How to prevent "Infidelity"

Well...nimeelewa.....
dah sorry nshasahau....naomba kuangalia avatar yako kidogo.....(Asprin haoni posti hii)

Taratibuuuu.......
Tutarudia tena hilo somo kesho kuhakikisha linakaa kichwani.....:becky::becky::becky:
 
kambi ya upinzani imeleta draft bill mbadala wakati original bill imeshajadiliwa na kupitishwa.

Aisiii! Hii kambi kweli imefulia. Ngoja nirudi kule nyumbani. Katibu hii usiinukuu tafadhali:lol::lol:
 
Mi sloo lena bana nielimishe

Ni hivi: hizo unazoona hapo juu ni kinga mbadala na ule ugonjwa hatari sana unaoitwa "infidelity"
Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba ugonjwa huu ni hatari kabisa kwa afya za wadau na mahusiano yao....
hivyo basi ili kujikinga ni vizuri kuzingatia hizo guidelines hapo juu.....:smile-big:

Tunaenda sambamba sasa....?
 
Hapo kwenye red unataka kutuambia wewe ukiona kitanda tu basi kwishnei.......unaangushwa kama kuku?
Samahani kama nimekukwaza

Hapana: hiyo imewekwa hapo mahsusi kwa members wa infidelity social club.....
They know what i mean!:becky:
 
Aisiii! Hii kambi kweli imefulia. Ngoja nirudi kule nyumbani. Katibu hii usiinukuu tafadhali:lol::lol:
Hii haiingii kwenye kumbukumbu!........hivi bht wapi jamani? ...huyu tungempa kazi ya U-mabere marando wa ze club.
 
Hapana: hiyo imewekwa hapo mahsusi kwa members wa infidelity social club.....
They know what i mean!:becky:
........tehe tehee!! samahani...ISC? au?
bado sijawa member bado.au niingie kwenye Infidelity Combating and Prevention Club - ICPC?
 
Mh, Katibu na mweka hazina..jamani hivi Spika analiona hili kweli amekubalije hii hoja ije hapa mezani? hawa kambi ya upinzani inabidi wafungiwe kwa wiki moja...
 
Hii haiingii kwenye kumbukumbu!........hivi bht wapi jamani? ...huyu tungempa kazi ya U-mabere marando wa ze club.
Muulize bacha....mara ya mwisho alituambia yuko kwenye kambi yake...:becky::becky::becky:
 
Mh, Katibu na mweka hazina..jamani hivi Spika analiona hili kweli amekubalije hii hoja ije hapa mezani? hawa kambi ya upinzani inabidi wafungiwe kwa wiki moja...

Hivi Spika nani ana mamlaka ya kumng'oa?
 
Mh, Katibu na mweka hazina..jamani hivi Spika analiona hili kweli amekubalije hii hoja ije hapa mezani? hawa kambi ya upinzani inabidi wafungiwe kwa wiki moja...

:lalala::lalala::lalala::lalala::lalala:
 
Mh, Katibu na mweka hazina..jamani hivi Spika analiona hili kweli amekubalije hii hoja ije hapa mezani? hawa kambi ya upinzani inabidi wafungiwe kwa wiki moja...

Kambi ya upinzani haina hata viongozi bana....eti mi ndo katibu wa anti-infidelity......:becky:....
Hapa naweka kumbukumbu zote kapuni.....
 
Hapana: hiyo imewekwa hapo mahsusi kwa members wa infidelity social club.....
They know what i mean!:becky:

Smile,

Hiyo mikakati yako iko kwenye nadharia sana. Too theoretical and hypothetical to be realistic.

Infii ni muhimu sana katika kuimarisha main home. Believe me, this package can't help. I bet you $10K
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom