Hongera Kipanya kwa katuni zako hasa siku hizi za mgao wa umeme........

nilisoma interview yake moja daily news, kama kweli anasimamia aliyoyasema basi ni mtu muhimu sana hapa Tanzania aliyeamua kuishi kwa jasho lake na ubunifu mbali na tulio wengi tulioamua kuishi 99% kwa ufisadi na kutowajibika.
Hongera Kipanya
 
Sema hatujafika bei tu, ngoja tuzichangishe utamsikia akisema CCM oyeeeee
The good thing is jamaa si kihivyo, anajitambua sana katika kazi zake na ameikubali nafasi ambayo anahisi Mungu wake amempangia katika hii dunia. He is a man of the people
 
The good thing is jamaa si kihivyo, anajitambua sana katika kazi zake na ameikubali nafasi ambayo anahisi Mungu wake amempangia katika hii dunia. He is a man of the people
Na naamini attampts nyingi kumshawishi zimefanyika na kushindwa.
 
Back
Top Bottom