How to prevent "Infidelity"

Smiles

Wengi sana duniani waliamini kwamba hakuna infidelity... na ukiona unasema hivyo ujue uko kwenye range ya plus or minus two years na ndoa yako

Baada ya hapo utaitikia tu, call of nature

Kama mnabisha sahuri yenu

Acid wewe tu ndiye unayesema hayo...
Mimi kwangu 'no to infidelity' itaendelea kuwa pale pale...
 
Read and understood.......
But damn my memory, all forgotten!

Mi memory card yangu imekuwa formatted....hivi umeandika nini Smiles?

Hapa mnajadili nini vile?

Mimi nina tatizo la kudumu la kukumbuka Smiles...

Hapa Smiles mm sijakuelewa kabisa

Well...nimeelewa.....
dah sorry nshasahau....naomba kuangalia avatar yako kidogo.....(Asprin haoni posti hii)

Mi sloo lena bana nielimishe

kambi ya upinzani imeleta draft bill mbadala wakati original bill imeshajadiliwa na kupitishwa.

Sijui kwanini leo sijavaa mawanio yangu. (Sioni kabisa):becky::becky:

........tehe tehee!! samahani...ISC? au?
bado sijawa member bado.au niingie kwenye Infidelity Combating and Prevention Club - ICPC?

Mh, Katibu na mweka hazina..jamani hivi Spika analiona hili kweli amekubalije hii hoja ije hapa mezani? hawa kambi ya upinzani inabidi wafungiwe kwa wiki moja...

Aje akuombe ushauri?

Nani alikuambia kuna mwanachama hai wa ISC anaharibikiwa nyumbani? FYI chama kinamlinda!

Neno lako ni amri. NEC ya ISC itamng'oa huyu spika kwa kuruhusu mijadala mibovu kama hii:confused2:

Sikumbuki kama nilifanikiwa kusoma hata moja.....Hazinihusu kabisaaaaaaaa:mad2::mad2::mad2:

The following message is infected by virus ndivyo kompyuta yangu inavyosema smile sijui kwa wapwa zangu wengi

Weraaaaaaa weraaaaaaa mtajipanga sawa sawa eti memory zimepotea fungueni macho mtasoma tuHeko heko heko nyingi kwako Smiles.


:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:

kusoma tumesoma, tatizo hizo rules hazikai coz, memory card imechomolewa na Da sophy....

Hakuna rules pale, ....kuna wishes!

Tatizo hawajui kusoma ishara za nyakati!

duh.... the virus is contagious... i just got mine infected too

the only problem with infidelity prevention ni kwamba the disease is oxygen-born, so once you breath in oxygen, you run a high risk of being infected...

Lily Flower usijifanye mbishi kama CCJ njoo chama tawala CCJ walibana wee wenyewe wakarudi

I will try to hack it using INFI and see if it really works by the way kwenye chama chetu kuna viti maalumu unakaribishwa

:confused2::confused2: Kumbe umepewa kiti cha upendeleo..... Overstood again...:horn:

infidelity is here to stay

Memory zote kwishnei...
Nyingine formatted...
Macho hayaoni...
:confused2:
 
Acid wewe tu ndiye unayesema hayo...
Mimi kwangu 'YES to infidelity' itaendelea kuwa pale pale...
Umenena vema.... Sasa lete lile tunda tukatiane. Natangulia utanikuta kwenye inbox yako!:welcome::welcome:
 
Umenena vema.... Sasa lete lile tunda tukatiane. Natangulia utanikuta kwenye inbox yako!:welcome::welcome:

Oh please dont quote the wrong words.....
Askofu yupo hapa unajua?
Au unataka kitubio...??:confused2:
 
Umenena vema.... Sasa lete lile tunda tukatiane. Natangulia utanikuta kwenye inbox yako!:welcome::welcome:

Hivi hujui kwamba bibie huyu hawezi kwenda mwenyewe??
We mshiko mkono umuongeze kwenda chumba kisicho na kitanda....au nizidi kutoa lekcha??:mad2:
 
Oh please dont quote the wrong words.....
Askofu yupo hapa unajua?
Au unataka kitubio...??:confused2:
Askofu ni mfadhili mkuu wa ISC! Eti huu ushauri hapa chini nalazimika kuuzingatia au utakuja mwenyewe?

Hivi hujui kwamba bibie huyu hawezi kwenda mwenyewe??
We mshiko mkono umuongeze kwenda chumba kisicho na kitanda....au nizidi kutoa lekcha??:mad2:
 
Askofu ni mfadhili mkuu wa ISC! Eti huu ushauri hapa chini nalazimika kuuzingatia au utakuja mwenyewe?

"stampin my foot down..." AM NOT GOING ANYWHERE.....:mad2::mad2::mad2::mad2:
 
Now u r talking... memory inekuwa re-booted...



U better Not sister... Hao ni Mbwa Mwitu... watakurarua...



For future reference... Yes

Hivi Askofu baada ya zile Serengeti ulizokunywa jana ulipoamka asubuhi umekunywa supu au umepiga dash kunywa supu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom