Serikali yaeleza kwa kina sababu ya mgao wa umeme na mwisho wa kumalizika kwa changamoto hiyo

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,334
9,755
Ndugu zangu Watanzania,

Serikali yetu imetoka hadharani kupitia katibu mkuu ndugu Mramba kuelezea kwa kina ,marefu na mapana sababu ya mgao wa umeme unaoendelea hapa Nchini.hii ni baada ya watu kuwa na maswali kuwa kwanini kunakuwa na mgao wa umeme wakati huu ilihali mvua zinaendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu.

Serikali imesema ni kweli mvua zinaendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini,lakini imekuwa ni changamoto na kumekuwa na mvua za kusua sua na zisizokidhi mahitaji ya uzalishaji wa umeme wa kutosha katika maeneo yenye mabwawa ya kuzalisha umeme.mfano maeneo ambako kuna mabwawa ya Mtera na kidatu ambapo moja linapatikana wilaya ya mpwapwa mkoa wa Dodoma na lingine wilaya ya kilosa mkoa wa Morogoro kumekuwa na mvua za chini ya wastani na zisizotosha katika mikoa ya Mbeya, Iringa,Dodoma,Tabora,Singida ambayo ndiyo mikoa tegemeo katika kupeleka maji kwenye mabwawa haya.

Hivyo kutokana na mvua kunyesha kwa kiwango cha chini katika mikoa hii imekuwa ngumu kwa mabwawa haya kuweza kujaa maji na kuzalisha umeme kulingana na uwezo wake wa kuzalisha.mfano kwa sasa bwawa la Mtera linazalisha megawati 40 tu kati ya zile 80 zinazotakiwa kuzalishwa katika bwawa hilo.

Hata hivyo serikali imesema kuwa inatarajia hali hiyo ya mgao itapungua muda siyo mrefu kwa kuwa inatarajiwa kuwa mvua za kutosha zitaanza kunyesha mwishoni kwa Mwezi huu na kuongeza kina cha maji katika mabwawa haya.

lakini pia changamoto ya mgao wa umeme itafika kikomo na kubaki historia katika vitabu mwezi machi 2024.lakini pia mapema mwakani serikali itawasha mtambo katika bwawa la mwalimu Nyerere ambalo litatupatua megawati mia mbili na point zitakazo unganishwa katika grid ya Taifa na hivyo kuongeza upatikanaji wa umeme wa uhakika.ambapo zoezi hili la uwashaji wa mitambo litakuwa linakwenda kwa awamu.

Rai yangu kwenu watanzania wenzangu tuendelee kuwa na subira,utulivu na uvumilivu. natambua maumivu yanayopatikana pale umeme unapokuwa umekatika au haupo.najuwa inarudisha nyuma uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa zima kwa ujumla.natambua kuwa kutokuwepo na umeme wa uhakika ni kuwaingiza watu kwenye umaskini wa kipato.kutokana na ukweli kuwa umeme unategemewa na watu wengi katika shughuli mbalimbali za kiuchumi, kuanzia viwandani,wauza samaki wabichi,vinywaji,matunda,saloon za kike kwa za kiume n.k.

Natambua pia kuwa wengi wamekuwa wakipata na kuingia hasara kubwa sana ya kuharibika vitu vyao pale umeme unapokosekana ,hasa ikizingatiwa ukweli kuwa ni wachache sana wenye uwezo wa kumudu gharama za kununua jenereta.lakini pia natambua maumivu makubwa ambayo yamekuwa yakipatikana kwa watu mbalimbali baada ya kupata hasara katika biashara zao zinazotegemea umeme na kuyumbisha mitaji yao,ambao wengine wamekopa katika taasisi mbalimbali za kifedha na zikiwa zinahitaji marejesho ya kila siku au kwa wiki au mwezi bila kukosa wala visingizio.

