Hongereni Mabasi ya Kilimanjaro Express

Your marketing strategy is disgusting,it wont work like that by blackmailing other companies.by the way wachaga hawana hizo dhiki sijui AC,Washroom,.they underwent civilazation long time ago.wachaga hu support company za wachaga wenzao.
 
Kuna kitu kinaitwa ESTHER EXPRESS dar, arusha, moshi ni shida aisee kitu ina wi-fi, kila city ina tv na head phone unaweza kukunjua seat na ukalala kama vile upo hotel nyota 5 full ac, charge! Tahmeed anakalishwa vibaya sana
 
Umeandika english nikijua kuna point

Tahmeed ya dar arusha zinajaza mno.pia tahmeed za tanga arusha zinapendwa mno
 
Hawa jamaa ila Konda na Suka wao wana rugha ambazo sio kabisa, sijajua kama ni mabasi yote, ila kuna basi moja la Dar to Arusha kwa kweli konda sio kabisa plus Dereva wao
Kila kitu unataka kujifanya mjuaji
Halafu huna hata unachojua
 
Hatimaye nimetimiza mpango. Ndani ya Tahmeed sasa, tumefika Korogwe. Safari ni ya kutoka Dar kwenda Nairobi!

Very comfortable sana hawa Jamaa!!

Sidhani kama ana mpinzani, kama yupo aseme..
Aisee nafikiri uwape mrejesho vizuri nisionekane nawadanganya
 
Kila kitu unataka kujifanya mjuaji
Halafu huna hata unachojua

we ujanjua nini, kushinda kwenye mitandao kusifia ujinga, Hao Tahmeed hakuna kitu hapo, hayana tofauti na Dar express au Klm tena bora hata Klm, choo chenyewe pambo, siti za kuumiza magoti,
 
Kuna kitu kinaitwa ESTHER EXPRESS dar, arusha, moshi ni shida aisee kitu ina wi-fi, kila city ina tv na head phone unaweza kukunjua seat na ukalala kama vile upo hotel nyota 5 full ac, charge! Tahmeed anakalishwa vibaya sana

Jambazi hiyo ESTHER ni ya ukweli au sijawahi kuisikia embu nipe data zake
 
kumbe hana hata asili ya uarabu?? Duga Maforoni iko Mombasa, Kenya au Tanga, Tanzania??? haya boss wake Salim Kirozo, sasa wewe uko falcon mbona wapigia debe Tahmeed???? hebu tupe historia yake kwa ufupi basi, nilikuwa namjua zamani alikuwa anafnaya kazi Tawfiq kama sijakosea nae alikuwa mfanyakazi wa kawaida, mie mtu wa Bagamoyo ila mwenyeji wa Mombasa.
Bagamoyo sehemu gani? naona kama nakufananisha.
 
Mkuu falcon mombasa nisamehe kwa kutopanda Tahmeed leo frm Ars - Dsm. Nilisema nibadilishe ladha kwa kupanda hii dar express mpya ila nimeishia kujuta. Majuto haya ni karibu abiria wote. Zile siti ulisema ni kwa ajili ya watoto wa chekechea ndo nimekaa. Pia basi halijaondoka kwa muda... abiria karibu wote hawana furaha. NINAJUTA KUIPANDA HII DAR EXPRESS..
 
siyo kwamba mimi ni mbaguzi,lakini ukweli ni kwamba mabasi yanayomilikiwa na watu wenye asili ya ASIA huwa yanaambatana na majini,kuna muda wake hasa mwisho wa mwaka huwa zinaua sana,angalia NAJIMUNISA,MORO BEST,MOHAMED TRANS,ABOOD,HOOD,ADVANCHER,NBS,SABENA,AIR BUS,AM, ni majanga mtupu abilia muwe macho.
 
Pole sana mkuu,usirudie tena makosa.watu wengi hawakunielewa niliposema ukweli walidhani naongea uongo,.niko njiani naelekea nairobi i hope tutapishana somewhere.next time nipm nikupe best seat of your choice.
 
siyo kwamba mimi ni mbaguzi,lakini ukweli ni kwamba mabasi yanayomilikiwa na watu wenye asili ya ASIA huwa yanaambatana na majini,kuna muda wake hasa mwisho wa mwaka huwa zinaua sana,angalia NAJIMUNISA,MORO BEST,MOHAMED TRANS,ABOOD,HOOD,ADVANCHER,NBS,SABENA,AIR BUS,AM, ni majanga mtupu abilia muwe macho.
Mmiliki wa tahmeed ni mzaliwa wa tanga.sina hakika kama tanga ni ASIA
 
Jumamosi hii ya juzi kilimanjaro express wameanza kufunga ac kwenye bus zao nne ambazo zitaanza kutumia ac siku ya jumatano kesho kutwa,i hope dar express nao watabadilika.

me nashauri pia utunzaji wa vitu ndani ya gari uwe mzuri bora waweke lock kila abiria awe na ufunguo wake last year my sister aliibiwa begi lake security ya ndani ni very poor hata wahudumu wengine hawana customer caring nzuri ila nawapongeza kwa upande wa hotel Kilimanjaro motel ipo vizuri plus delicious food
 
Sasa kuna sababu gani unakuja na story za KBS kisha unahamia tahmeed?...haya wamekupa shilingi ngapi kuwapigia debe kwa kuponda wenzake? Una katabia kale alikokaimba Bob Malya ...'rat race'

Utaolewa na watu waliyowafanya babu zetu kuwa watumwa na kuwafunga minyororo...mtu mwenye akili hawezi kushabikia watu wajinga wasiosoma kama waarabu...labda kama anataka elimu ya kujilipua...ni hayo tu..ila tabia ya kuponda wengine ili upate mkate haikusaidii zaidi unajidhalilisha...unamuga mkeo unakwenda kazini unaishia kusifia waarabu...mwafrika mweusi hapaswi kumbatana na waarabu kupitia kazi, dini na hata elimu yao...
 
Back
Top Bottom