Hongereni Mabasi ya Kilimanjaro Express

Kwanza kabisa naomba nitoe pongezi kwa kampuni ya mabus ya kilimanjaro kwa kuona thread yangu wiki mbili zilizopita na kuamua kuifanyia kazi

Jumamosi hii ya juzi kilimanjaro express wameanza kufunga ac kwenye bus zao nne ambazo zitaanza kutumia ac siku ya jumatano kesho kutwa,i hope dar express nao watabadilika

Ila sasa nataka niwakosoe kilimajaro express,hivi ni ubahili kiasi gani mlio nao mkaamua kuongeza siti kwenye bus zenu zinazofungwa ac?yaani kwa kifupi haina tofauti na school bus tena za chekechea,mmebana siti ziwe ndogooo hakuna nafasi ya kuweka miguu,yaani ubahili huu umepitiliza,hii yote ni katika kushindana na tahmeed.

Sasa kilimanjaro mmebana siti ili waingie watu wengi,tv moja tu,hakuna wifi,siti sio za ngozi,charging system hakuna,fridge na disposer hakuna,halafu leo hii mnataka kushindana na TAHMEED

Ikumbukwe katika njia ya dar moshi arusha nairobi SUMATRA wamethibitisha ni TAHMEED pekee ndio bus la kifahari kwa kubandika sticker ya blue mlangoni kuthibitisha kuwa ni bus la daraja la juu sana

Mbaya zaidi TAHMEED imeleta mabus mapya zaidi ya 25 yapo yard kufikiria ziende route ipi ,hii imewaletea wamiliki wa mabus wa kaskazini waliozoea kufanya biashara kwa mazoea kitu kinachoitwa TAHMEED fever

Kigoma mbeya mwanza songea kahama singida jiandaeni

Mrejesho:
kilimanjaro express wamefanikiwa kufunga choo ambacho hakitumiki na ac wameghaili kuwawekea wateja wao ila wamekumbuka kuongeza siti kwenye bus zao

so sad
Nilipanda kilimanjaro bus....toka Moshi kufika kibaha stendi ile tunatoka tu km 5 hivi gari likaishiwa mafuta!niliapa sita panda tena
 
Modern Coast za Mombasa/Nairobi/ Mwanza ni luxury kweli Tahmeed haoni ndani. Though mabasi ya Tahmeed ni mazuri ukilinganisha na semi luxury za kwnda kaskazini, nyanda za juu na kanda ya kati.
 
Modern Coast za Mombasa/Nairobi/ Mwanza ni luxury kweli Tahmeed haoni ndani. Though mabasi ya Tahmeed ni mazuri ukilinganisha na semi luxury za kwnda kaskazini, nyanda za juu na kanda ya kati.
Nilipanda Luxury Bus/Daraja la juu TAHMEED kutoka Dar kwenda Arusha, mwezi wa nane. Ni kweli ina choo ndani, lakini hakifunguliwi. Kukojoa njeee...... AC iliwashwa mwanzo tu, baada ya chalinze ilizimwa na joto lote la Pwani na Tanga likatupiga kama kawaida. Haina tofauti kubwa sana na Semi Luxury zaidi ya mwendo wa taratibu, upya na seat covers zake ambazo ni kama leather fulani hivi. Bado sijaona Luxury ya kweli
 
Huwezi linganisha Kilimanjaro na Tahmeed kabisa
Ukweli tuongeeni tu
Taheemed na Dar lux ni mwisho wa maneno
 
Nilipanda kilimanjaro bus....toka Moshi kufika kibaha stendi ile tunatoka tu km 5 hivi gari likaishiwa mafuta!niliapa sita panda tena
Acha uongo wewe,siyo bure utakuwa umetumwa,mmiliki wa Kilimanjaro yuko very strictly kuna kipindi alikuwa hataki gari zake zifunguliwe kioo yaani ni full ac ,ukifungua kioo imekula kwako sasa wewe unaleta habari za kuishiwa mafuta wewe umetumwa kumchafuliwa biashara KLM

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
Nilipanda Luxury Bus/Daraja la juu TAHMEED kutoka Dar kwenda Arusha, mwezi wa nane. Ni kweli ina choo ndani, lakini hakifunguliwi. Kukojoa njeee...... AC iliwashwa mwanzo tu, baada ya chalinze ilizimwa na joto lote la Pwani na Tanga likatupiga kama kawaida. Haina tofauti kubwa sana na Semi Luxury zaidi ya mwendo wa taratibu, upya na seat covers zake ambazo ni kama leather fulani hivi. Bado sijaona Luxury ya kweli
Tahmed hamna kitu pale
 
Huwezi linganisha Kilimanjaro na Tahmeed kabisa
Ukweli tuongeeni tu
Taheemed na Dar lux ni mwisho wa maneno
Michina ile kung'aa. Yape miezi. Ziko wapi Yutong zile ndogo? Na sifa zote zilizopewa? Ona abood zile scania marcopolo ziko tu bado
 
Acha uongo wewe,siyo bure utakuwa umetumwa,mmiliki wa Kilimanjaro yuko very strictly kuna kipindi alikuwa hataki gari zake zifunguliwe kioo yaani ni full ac ,ukifungua kioo imekula kwako sasa wewe unaleta habari za kuishiwa mafuta wewe umetumwa kumchafuliwa biashara KLM

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
Hizi bangi zimekua bei rahis!unataka nikutajie namba ya gari na tarehe?ili wafukuzwe kazi?
 
aya mabas ya tahmed ni ya waarabu wazee wa majini kufukuzia ud hutupandi mkuu sisi wachaga tunapanda ya wachaga wenzetu babaake ayo peleka tanga kwenye wafuga majini
mkuu huko Kilimanjaro bado unaishi kijiji gani? dah bado una mawazo ya kijijini jijini.
 
Unaangaliaje usalama wewe?au hujui unachozungumza exactly?
IMG_20160924_000142_993.jpg

Ni basi gani hilo upande wa kulia! Je usalama upo??
 
Back
Top Bottom