Hata serikali yetu inatambua maumivu na uchungu huu wa watanzania waupatao kutokana na Changamoto ya mgao wa umeme.ndio maana serikali inaendelea kufanya jitihada za kuhakikisha kuwa umeme wa uhakika unapatikana nchini na kuondokana na umeme wa mgao.tuendelee kuiunga mkono serikali yetu na kuwa wenye subira na uvumilivu katikati ya maumivu.ni mapito tu yanapita.lakini pia tutambue kuwa kutokana na kasi nzuri ya ukuaji wa uchumi wetu imepelekea shughuli za uchumi zinazotegemea umeme nazo kukua na kuongezeka kwa kasi jambo ambalo ni zuri na lenye afya kwa uchumi wetu linaloonyesha sera nzuri za uchumi zinazovutia kuwekeza kwa kiwango kikubwa na hivyo kuongeza wigo wa kodi na mzunguko wa fedha mitaani.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Muda haujawahi kuongopa, naenda palee nitarejea April 1, 2024
Screenshot_20221003-150930~5.jpg
 
nyie ndio wale mlio kuja Duniani.kwa kazi moja tu kusifia hadi ujinga,
 
Mimi nimeleta taarifa juu ya kile ilichosema serikali kuhusu mgao wa umeme halafu wewe unaleta habari za kwamba mimi nasifia .kwani hata hivyo ni vipi ni jinai kumsifia na kumpongeza mtu anayefanya vizuri katika kutekeleza majukumu yake?
 
Ishu sio kuiamini, tatizo hawa viongozi wameshatufanya sisi ni wapumbavu. Rejea majaribio ya SGR
Tuwe na subira na imani juu ya serikali yetu maana kila mtu anaona ukweli kuwa mvua zinazoonyesha mwaka huu siyo kama zile ambazo tulizoea kwa miaka mingi kwa miezi kama hii kiwa nyingi.mwaka huu ni za kusua sua sana kiukweli ,kwa tuliopo mikoa ya nyanda za juu kusini tunajionea hali ya mvua ilivyo siyo ya kuridhisha sana
.
 
Haya bwana.. huku Njiro wanakata saa 2 kamili, kurudi saa 12.
Wauza vitu baridi na bakers mnataka waje kula hapo Ikulu?
Poleni sana ndugu yangu.serikali yetu inatambua maumivu tuyapatayo wananchi na namna hali ya mgao wa umeme inavyo athiri shughuli zetu.ndio maana inafanya kila juhudi kuhakikisha kuwa umeme wa uhakika unapatikana nchini na suala la mgao wa umeme linakwisha na kubaki kama historia.
 
Mtoa taarifa ya serikali huyo Mramba ni failure mkubwa alipokuwa Tanesco MD hakuna alicho deliver hata kimoja nafuu yake Maharage amelifanya shirika limepata mwanga ni wapi lipo na linatakiwa kuwa wapi baadae shida ikaja Kwa uafrika wake tu.
Tulitegemea Huyo mtoa taarifa angekuja na mipango ya kuweka umeme wa dharura ili hali ikae sawa amekuja na ngonjera kama za kizimkazi Kwa kuvuta muda mbele , na Yule aliyepewa Rungu BITEKO Hana jipya amenogewa na nafasi ya kwanza shamba amemuachia FAILURE Mramba .
Wizara ya Nishati inahitaji watu smart kweli kweli si hawa vilaza, Raisi SSH umejikwaa Kwa hawa usisite kubadilisha Mwendo.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Serikali yetu imetoka hadharani kupitia katibu mkuu ndugu Mramba kuelezea kwa kina ,marefu na mapana sababu ya mgao wa umeme unaoendelea hapa Nchini.hii ni baada ya watu kuwa na maswali kuwa kwanini kunakuwa na mgao wa umeme wakati huu ilihali mvua zinaendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu.

Serikali imesema ni kweli mvua zinaendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini,lakini imekuwa ni changamoto na kumekuwa na mvua za kusua sua na zisizokidhi mahitaji ya uzalishaji wa umeme wa kutosha katika maeneo yenye mabwawa ya kuzalisha umeme.mfano maeneo ambako kuna mabwawa ya Mtera na kidatu ambapo moja linapatikana wilaya ya mpwapwa mkoa wa Dodoma na lingine wilaya ya kilosa mkoa wa Morogoro kumekuwa na mvua za chini ya wastani na zisizotosha katika mikoa ya Mbeya, Iringa,Dodoma,Tabora,Singida ambayo ndiyo mikoa tegemeo katika kupeleka maji kwenye mabwawa haya.

Hivyo kutokana na mvua kunyesha kwa kiwango cha chini katika mikoa hii imekuwa ngumu kwa mabwawa haya kuweza kujaa maji na kuzalisha umeme kulingana na uwezo wake wa kuzalisha.mfano kwa sasa bwawa la Mtera linazalisha megawati 40 tu kati ya zile 80 zinazotakiwa kuzalishwa katika bwawa hilo.

Hata hivyo serikali imesema kuwa inatarajia hali hiyo ya mgao itapungua muda siyo mrefu kwa kuwa inatarajiwa kuwa mvua za kutosha zitaanza kunyesha mwishoni kwa Mwezi huu na kuongeza kina cha maji katika mabwawa haya.

lakini pia changamoto ya mgao wa umeme itafika kikomo na kubaki historia katika vitabu mwezi machi 2024.lakini pia mapema mwakani serikali itawasha mtambo katika bwawa la mwalimu Nyerere ambalo litatupatua megawati mia mbili na point zitakazo unganishwa katika grid ya Taifa na hivyo kuongeza upatikanaji wa umeme wa uhakika.ambapo zoezi hili la uwashaji wa mitambo litakuwa linakwenda kwa awamu.

Rai yangu kwenu watanzania wenzangu tuendelee kuwa na subira,utulivu na uvumilivu. natambua maumivu yanayopatikana pale umeme unapokuwa umekatika au haupo.najuwa inarudisha nyuma uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa zima kwa ujumla.natambua kuwa kutokuwepo na umeme wa uhakika ni kuwaingiza watu kwenye umaskini wa kipato.kutokana na ukweli kuwa umeme unategemewa na watu wengi katika shughuli mbalimbali za kiuchumi, kuanzia viwandani,wauza samaki wabichi,vinywaji,matunda,saloon za kike kwa za kiume n.k.

Natambua pia kuwa wengi wamekuwa wakipata na kuingia hasara kubwa sana ya kuharibika vitu vyao pale umeme unapokosekana ,hasa ikizingatiwa ukweli kuwa ni wachache sana wenye uwezo wa kumudu gharama za kununua jenereta.lakini pia natambua maumivu makubwa ambayo yamekuwa yakipatikana kwa watu mbalimbali baada ya kupata hasara katika biashara zao zinazotegemea umeme na kuyumbisha mitaji yao,ambao wengine wamekopa katika taasisi mbalimbali za kifedha na zikiwa zinahitaji marejesho ya kila siku au kwa wiki au mwezi bila kukosa wala visingizio.

Hata serikali yetu inatambua maumivu na uchungu huu wa watanzania waupatao kutokana na Changamoto ya mgao wa umeme.ndio maana serikali inaendelea kufanya jitihada za kuhakikisha kuwa umeme wa uhakika unapatikana nchini na kuondokana na umeme wa mgao.tuendelee kuiunga mkono serikali yetu na kuwa wenye subira na uvumilivu katikati ya maumivu.ni mapito tu yanapita.lakini pia tutambue kuwa kutokana na kasi nzuri ya ukuaji wa uchumi wetu imepelekea shughuli za uchumi zinazotegemea umeme nazo kukua na kuongezeka kwa kasi jambo ambalo ni zuri na lenye afya kwa uchumi wetu linaloonyesha sera nzuri za uchumi zinazovutia kuwekeza kwa kiwango kikubwa na hivyo kuongeza wigo wa kodi na mzunguko wa fedha mitaani.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Ona huyu!
 
Mtoa taarifa ya serikali huyo Mramba ni failure mkubwa alipokuwa Tanesco MD hakuna alicho deliver hata kimoja nafuu yake Maharage amelifanya shirika limepata mwanga ni wapi lipo na linatakiwa kuwa wapi baadae shida ikaja Kwa uafrika wake tu.
Tulitegemea Huyo mtoa taarifa angekuja na mipango ya kuweka umeme wa dharura ili hali ikae sawa amekuja na ngonjera kama za kizimkazi Kwa kuvuta muda mbele , na Yule aliyepewa Rungu BITEKO Hana jipya amenogewa na nafasi ya kwanza shamba amemuachia FAILURE Mramba .
Wizara ya Nishati inahitaji watu smart kweli kweli si hawa vilaza, Raisi SSH umejikwaa Kwa hawa usisite kubadilisha Mwendo.
Serikali yetu pia inachukua hatua za dharura ikiwepo kutumia vyanzo mbadala kuzalisha umeme kama vile umeme wa gas.lakini pia Mramba hafanyi kazi pekee yake ndani ya wizara bali anafanya kazi kama Timu.jicho la serikali yetu lipo ndani ya wizara hii kwa kuwa inatambua ya kuwa pasipo umeme ni hatari kwa uchumi wetu na inaweza kupelekea kuanguka kwa uchumi kutokana na kupungua kwa uzalishaji na shughuli za kiuchumi zinazotegemea umeme.
 
Back
Top Bottom