Kesi ya Vicky Kamata imetufumbua macho, kumbe Dkt. Likwelile alikuwa akimiliki mali za bilioni 4

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
16,080
35,999
Chenge aliwahi kusema bilioni moja ni vijisenti mkamjia juu,mama tibaijuka akasema ni hela ya mboga tu mkapaza sauti,sasa hukumu iliyosomwa wiki hii katika kesi ya mirathi inayohusu Dkt. likwelile imeonyesha alikuwa akimiliki mali za bilioni 4.

Aliwahi kuwa katibu mkuu hazina kwa kipindi kifupi ila muda mwingi amekuwa lecturer UDSM.

Kuna watu wanaila hii nchi,ila uzuri wakifa wanaziacha.

Tafuteni hela maisha sio magumu
 
Kabla sijaacha pombe..nilibahatika kunywa na Dk.....halafu kulikuwa na Dk.mwingine mpare....River Side....
Tukishalewa...tunaimba.....
Weka mchupa
Toa mchupa
Kiitikio:haya wee,haya wee.
N.B.
Kabla ya kumpata Kamatansky
 
Serikalini kuna hela sana kwa viongozi

Fursa za kupiga nyingi sana
Kabisa mkuu
Kuna mtu wangu wa karibu...alinijuza (jamaa) waliomba wapitishe fedha kwenye account yake halafu yeye anakula 10%.
N.b.ukiona mtu kafa kwenye mazingira ya kutatanisha..jua kawadhulumu "wakulungwa"
 
Chenge aliwahi kusema bilioni moja ni vijisenti mkamjia juu,mama tibaijuka akasema ni hela ya mboga tu mkapaza sauti,sasa hukumu iliyosomwa wiki hii katika kesi ya mirathi inayohusu Dkt. likwelile imeonyesha alikuwa akimiliki mali za bilioni 4.

Aliwahi kuwa katibu mkuu hazina kwa kipindi kifupi ila muda mwingi amekuwa lecturer UDSM.

Kuna watu wanaila hii nchi,ila uzuri wakifa wanaziacha.

Tafuteni hela maisha sio magumu
Kwa taarifa yako huyu ndio kiongozi mstaafu wa ngazi yake ambaye hana Kitu , yaani huyu ndio Kapuku
 
Kesi za mirathi huwa mtu unakadiria mali zinaweza kuwa zinathamani kiasi gani.
Soma Hukumu ya kesi ujue
Inaweza kuwa kweli au si kweli kwamba mali hizo zina fika hicho kiasi
Hapa Tanzania tunataizo la kuover value property zetu kwa kiasi kikubwa
 
Mjini wanasema Mzee amefariki hata b1 hajawahi kuishika, hizo zote za mwanamke mpambanaji wa "wanawake na maendeleo" tusonge mbele.

Wanaume kazi tunayo.
Kwa hiyo mwanamke alikuwa anachuma anampa boss wake..anachuma anampa bosi wake?(ambaye badae alikuja kuishi nae kinyumba).

Vicky Kamata hajawahi kuwa na ndoa ya maana..hiyo kutoka na wanaume za watu ni hulka yake..na udangaji ndio umemtoa.

Kuna wakati akiwa artist aliwahi kuingia kwenye bifu zitto na aliyekuwa mtangazaji wa clouds fm na badae mbunge wa viti maalum ccm marehem Amina Chifupa baada ya kugundua vick alikuwa anatoka na bwana medy mpakanjia(marehem)ambaye alikuwa mume wa bi Amina.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Kesi za mirathi huwa mtu unakadiria mali zinaweza kuwa zinathamani kiasi gani.
Soma Hukumu ya kesi ujue
Inaweza kuwa kweli au si kweli kwamba mali hizo zina fika hicho kiasi
Hapa Tanzania tunataizo la kuover value property zetu kwa kiasi kikubwa

Kwa maana unafikiri 4bn ni hela nyingi!!!???
 
Chenge aliwahi kusema bilioni moja ni vijisenti mkamjia juu,mama tibaijuka akasema ni hela ya mboga tu mkapaza sauti,sasa hukumu iliyosomwa wiki hii katika kesi ya mirathi inayohusu Dkt. likwelile imeonyesha alikuwa akimiliki mali za bilioni 4.

Aliwahi kuwa katibu mkuu hazina kwa kipindi kifupi ila muda mwingi amekuwa lecturer UDSM.

Kuna watu wanaila hii nchi,ila uzuri wakifa wanaziacha.

Tafuteni hela maisha sio magumu
TASAF kaiba ngapi?
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na bado siku utasukia mali anazomiliki
1. Saa100
2. JK
3. R. One
4. Makamba Jr
5. Maharagwe
6. Mwigulu
7. Dotto
8. DG wa TRA
9. DG TPA
10. DG wa TRC
11. Governor wa BOT
12. Abdul ( mtoto wa mama Abdul)
Mtadondoka mzimie
 
Back
Top Bottom