hotel

  1. Emanueli misalaba

    Emerald hotel Zanzibari, kwa sasa ni The Mora Zanzibar hotel

    Wana Jf habari za kutwa nzima ya leo wakuu! Wadau kuna kitu hapa sielewi natamani wajuzi wanisaidie huenda hofu na mashaka vikaniondoka. Wiki hii tangu ianze 04/03/2024, hadi siku ya leo 08/03/2024, imekuwa ni wiki ya u busy sana wa misafara ya kila mara ikitoka na kuingia si asubuhi, si...
  2. Twilumba

    Hotel au Lodge nzuri maeno ya Ukonga, Gongo la Mboto hadi Pugu

    Habari za humu Jumba la Melo! Ninatarajia kupata mgeni kesho Ijumaa hii akitokea kusini kwa kina Miso Misondo. Mgeni wangu amehitaji hotel au lodge nzuri maeneo ya Ukonga, Gongo la Mboto au Pugu, anahitaji hotel au lodge kwenye eneo mojawapo ya hayo lkn kuwe na utulivu kiasi cha kuweza...
  3. jaomjazymee

    Business plan and proposal of simple Hotel

    Habari za muda huu wadau. Pole kwa majukumu Niko hapa naomba ushauri kuhusu biashara ya min Hotel. ningependa kujua kuhusu; -jinsi ya kuandika business plan na proposal -location kwa mkoa wa dar - mtaji kiasi gani kwanzia kiwanja, kujenga, na all necessary equipments. -risk zitokanazo na...
  4. Minjingu Jingu

    Hotel nzuri za bei Rafiki Bagamoyo

    Wadau sijawahi enda Bwagamoyo ila mwaka huu nimeona badala ya kwenda ku enjoy Dubai niende Bagamoyo nikakae hata week 2 Hotel flan hivi ufukweni maana mfukoni kume shake kidogo. Naomba mnisaidie majina ya Hotels nzuri za bei ya Taifa changa. Iwe kuanzia 50,000 mpaka 70,000. Ufukweni. Chumba...
  5. A

    DOKEZO Ubovu wa barabara ya Hoteli tatu kwenda Kilwa Pande

    Wakazi wa kulwa pande tuna kero kubwa juu ya barabara hii. Kila siku tunapigwa kalenda tu kwamba itajengwa kwa kiwango cha lami lakini hakuna utekelezaji. Serikali itambue wajibu wake, sio kujenga barabara za mitaa za Makao Makuu ya Halmashauri na Kijijini wanakuachia.
  6. M

    Kuna siri gani kati ya mabasi ya mikoani na hizi hoteli wanazosimama kulisha abiria?

    Je, ni kwamba hizi hotel zinamilikiwa na hawa wenye mabasi au wenye mabasi wanapata nini hapa maana unakuta mabasi yanaendelea kusimama katika hotel hizihizi licha ya hotel kuwa na; Huduma mbovu na ghali - Vyakula ni ghali hlf vina viwango duni. Unaagiza chakula ni basi tu kupooza njaa lakini...
  7. P

    Natafuta kazi kati ya hizi

    Wapendwa, Ukiwa 2mil unaweza anzisha biashara ya uwakala/miamala ya cm Na je inalipa ?? Nahitaji kufahamu faida na changamoto zake
  8. Jugado

    Natafuta lodge au hoteli nzuri ya kukaa na familia Bagamoyo kwa wiki moja

    Wadau anaejua hoteli au lodge nzuri ya kuchili na familia msimu wa Desemba anipe machimbo. Price isizidi laki Kwa siku. December hii sisafiri pia hatutaki kashi kashi. Asante. NB. Ikiwa Dar iwe sehemu isiyo na makelele.
  9. GENTAMYCINE

    Naomba kujua Mmiliki wa Hotel inayokuja kwa Kasi sana Unguja Zanzibar ya Kwanza Hotel

    Nijibuni haraka kwani kwa jinsi ilivyo, ilivyojengwa kwa haraka kuanzia tarehe 21 Machi, 2021 na inavyojaza Watu sasa na Huduma zake na Mimi GENTAMYCINE natamani kwenda, ila ili niende nikiwa na Furaha tele ningependa hasa nimjue Mmiliki wake ili nimpongeze kwani amejua kutumia Fursa na Mwanya...
  10. M

    Tuko na hii mifumo ya computer(Application systems)

    Habari wote, Sisi ni wataalam wa kutengeneza mifumo mbalimbali ya computer(Computer Application systems). Na kwa sasa tuna mifumo ifuatayo ambayo inaweza kukusaidia katika kuongeza ufanisi na kupunguza gharama kwa biashara zako. Point of Sale (700,000 Tzs):Hii inatumika kusaidia kuhifadhi...
  11. M

