Hongera Kipanya kwa katuni zako hasa siku hizi za mgao wa umeme........

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
28,903
10,534
Kwa takribani mwezi na ushee sasa katuni zinazochorwa kwenye gazeti la Mwananchi na cartoonist maarufu nchini Masoud Ally 'Kipanya' ziko gizani kuungana na sisi wananchi kuomboleza mgao wa umeme unaoendelea nchini.BIG UP Kipanya kwa ubunifu huo.TUKO PAMOJA.
 
Namshukuru zaidi huyu mwana sanaa kwa namna anavyochangia kutoa taswira ya tatizo tulilo nalo. kwamba tatizo hapa ni majumba ya wachache (< 20% ya watanzania) kutokuwa na taa majumbani mwetu, kukatishwa katikati ya mechi za soka za ulaya kwenye runinga zetu. Kelele nyiingi facebook na katika mitandao mingi GIZA....

Kwamba tatizo siyo kuhujumiwa uchumi kwa kudorora kwa sekta mbali mbali zikiwemo viwanda na biashara...

Kwamba tatizo si kuzorota kwa huduma muhimu za kijamii kama afya na elimu kutokana na uhaba wa nishati...

Anyway who cares?
Its all about what affects me directly. Otherewise viongozi peke yao ndio wabinafsi, not me, not us no never!
Shame on us.
 
Kwa kweli kipanya na gazeti la mwananchi wana staili pongezi nyng sana. Mimi pia nazikubali sana kazi zao. Big up.
 
Mi binafsi nikikamata gazeti la mwananchi baada ya kusoma kichwa cha habari kuu huwa naenda kusoma katuni ya Kipanya ndo nianze kusoma gazeti lote tartiib! Kuna katuni moja ya juzikati alisema "WATANZANIA INABIDI TUJIVUE GAMBA LA UZOBA" binafsi ilinigusa sana.
 
Mi binafsi nikikamata gazeti la mwananchi baada ya kusoma kichwa cha habari kuu huwa naenda kusoma katuni ya Kipanya ndo nianze kusoma gazeti lote tartiib! Kuna katuni moja ya juzikati alisema "WATANZANIA INABIDI TUJIVUE GAMBA LA UZOBA" binafsi ilinigusa sana.

Teh teh kumbe wadau mumeona hilo pia,
Last time Kipanya alisema sisi ndio wakujivua gamba na sio viongozi kwani sisi ndio wenye maaamuzi
 
mnaweza kumpata times fm ipo live kwenye net kwa mlio nje ya bongo kubeba box.andika kwenye google times fm 100.5 u streem live utampata kipanyazzzzzz.
 
Inahitaji ubunifu wa hali ya juu kuweza kua mtaalamu kama huyu jamaa. Binafsi namkubali East Africa nzima,
 
binafsi namkubali kipanya toka kitambo japo nusu ya kwanza ya mzee wa misele alishiriki kumlamba miguu mheshimiwa!
 
mboana hamna hata mmoja wawachangiaji alietupia kati moja ya sanaa zake zaidi ni maneno wekeni vitu watu tuone hizo sanaa zake..
 
Katuni ya leo ya twiga ni kali zaid nimecheka sna.big up kipanya.kaza but watakusuma tu kupitia katun zako.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom