figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Habari nilizopata hivi punde ni kwamba hotel ya seacliff inawaka moto sasa hivi. Na moto ni mkubwa sana. so wenye access nafikiri watafuatilia kwa karibu hili swala. Mia

Kwa mara nyingine tena!!! Dah! naona huu umeshakuwa mchezo wa hawa wahindi labda kuna kitita cha bima maana haiwezekani katika miaka michache baadaye moto mwingine utokee katika hotel ile.
inaunguwa au wanaiunguza?
Sinema NYINGI zinaendelea KUTUSAHAULISHA Dr.ULIMBOKA.hi ni Movie ya nane.

sinema zimeshika hatamu, mara Jk agawa ng'ombe kwa wamasai..tehe