Hukumu hii ingetolewa nchi za Kiarabu ingekuwaje?

Accumen Mo

JF-Expert Member
May 15, 2022
15,032
32,738
Amani iwe juu yenu!

Ebu jaalia kama hii hukumu ingetokea nchi fulani za kiarabu ,je maoni ya watu dunia nzima ingekuwaje?

Jamani sio kwa ubaya ila hukumu inatokana na sheria husika zilizowekwa bora kufuata sheria bila shuruti.

Screenshot_20231030-165117.png
 
Hivi ndivyo inavyotakiwa Sasa sio inabusiana mijanamume...
 
Hivi ndivyo inavyotakiwa Sasa sio inabusiana mijanamume...
😂😂😂Wabongo wengi wakienda kweny nchi za watu ndio maana watu weusi wanapigwa bastola kwa vile hawafuati sheria wengi wao ujuaji ni mwingi..

Kila nchi ina sheria zake.
 
Safi kabisa maana kamdhalilisha kijinsia,
Ukute domo lake linanuka misigara na pombe kali
 
Wazungu walivokua wapuuzi angemlakinywa mwanaume apo angepongezwa balaa ndio angekua icon wao
 
Back
Top Bottom