    Msaada wa hotel nzuri Dar es Salaam isiyozidi 50,000

    Habarini kaka na dada zangu. Naomba msaada wa Hotel nzuri hapo Dar. Budget yangu ni Tshs 40,000 mpaka 50,000 kwa night. Natarajia kukaa week nzima hapo Dar es Salaam. Vitu navyozingatia ni utulivu na usafi wa sehemu. Asanteni kwa muda wenu.
  12. ephen_

    Anayesupply samaki popote Golden, akae akijua anafanyiwa fitina

    Habari Wanajf! Leo Nikasema nijitoe out nikaenda Zangu Msasani kwenye hotel ya Golden. Nilipofika kama kawaida akaja Muhudumu akanipa Menu ya vinywaji nikachagua, Nikapewa menu ya chakula nikawa naperuzi ipi nichukue. Macho yangu yakatua kwenye Grilled Fish! Basi nikamwambia niletee hii pamoja...
  13. stan john

    Naomba kujuzwa Lodge au Hotel ambayo naweza kulala maeneo ya Manzese

    Naomba kuuliza naweza kupata hotel au lodge nzuri na yenye usalama maeneo ya manzese isiyosidi 25k , nataka kukaa siku tano bajet yangu ni hiyo. Natokea Mbeya nakuja kuleta ndizi mabibo sokoni.
  14. Jamii Opportunities

    Hotel Supervisor at Altezza Travel

    Position: Hotel Supervisor Start Date: 9/30/2023 Salary: Negotiable Job Type: Full Time Location: Moshi Responsibilities Supervise work at all levels (receptionists, kitchen staff,.) and set clear objectives. Plan activities and allocate responsibilities to achieve the most efficient...
  15. Jackal

    Shambulio la Mossad Tehran lawakimbiza Wataalamu wa Drone wa Urusi kujificha kwenye hotel

    Taarifa iliyovuja na Washington Post kuipata ni kwamba Urusi imekuwa ikisaidia Iran kutengeneza drones chapa Shahed -136 ============== Russian officials visiting Iran as part of cooperation on attack drone development earlier this year were forced to hunker down in their hotel after an...
  16. figganigga

    Mwakyembe alimtembelea Dr. Slaa Serena Hotel, lakini Kashindwa Kumtembelea Korokoroni Polisi Mbeya

    Mwakyembe yupo Pale Kyela Mbeya, leo ni siku ya tatu Dr. Slaa anajisaidia kwenye Ndoo akiwa Korokoroni viunga vya Polisi kati Mbeya. Lakini rafiki yake kipenzi hajamtembelea hadi leo. 2015 wakati Dr. Slaa anajiondoa CHADEMA, Mwakyembe alienda Serena Hoteli Dar es Salaam kumpongeza na kudai ni...
  17. comte

    Mbowe, kama ubia ni kuuza waondoe Protea Hotel kwenye uendelezaji, uboreshaji, na uendeshaji wa hotel yenu ya Aishi Machame

    Protea Hotel Aishi Machame ni hotel inayo milikiwa kwa urithi na Freem A. Mbowe. Kwa ushauri wa mtu ambaye si busara kumtaja hapa, Mbowe aliwapa Protea Hotel waiiendeshe ikiwemo na maana watumie brand yao kumtafutia wateja kwa ujira wa mrahaba wa mapato. Kwa vile Mbowe anajua faida ya kuwa...
  18. Artifact Collector

    Hotel ipi dar nzuri iliyoko mbezi beach kwa kufanya tafrija ndogo

    Ni hotel ipi dar nzuri ambayo unaweza fanya tafrija ya watu kama 30 hivi ambayo ipo maeneo ya mbezi beach
  19. peno hasegawa

    Ni nini hatima ya maelfu ya hotel za kitalii zilizopo jiji la Arusha?

    Uuzaji na ubinafsishaji wa mali za wananchi watua huko Kilimanjaro. Kuna kila dalili hali ikawa mbaya kwa wananchi waliojenga mahotel ya Kitalii arusha mjini kwani: 1. Watalii watashuka uwanjani watalala hapo hapo uwanjani na asubuhi wataondokea hapo kwenda National Park. 2. Wakitoka National...
  20. masai dada

    Hoteli nzuri za kufikia unaposafiri kwenda nje ya Nchi

    Habarini Wakuu, Wengine huwa tunajilipua tu haswa kwenda kutizama fursa na kufanya biashara na kutalii. Unakuta hatuna guide wala wa kutupokea. Bila kusahau mikoa mbalimbali haswa ya kibishara. Na miji mikuu ya nchi kama Nairobi, kampala. Kwa wenye exposure jamani tuambien hotel za kufìkia na...
Back
Top Bottom