Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,320
- 17,823
Hii imetulia sana. Naamini hatajali kama kuna carpet au la. Na kama kuna meza au kiti. May be hicho chumba anachoongelea hakina hata kuta....LOL!!
Mkuu picha nzima ulishaisamaraiz hapa chini......:A S thumbs_up:
Hakuna kuharibika kitu hapa. Infii home zinaishi kwa realities na siyo hypothetical life. Kwa hiyo watu wanaosubiri ushauri wako ni wale wanaoishi kwa nadharia ya hizo rules zako.
Hebu fikiria amani na bashasha unazokuwa nazo ukirudi home unajua kuwa kuna kibarua cha kumalizia baada ya kupata organic flavours huko kwenye uwanja wa ugenini? Ni kitu muhimu sana hicho kuliko kujaribu kujifungia kwenye uzio wenye matundu kila upande!