Home Theater, Sound Bar na HI-Fi Music kilicho Bora kwa Wapenda music Majumbani

Home Theater, Sound Bar na HI-Fi Music kilicho Bora kwa Wapenda music Majumbani. kwa wale ambao tunapenda music..... je kati ya hivi vitu ni kipi ni bora ? tuweze saidiana kama mtu anataka kununua music system ninunue kipi katika ya hivyo.
Inategemea na budget mkuu,

Hi-FI ni kwa Audiophiles wale watu wanaopenda sauti za uhalisia aka studio quality.

Home theatre ni mpangilio wa speaker kumimic kumbi za cinema.

Kama una unlimited budget unaweza ukaweka speaker 21 kama ukumbi wa cinema vile ili upate soround sound nzuri.

Kama budget ndogo unaangukia huko kwenye sound bar na home theatre zenye speaker chache kama 2:1, 5:1 etc.
 
Speaker 21 😁😁 dah balaaaa
 
bajeti ya kimaskini tu Mkuu sh 700,000 - 800,000 za madafu. napenda music hasa usikike kama studio..quality nzuri sana. pia nishauri kati ya Hisense, LG, na Boss upi mziki muziri
 
Inategemea na budget mkuu,

Hi-FI ni kwa Audiophiles wale watu wanaopenda sauti za uhalisia aka studio quality.

Home theatre ni mpangilio wa speaker kumimic kumbi za cinema.

Kama una unlimited budget unaweza ukaweka speaker 21 kama ukumbi wa cinema vile ili upate soround sound nzuri.

Kama budget ndogo unaangukia huko kwenye sound bar na home theatre zenye speaker chache kama 2:1, 5:1 etc.
upande wa HI- Fi mbona unakuwa na speaker chache tu. je inatoa sauti nzuri? na mdundo ule wa maana usiumiza masikio....kama haya madude ya kichina? yana kelele... mi napenda music ambao ukipigwa kama hata wakati wapo studio walidondosha sindano inasikika
 
Sababu lengo la Hifi ni kukupa reality, most of time zinatumika kwenye muziki. Na home theatre zinakupa sorround sound ambazo zipo embebed kabisa kwenye movie.

Ila cha muhimu inategemea na quality ya speaker husika.
 
upande wa HI- Fi mbona unakuwa na speaker chache tu. je inatoa sauti nzuri? na mdundo ule wa maana usiumiza masikio....kama haya madude ya kichina? yana kelele... mi napenda music ambao ukipigwa kama hata wakati wapo studio walidondosha sindano inasikika
Unachotakiwa kujua na kuelewa ni kwamba
Home theater ni kwa ajili ya movie nymbani na ndo maana ikaitwa home theater
Hifi ni kwa ajili ya kula mziki halisi kutoka studio yaani kma kuna kipande zinapigwa ngoma utaziskia ngoma, kwa uzi wa gitaa unacharazwa utauskia uzi, kama unapigwa mluzi utauskia, kama ni tarumbeta utaliskia, kwenye h/theater kuna vitu vinamiss unaposkiliza good music, ukitaka kuinjoi h/theater tumia kuangalia movie na sio muv za kutafsiriwa na wakina dj maki
 
Back
Top Bottom