoz yenye taswira za huku., ila za Husninyo sitakukabidhi hata kidogo,
Maria Roza nakutafutia kitu cha nguvu huku (U know what I mean) walau utulie safari hii!:coffee:
Mpenzi wangu Nyamayo, nivumilie nitarudi mara na mihogo,
MJ1 Love, Nitarudi na Yolanda yako ulontuma,
Smiles, I will be back with lots of them smiles, and a lot more, bear with me
Wiselady, mtumishi, nitakukuta mlimani endelea kuniombea!
Rose80, hebu cheki na bacha kama bado anao mlenda kama sio nikuletee,
Dena Amsi na AD.....poleni kwa yalowakuta, nitarudi na ushauri murua kutoka kwa Husninyo (namwaminia kwa hilo)
babu DC, mzee wa busara Acid, mchungaji Masa na Mkewe Lizzy, nikirudi kiutu uzima will know what to do
Kwa sasa ombi langu ni moja tu kwako Husna, nipokee tafadhali....nitaingia kwa tukutuku mida ya saa kumi jioni....asante kwa kunisikiliza....:hug::hug:

Nipo dom kwa sasa. Ni mgeni ila nitakuwepo huku kwa muda mrefu kidogo na hata hyo 2gether party wakiiorganize huku nitaweza shiriki.
Una kumbukumbu nzuri.