Hukumu ya chenge vipi?

ODD

Member
Mar 25, 2010
31
2
Jamani wenye taarifa na hukumu ya chenge leo mwanasheria wetu na mbunge wetu jamani
 
Jamani wenye taarifa na hukumu ya chenge leo mwanasheria wetu na mbunge wetu jamani

nimepata tarifa sasahivi kutoka " wanabidii forum" kuwa amefungwa jela miaka mitatu. Ni vema wenye taarifa ktk mahakamani watujuze.
 
jamani semeni kweli kamaa kweeli kafungwa mbona itajkuwa furaha sana kwangu wanajamii
 
source global:

Mbunge wa Bariadi Mashariki na aliyewahi kuwa Waziri wa Sheria, Mhe. Andrew Chenge, leo asubuhi ametiwa hatiani na Hakimu wa Mahakama ya Kinondoni kwa makosa manne ya barabarabi, yakiwemo ya mauaji ya wasichana wawili aliowagonga kwa gari alilokuwa akiendesha na kuwaua, Machi 27, 2009, jijini Dar es salaam. Chenge ametiwa hatiani kwa makosa manne ya Kusababisha vifo vya wasichana wawili, Kugonga Bajaji, Kuendesha gari kwa uzembe na kuendesha gari isiyokuwa na Bima. Makosa yote hayo amepigwa faini ya shilingi za Kitanzania laki saba! (700,000/=) na amelipa.

AndrewChenge.jpg

garilachenge.JPG

gari la chenge ambalo lilipata ajali

bajaji.JPG

na hii ndio bajaji waliopanda marehemu wawili
 
laki 7 tu pamoja na vifo vya watu 2 tena wasichana mmh ,gharama hiyo haitoshi hata ku-repair hiyo bajaji.
kweli sheria za tz ni kwa walalahoi tu wala sio kwa mafisadi
 
kalipa fain ya laki 7
nw yupo kwake anapata juic ya pilipili kwa raha zake na matusi meeeeeeeng kwa watanzania ahhh ahh wa.s.e.n....e kweli walitaka nifungwe maisha?ahh watafuungwa wao
na bahat yao wamekufa wale mademu bla ivo ningeifanya sheria isomeke wao ndo walinigonga mimi na bajaji yao na inabd wanilipe!!
M SURE HANA AMANI MOYON DHAMIRA INAMSUTA...damu aiwez ikapta kimya kimya ...anaungua moyoni!
 
laki 7 tu pamoja na vifo vya watu 2 tena wasichana mmh ,gharama hiyo haitoshi hata ku-repair hiyo bajaji.
kweli sheria za tz ni kwa walalahoi tu wala sio kwa mafisadi

Hata mi naona sio haki kabisa.....hukumu utadhani kagonga baiskeli yenye mayai kumbe kaua watu wawili!!!
Hivi ndugu zao hawastahili fidia????
 
yaani we acha tu, hukumu zinatolewa kama za lai nacha..du hii nchi inawenyewe kweli
Hata mi naona sio haki kabisa.....hukumu utadhani kagonga baiskeli yenye mayai kumbe kaua watu wawili!!!
Hivi ndugu zao hawastahili fidia????
 
unachosema ni kweli kabisa dada yangu, hii nchi inawenyewe ,sisi ni watazamaji tu
kalipa fain ya laki 7
nw yupo kwake anapata juic ya pilipili kwa raha zake na matusi meeeeeeeng kwa watanzania ahhh ahh wa.s.e.n....e kweli walitaka nifungwe maisha?ahh watafuungwa wao
na bahat yao wamekufa wale mademu bla ivo ningeifanya sheria isomeke wao ndo walinigonga mimi na bajaji yao na inabd wanilipe!!
M SURE HANA AMANI MOYON DHAMIRA INAMSUTA...damu aiwez ikapta kimya kimya ...anaungua moyoni!
 
hii ndio tanzania zaidi ya uijuavyo maskini ndosheria zinafanyiwa kazi kwelikweli
 
Amazing!!!!! Na bado ni muheshimiwa!! Ohhh men this is tooooo much. Hivi nani aliwaambia wanahaki miliki ya maisha yetu???? I'm soo sad.
 
tatizo ni sheria zetu, kwani nani amewahi kuona mtu anfungwa kwa kugonga mtu na gari barabarani? hata hiyo laki saba ni nyingi labda kwa vile alikuwa na makosa mengine sijui insurance cover na nn
 
Safi sana mhe.chenge kwasababu watu hatujui kuwa nyie niyo nyie wenye hisa kwenye kampuni la marehemu jk nyerere la ccm., mpaka waje juwa kuwa nyie ndo nyie itakuwa dunia imekwisha!. Kwanza unasali dini gani ambayo inaendelea kukukumbatia wewe?.

Ok ndugu mmoja kasema unachangia sana kwenye dini yeno!. Kwahiyo ukikosolewa tu! Unasitisha ile michango!.

Lakini wambie ipo siku ambayo itakuwa ama zenu au zao!
 
Unajua hili ni tusi kwa familia za marehemu hao..na ubutu wa sheria zetu mufilisi ambazo zinabariki wavunja sheria huku zikiwaumiza wanaoattempt kufanya makosa...too bad...kwa hesabu zisizo rasmi ina maana na mwendesha bajaji km angepatwa umauti ndugu Chenge angetoa Tsh 950,000/= hii ikiwa na maana ni 250,000 kwa watu watatu na makosa mawili ya nyongeza!
Kiungwana huyu bwana angestahili kukaa aside kidogo kujihusisha na shughuli za kisiasa km njia mojawapo ya ku-regret aliyofanya japo hakukusudia (huenda)...kwa mfumo huu itachukua muda mrefu sana hisia za usawa kukaa mioyoni mwa watu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom