Kwa takribani mwezi na ushee sasa katuni zinazochorwa kwenye gazeti la Mwananchi na cartoonist maarufu nchini Masoud Ally 'Kipanya' ziko gizani kuungana na sisi wananchi kuomboleza mgao wa umeme unaoendelea nchini.BIG UP Kipanya kwa ubunifu huo.TUKO PAMOJA.