Hotel ya Amsterdam iliyoko Mbezi Beach inateketea kwa moto mida hii

Aisee, jeshi letu la zimamoto liangaliwe upya. Kila kitongoji kiwe na askari wake wa zimamoto (decentralization). Bila hivyo tutaendelea kuumia
Sie bado sana, hata hivyo mungu anatunusuru na majanga mengi sana km tetemeko,mafuriko land slides,otherwise tungeisha!

Kitendo cha nchi kushindwa kuajiri kitatutesa sana..
Palitakiwa kila kata iwe na kituo cha polisi chenye
1)Gari la polisi doria
2)Gari la zimamoto
3)Gari la wagonjwa
Na vituo hivi vingestahili viwe active 24hrs.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Sie bado sana, hata hivyo mungu anatunusuru na majanga mengi sana km tetemeko,mafuriko land slides,otherwise tungeisha!

Kitendo cha nchi kushindwa kuajiri kitatutesa sana..
Palitakiwa kila kata iwe na kituo cha polisi chenye
1)gari la polisi doria
2)gari la zimamoto
3)gari la wagonjwa

Indeed
 
Sishauri iajiri hovyohovyo itumie zaidi A.I, imejaribu tu kuajiri na kuongeza mshahara juzijuzi tu,matozo yameongezeka kila pahala,isiajiri Kwa kutaka misifa bora iimize watu kwenye kujiajiri na kuwapa usaidizi wa mitaji kupitia Mifuko ya halmashauri zao,kukopeshana zana za kilimo n.k.
 
Hii ni mfano;
Weka picha kama hivi ndg Erythrocyte ili jamii ya JF ikuelewe.

Screenshot_2022_0913_073046.jpg
 
Back
Top Bottom