Hotel ya Sea Cliff inawaka moto sasa hivi

Duu, kuna wageni?. Taka vunguni?,....nyanyua tanda. Usipo ziba ufa?... mizi chungulia dani. 1+3=13. Bima Bima Bima Bima BIMA Janja janja janja janja hindi hindi hindi hindi....
 
Sea cliff haiwaki moto acheni uzushi.. Nimepita hapo mda si mrefu moto uko kule mbele ya parkin matairi yamechomwa moto ikaleta kizaa zaa... Sea cliff hotel is fine

Hafadhali maana nilijua mchezo ule ule wa janguo kuchoma limousine lake!
 
Kawaulize wanataka tufunge hizi kampuni za bima,,,awajachoka na bima zetu kila mwaka jamani hata kama mnapata loss mtakimbilia bima mpaka lini
 
kwa mara nyingine tena!!! Dah! Naona huu umeshakuwa mchezo wa hawa wahindi labda kuna kitita cha bima maana haiwezekani katika miaka michache baadaye moto mwingine utokee katika hotel ile.

wana bima hawa wasingekubal kuacha hasara ijirudie tena
 
wanaiunguza tena wahindi, hahahaaaaaaa, tanzania bana!wanakwepa kodi hawa, hawana lolote!
 
Kama picha la kihindi vile, ukitaka kujua wanazuga subiri utajiwe idadi ya watu waliokufa au majeruhi. utaambiwa hakuna aliyekufa
 
Msisitizo kwenye fire extinguishers kwenye magari, magari ya zimamoto ya Serikali sijui mangapi yanafanya kazi au wafanyakazi hawapo kituoni au hayana maji.
 
Back
Top Bottom