Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 11,542
- 12,404
Habari za humu Jumba la Melo!
Ninatarajia kupata mgeni kesho Ijumaa hii akitokea kusini kwa kina Miso Misondo.
Mgeni wangu amehitaji hotel au lodge nzuri maeneo ya Ukonga, Gongo la Mboto au Pugu, anahitaji hotel au lodge kwenye eneo mojawapo ya hayo lkn kuwe na utulivu kiasi cha kuweza kupumzika na kufanya tafakari chache ktk kipindi anbacho atakuwepo hapa mjini kwa siku 3 hv.
Bajeti ya hotel au lodge ni 30k-70k
naonba msaada kwa mwenye uelewa wa sehemu hizo za accommodation.
Naamini JF ni jungu kuu lenye watu kila eneo hivyo tutapata assistance. Ukifanikisha jina, sifa na namba ya simu itakuwa poa sana.
Nawasilsha!
Twilumba hapa, Mwenyeji wa mgeni kutoka Kusini