Jamani wenye taarifa na hukumu ya chenge leo mwanasheria wetu na mbunge wetu jamani
nimepata tarifa sasahivi kutoka " wanabidii forum" kuwa amefungwa jela miaka mitatu. Ni vema wenye taarifa ktk mahakamani watujuze.
laki 7 tu pamoja na vifo vya watu 2 tena wasichana mmh ,gharama hiyo haitoshi hata ku-repair hiyo bajaji.
kweli sheria za tz ni kwa walalahoi tu wala sio kwa mafisadi
Hata mi naona sio haki kabisa.....hukumu utadhani kagonga baiskeli yenye mayai kumbe kaua watu wawili!!!
Hivi ndugu zao hawastahili fidia????
kalipa fain ya laki 7
nw yupo kwake anapata juic ya pilipili kwa raha zake na matusi meeeeeeeng kwa watanzania ahhh ahh wa.s.e.n....e kweli walitaka nifungwe maisha?ahh watafuungwa wao
na bahat yao wamekufa wale mademu bla ivo ningeifanya sheria isomeke wao ndo walinigonga mimi na bajaji yao na inabd wanilipe!!
M SURE HANA AMANI MOYON DHAMIRA INAMSUTA...damu aiwez ikapta kimya kimya ...anaungua moyoni!