Hongereni Mabasi ya Kilimanjaro Express

Aisee umenikumbusha mbali sana enzi za born city Dar - Arusha,enzi hizo tunatoka Arusha saa 12 jioni tunafika dar saa 10 Usiku ,chakula tunakula mombo yaani mombo ukipita usiku ni kama mchana vile kumechangamka balaa,aisee daraja la wami tunapita saa 7 au 8 usiku mnaanza kuamshana daa long time na mpinzani wa born city alikuwa anaitwa SMAA ,enzi hizo za nissan diesel ,enzi za isuzu,leyland,leyland daf

SMAA nakumbuka lilikua limeandikwa WAMSEGEJU kwenye kioo cha mbele juu. Sjui hata walimaanisha nini!!

Kulikua pia na Machame Luxury na Bazuu (jeusiiii). Bazuu lilikuaga la kwanza kuingia stendi chugga safari zilipobadilishwa kuwa mchana na Lyatonga. Saa 7 washaingia. Kuna stori liliwahi kugeuza kurudi Dar baada ya kushusha. Ilikua msimu wa mafuriko. Luxury ya wakati huo FRESH YA SHAMBA. Baadae ikaja AIR CHALINZE.

falcon mombasa,
Kuna changamoto kwenye biashara ya luxury buses. Fresh ilijipotelea then Air Chalinze zikaungua zote moja hapohapo Chalinze!! Ikaja Scandinavia. Alipovamia tu ruti ya Ar-Dar haikupita miaka mitano na kampuni ikafa. Hao Tahmeed nao washaunguza limoja sijui hata la wapi. Section ya luxury kwa Ar-Dar mwachieni Dar Express na kwa sasa Kilimanjaro Express.

Hao Kilimanjaro jana nimeona wameingiza kifaa kimebebwa na semi trela. Sasa sijui ni jipya au ndo rangi? Ila linaonekana kama bodi tofauti japo Marcopolo. mocharles saidia hapa.

Hiyo michina yenu sjui TAH... nini nini huko pelekeni Mombasa na Tanga. Na ruti za huko kusini huwaambii kitu kwa michina. Kaa makambako uone. Alianza New Force basi wote huko fulu michina. Chugga luxury leta Scania bana!!
 
Mkuu falcon mombasa nisamehe kwa kutopanda Tahmeed leo frm Ars - Dsm. Nilisema nibadilishe ladha kwa kupanda hii dar express mpya ila nimeishia kujuta. Majuto haya ni karibu abiria wote. Zile siti ulisema ni kwa ajili ya watoto wa chekechea ndo nimekaa. Pia basi halijaondoka kwa muda... abiria karibu wote hawana furaha. NINAJUTA KUIPANDA HII DAR EXPRESS..
tukisema tunaonekana wabaya dar express zamani sio sasa ana basi moja tu zuri hadi ubahatishe
 
Next time upande tahmeed ndio iko certisfied na sumatra kwa kanda ya kaskazini kuwa ni bus za kifahari na hakuna kampuni nyingine yenye sticker hiyo zaidi tahmeed,sisifii tu bali nazungumza kitu ambacho kipo
Acha uongo wewe jumanne nimetoka Dar nimepanda kilimanjaro la daraja la juu na huku tukifuata na matatu ya first class
 
tukisema tunaonekana wabaya dar express zamani sio sasa ana basi moja tu zuri hadi ubahatishe

Sina hakika ila kuna zaidi ya basi 8 za Dar Express mpya. Ishu ni kuzipata lazima uwe mzoefu nao. Pia ana mikweche ya hatari ina miksi ya mchina na scania. Haya ukipanda lazima ukome.

Jinsi ya kuyajua ma Dar Express mabovu. Soma namba BGQ au BG... lolote, CDQ na range hizo, CZB na CZ.. zote. Mazuri ni DEL, DBU, na range zake. Jamaa anazungusha kama basi 10 njia moja. Naona siku hizi kaacha ule mtindo basi ikichoka tu anauzia kina Mtei wapeleke Babati huko.
 
Kilimanjaro Express wana basi mpya certified full luxury na Sumatra (falcon mombasa) ila wana utapeli unapoenda kukata tiketi hawakuandikiii namba ya basi isipokua kwa zile luxury zenye choo (ambacho huruhusiwi kunya ni kukojoa tu) na AC. So ukifika siku ya safari unajikuta umepanda mkweche au zuri. Pathetic!! Huwa situmii hiyo kampuni kabisa kwa huo ubabaishaji.

Hizo Tahmed bado sana kushika soko. Wanahitaji kubadili mindset ya wateja wa luxury chuga ambao kwao Scania ndo kila kitu.

Na hii imeanza zamani. Miaka ya mwishoni mwa themanini hadi tisini katikati kulikua na basi za kawaida zinaitwa Sawaya (Kilimanjaro ya sasa) zilikua Nissan Diesel. Basi pale wami ungependa zinavyokatwa na Scania kina Shabaha, Air Msae, Mapande, Dar Express n.k. Hizo Sawaya zilikua na ajali sana. Halafu kukawa na Tawfiq, Tawakal na mengineyo ya waarabu nayo Nissan Diesel. Wao ni taarabu full safari na miharufu ya tambuu na pariki. Fujo na maneno ya makonda wao ndo usiseme. Walau Tawfiq walikua wanapiga na mabuzuki.

Luxury zilizokuwepo zote Scania anzia kina Fresh ya Shamba hadi Dar Express.

Sasa hiyo huenda ilitengeneza blue print. Scania ndo luxury na ndo mwendo. Aina nyingine yoyote ni majanga.
 
mbona tahmeed watu wanapanda sana tu mkuu
 
Acha uongo kilimanjaro haitokeagi stendi ya arusha unajua ofisi zao zilipo? Au unataka kuwachafulia tu?
asante bora ata umemjibu....... sasa me najiuliza tangu lini kilimanjaro likaingia stand ya chuga akati wanayo stand yao....!! Jamaa anatunga uongo usipojua waeza sema ni kweli
 
Jaman jana mimepanda tahmed gar kusema kweli ni zur mwendo wa kisitarabu charg system zinafanya kazi sema tu wabongo sijui uwape nn wanangoa zile por t za charg
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom