HOJA MBADALA: Tuhamasishe CCM imsimamishe Membe 2015?

Kosa tulilofanya 2005 kumchagua Kikwete kwa vigezi feki (e.g ni chaguo la Mungu )limetugharimu na litaendelea kutugharimu kwa miaka mingi ijayo. Membe ni nakala halisi ya JK, na kama alivyo JK, hana lolote atakalotusaidia zaidi ya kutuongezea umaskini. Hata hivyo, taarifa ni kwamba mwanakijiji na membe ni ndugu.
 
Kama baba yako yupo, naye hakusomesha wewe eti kwa vile na yeye hakusomeshwa na baba yake ambaye ndie babu yako!, kumlaumu babu yako marehemu, kwa makosa ya kutomsomesha baba yako, na kujustify ndio sababu ya wewe kutosemeshwa, doesn't help!. Wewe mtoto unatakiwa ubanane na baba yako!, leave your late grand alone!. Umenikumbusha story ya Kalumekenge aliyekataa kwenda shule!.

NB. Kuwalaumu the dead ambao wamefanya makubwa kwa taifa hili genuinely, sio kuwatendea haki!. We live in the present!, let the past be the past!. Kuhusu JKN, mimi huwezi kuniambia chochote nikakuelewa, bora ujilalie zako!.

Angalizo tuu: Tuko kwenye mchakato wa kumtangaza JKN "Mwenye Heri", hivyo nguvu ya ki Mungu iko juu yake!, jiulize ni nini kilimfika FaizaFoxy kwa kumbeza huyu Mzee au yule Mzee Mohammed Said!, kwa vile hukijui, na mimi naomba nisikuambie chochote only nakushauri "respect the dead fallen heroes"!. Yakikukuta ya kukuta, usije kujilaumu kuwa hukuambiwa!. "Let the dead heroes rest in peace"!.

P.
Ok kabla sijazima computer na kulala ni hivi lets be clear 'FaizaFoxy' yeye na genge lake lote, truth be said at times sioni eye to eye with them regarding their criticism of JKN.

Hila ninapotokea mimi ni kwenye kile ninachokiona it was wrong and I can always defend it bila ya mistari ya kina hao watu uliowataja na ukweli ni kwamba JKN kaboronga in my eyes.

usiku mwema, wacha wenine waendelee na membe au kama ni kitendawili wakitegeue.
 
are you serious? check my record against anybody's halafu uone kama ni "for once".
Si ni kila mtu ana uono wake!, hata kama wewe unajijua umeona mbali kwa mengi, yeye kwa uono wake, this is for once! tena unab ahati sana hii once ni angalau kwa vile sasa umemuona nanii, vinginevyo ungekuwa "not even once umewahi kuona mbali"!. Shukuru kwa kidogo ili uweze kupata kikubwa!.
P.
 
Si ni kila mtu ana uono wake!, hata kama wewe unajijua umeona mbali kwa mengi, yeye kwa uono wake, this is for once! tena unab ahati sana hii once ni angalau kwa vile sasa umemuona nanii, vinginevyo ungekuwa "not even once umewahi kuona mbali"!. Shukuru kwa kidogo ili uweze kupata kikubwa!.
P.

Well.. kuna shukrani nyingine wanatakiwa washukuru wajinga.
 
mwaka 1995 nilisikia watu wakisema Mkapa anafaa kuwa rais kwa sababu alishahudumu waziri wa mambo ya nje.Mkapa alipoingia madarakani alimteua kikwete kuwa waziri wa mambo ya nje,wengi wakaamini kuwa ilikuwa ni namna ya kumwaandaa akubalike kuwa rais,Kikwete naye amemteua Membe kuwa waziri wa mambo ya nje na kuna fununu kuwa Membe anataka urais.Je,historia hii inaendelea au itabadilika?
Ifike wakati tuwafikirie viongozi wanaofaa kuwa rais kwa uwezo wao na uadilifu na wala sio kwa kigezo tu cha "anaonekana kulindwa na mlolongo mkubwa wa kashfa mbalimbali".
 
Kosa tulilofanya 2005 kumchagua Kikwete kwa vigezi feki (e.g ni chaguo la Mungu )limetugharimu na litaendelea kutugharimu kwa miaka mingi ijayo. Membe ni nakala halisi ya JK, na kama alivyo JK, hana lolote atakalotusaidia zaidi ya kutuongezea umaskini. Hata hivyo, taarifa ni kwamba mwanakijiji na membe ni ndugu.

God works in mysterious ways. If JK had been such a good leader, Tanzanians would have forgotten to demand a new constitution.
 
Nguruvi3,
Watuhawajifunzi kutokana na makosa. Mwaka 1995 NCCR mageuzi ilikuwa moto sanaikisheheni wanachama, personalities n.k. Mikutano ikijaa mashariki hadimagharibi, kaskazini hadi kusini. Postmorterm ya uchaguzi ilionyesha kuwawakati NCCR wakijipanga katika nafasi za uwaziri n.k. CCM ilikuwa bize hukovijijini na ndiko walikopata ushindi.

Mimi nadhani Chadema wapo katika hali ya kutoamini wanacho shuhudia mbele yao i.e. umaarufu; badowapo katika hali ya mshangao juu ya mwitikio wa UMMA kwa chama chao; Vinginevyo upo sahihi kwamba yale yale ya NCCR na personalities ndio haya haya ya chadema leo hii. NCCR ilikuwa na kina Bagenda, Kaborou, Mrema, Marando, …big names, naleo Chadema ina majina makubwa kwa mtindo ule ule; Vile vile mtaji mkubwa kwaNCCR 1995 ilikuwa ni personality ya mgombea Urais – Mrema, hasa suala alilokuwa analisimamia – UFISADI; Leo hii Chadema ina big personalities, hasa Dr. Slaaambae Umma unamwamini kwamba ni mpambanaji wa kweli wa vita dhidi ya ufisadi;sikatai hili lakini agenda ya Chadema towards 2015 bado ipo too narrow;

Chadema hawaonekani kujifunza kutokana na hayo. Tulidhani operesheni Sangara na M4Cvingebadilisha mtazamo wa kisiasa, badala yake tunaona mbio za kugombea nakuendelea kuugawa umma.

Kimsingi naelewa hoja yako,lakini kwa mtazamo wako, unadhani nini kinaendelea na sakata lote la sasa laZitto na Urais 2015? Kuna anything behind his candidacy that's not good for theparty? Pia je, unadhani muda gani ndio mzuri kwa chadema kuanza kuonyesha nani atakuwa ndio chaguo lao 2015? Kuwahi kumweka wazi mgombea kuna faida na hasaragani na kuchelewa pia kuna faida na hasara gani? And whaty do you think of Lissu's candidacy? Namtaja Lissu kwa sababu angalau naweza kujenga hoja kwanininadhani anaweza kuwa chaguo zuri la Chadema kwani masuala anayosimamia mengi yapo wazi, hivyo jina la Lissu goes beyong Personalities, and already linaendana na ISSUES; so does Dr. Slaa ingawa Umri unamtupa mkono; Zitto bado nivigumu sana kuelewa anasimamia nini, ingawa Zitto wa 2005 – 2009 was outstanding;

Kwa sasa chama kama CUFwanajua wazi kuwa hawana uwezo na wamepoteza imani ya kupewa dola. Wanachokifanyani kutaka kubaki na kitu ili waendelee kuwemo ndani ya ndoa. Kwa kufanya hivyowatagawa kura za Chadema siyo CCM. Mgawanyiko wowote ndani ya CDM utakiumizachama sana kwasababu 'maadui; sasa ni zaidi ya mmoja.

Mimi nadhani kazi yaCUF ilikuwa ni ukombozi wa Zanzibar na kazi hiyo imekamilika, ndio maana CUFwapo very lenient to CCM's policies; isitoshe, ndoa baina ya bara na znzkisiasa sio kitu kigeni kwani hata CCM ni ndoa iliyopo baina ya ASP na TANU, na tufahamu pia kwamba just as elements za TANU bado zipo bara, vile vile elements za ASP na vyama vingine vilivyozaa ASP bado zipo Znz; Muhimu zaidi ni kwamba wakati ndugu zetu wa Znz walipata uhuru wao on the streets kupitia mapinduzi ya UMMA, sisi Tanganyika tulikabidhiwa uhuru wetu tukiwa tumevaa suti kwenye boardroom huko London;

Wakati wenzetu wa znz wanajipanga kuunda katiba na mfumo mbadala na ule wa kisultani hivyo ku – enjoy matunda ya mapinduzi yao, mara ukaja muungano ya baina ya nchi yao na Tanganyika, muungano ambao haukupata ridhaa ya wananchi; natoka nje ya mada lakini hoja yangu ya msingi hapa ni kwamba CUF imekamilisha kazi yake ya Ukombozi kama TANU ilivyofanikisha kazi yake ya Ukombozi waTanganyika 1961;

CUF itaendelea ku enjoy popularity ZNZ lakini sio kwa muda mrefu kwani vyama vyote vya ukombozi ndani ya ukoloni mamboleo huishiwa agenda, hivyo tutegemee Chadema nyingine ikizaliwa ZNZ na pole pole kukitokomeza CUF katika political graveyard ya siasa za visiwani;
Mchambuzi, watu hawakumbuki kuwa baada ya 1995 CCM walipeleka haraka mswada wa 'winner takesall'' na ndiyo bakora iliyowamaliza CUF hadi kuuingia katika ndoa ya mkeka.
Mara zote CCM ilikuwa ina mahesabu ya 50.001%na kuibuka kidedea. Bakora hiyo sijui kama itawanusuru CDM.…Tume ya uchaguzi nayoni mtego mwingine usioonekana.

Kwa mtazamo wako, Chadema kulifumbia macho suala la Kanuni ya Mshindi ni Mshindi ni kwa makusudi au kwa kupitiwa? Inapotokea kiongozi wa juu wa Chadema kama Mbowe ambae ni Mwenyekiti kutamka hadharani kwamba Iwapo CCM itashinda 2015, basi atajiuzulu Siasa, does he take into account of this problem ya kanuni pamoja na repercussionzake 2015?
Kinachoshangaza katika siasa zetu ni hili jambo la kutaja majina bila kuwa supporting data,evidence etc.
…Bado tumejikita katikakutafuta viongozi kwa kuangalia majina tena hata yale machafu yanayomlazimushetani kuona aibu yakitajwa

Kwa vile kwetu Urais wanchi unazingatia vigezo kama vile mvuto wa sura na patronage badala ya masuala yanayo simamiwa na wagombea, ndio maana mvuto wa UMMA kwa ma-rais utaendelea kuwa ni wa muda mfupi kwani suala la sura, patronage, havina longevity in politics tofauti na ISSUES zinazo simamiwa na ma-rais husika; Tusishangae Rais ajae akaanza kuchokwa na UMMA by 2017 na watanzania wakianza kujadili Rais mpyakwa kipindi cha miaka nane itakayobakia; Pengine mtandao umefanya nafasi ya Rais ionekane kama ni jambo la kawaida sana kwa mtu yoyote maarufu kuweza kulishinda; In other words, Urais unazidi kuwa ni u-celebrity tu kama Jumanature, marehemu Kanumba n.k;
Tumekuwasensitive kwa majina zaidi ya mkakati,thread hii wala haikulenga majinaukiisoma kwa makini ina mantiki zaidi iliyokusudiwa na pale chini kuna neno ''nikweli''?
neno ni kweli limeachwakatika mjadala sasa ni majina na wala si mikakati ya kupata kiongozi bora.Elimu ya umma inahitajika sana!

Nakubaliana na wewe; Sidhani Mzee Mwanakijiji anaweza kuleta mada anayojengea hoja ndani yake kwamba Membe, Sitta, Lowassa wote hawafai wiki kadhaa zilizopota, halafu leo hii ajena mada ya kumuunga mkono Membe; Tatizo ni kwamba washiriki humu hawajaelewa mantiki nzima ya mjadala huu, lakini ni kawaida yetu watanzania kutafuta kwakila njia upenyo wa kumkosoa mwenzako kuliko kuangalia mawazo yake from an objective point of view;
Mwanakijiji anakuja nahypothetical statement kwamba:
CCMikimsimamisha Membe kama mgombea wake inaweza kuwa na nafasi ya kushinda tenakiti cha Urais; wakimsimamisha mtu mwingine yeyote itakuwa ni mwisho wa utawalawa CCM.
Na based on how he has presented it, its obvious kwamba it is up for us to determine the truth in this statement or falsify the statement – KWA HOJA; lakini the way mada inavyokuwa treated na baadhi yetu humu ni kama vile Mwanakijiji ameshaweka wazikwamba Membe ndio chaguo sahihi la CCM;

All that said and done, mtazamo wangu juu yamada hii ni ule ule kwamba so far, haijalishi nani anasimamishwa na CCM, in my view, yoyote yule atashinda, unless Siasa zetu zianze kujikita zaidi na ISSUES kuliko Personalities, lakini muhimu zaidi, Supremacy ihame from Political Parties(ambapo CCM ndio ina enjoy the supremacy huku CDM ikiwa very close), na badala yake supremacy hii ihamie kwa wananchi; hapa ndipo hoja ako kuhusu umuhimu waelimu ya Uraia Comes Handy;
 
Mchambuzi ndiyo maana tumekuwa tunakemea mambo ya kufanya siasa ''unilaterally'.

Watu hawajifunzi kutokana na makosa. Mwaka 1995 NCCR mageuzi ilikuwa moto sana ikisheheni wanachama, personalities n.k. Mikutano ikijaa mashariki hadi magharibi, kaskazini hadi kusini. Postmorterm ya uchaguzi ilionyesha kuwa wakati NCCR wakijipanga katika nafasi za uwaziri n.k. CCM ilikuwa bize huko vijijini na ndiko walikopata ushindi.

Chadema hawaonekani kujifunza kutokana na hayo. Tulidhani operesheni Sangara na M4C vingebadilisha mtazamo wa kisiasa, badala yake tunaona mbio za kugombea na kuendelea kuugawa umma.

Kwa sasa chama kama CUF wanajua wazi kuwa hawana uwezo na wamepoteza imani ya kupewa dola.
Wanachokifanya ni kutaka kubaki na kitu ili waendelee kuwemo ndani ya ndoa.
Kwa kufanya hivyo watagawa kura za Chadema siyo CCM.
Mgawanyiko wowote ndani ya CDM utakiumiza chama sana kwasababu 'maadui; sasa ni zaidi ya mmoja.

Mchambuzi, watu hawakumbuki kuwa baada ya 1995 CCM walipeleka haraka mswada wa 'winner takes all'' na ndiyo bakora iliyowamaliza CUF hadi kuuingia katika ndoa ya mkeka.
Mara zote CCM ilikuwa ina mahesabu ya 50.001% na kuibuka kidedea. Bakora hiyo sijui kama itawanusuru CDM.

Mchakato walioukabali CDM unaendelea, na wao wamekaa pembeni bila kutoa maoni. Wamekaa pembeni wakati CCM ikifanya vitu vyao. Hili jambo unalozungumzia siyo popular miongoni mwa wengi, muhimu ni ukweli usemwe bila kuvikana vilemba vya ukoka.
Tume ya uchaguzi nayo ni mtego mwingine usioonekana.

Kinachoshangaza katika siasa zetu ni hili jambo la kutaja majina bila kuwa supporting data, evidence etc.
Makosa hayo yamefanyika miaka 7 iliyopita.
Wakati wenzetu jirani wakikimbia sisi tumebaki kusikia hadithi hakuna lolote la maana, nchi imekwama!
Bado tumejikita katika kutafuta viongozi kwa kuangalia majina tena hata yale machafu yanayomlazimu shetani kuona aibu yakitajwa

Tumekuwa sensitive kwa majina zaidi ya mkakati,thread hii wala haikulenga majina ukiisoma kwa makini ina mantiki zaidi iliyokusudiwa na pale chini kuna neno ''ni kweli''?
neno ni kweli limeachwa katika mjadala sasa ni majina na wala si mikakati ya kupata kiongozi bora.
Elimu ya umma inahitajika sana!

Hapo kwenye red, hakika ndilo anguko la CDM kama hawatachukua hatua mapema. Power struggles ambayo inasemekana haipo kihivyo isipokuwa kuna watu kadhaa wanaibuka na kuishikia kidedea ili kupunguza kasi ya operesheni za chama ndiyo itaipa CCM ushindi.

Kuna mtu alinidokeza kuwa, baadhi ya viongozi wa CDM ni mawakala wazuri sana wa ushindi wa CCM mwaka 2015 na moja ya kazi wanayofanya ni kukatisha tamaa movement kama za M4C, Vua gamba vaa gwanda nk ambazo zinaonekana kukipa nguvu chama vijijini na kubadili mitizamo ya wananchi wengi kuhusu upinzani.

Inasemekana njia zinazotumika ni za kuendelea kujenga taswira ya makundi ndani ya CDM hata kama hayapo, kuijengea CDM sura ya chama cha vurugu na kwamba ni chama cha Wagombania madaraka. Aidha CUF nayo inatembea na mkataba wake na CCM wa kuishambulia CDM kwa nguvu zote. Taarifa ni kuwa, karibu vyama vyote vya upinzani vitafanya kazi ya kuishambulia CDM maana havina cha kupoteza.
 
Mchambuzi;4752707]Nguruvi3, Kimsingi naelewa hoja yako,lakini kwa mtazamo wako, unadhani nini kinaendelea na sakata lote la sasa laZitto na Urais 2015? Kuna anything behind his candidacy that's not good for theparty? Pia je, unadhani muda gani ndio mzuri kwa chadema kuanza kuonyesha nani atakuwa ndio chaguo lao 2015? Kuwahi kumweka wazi mgombea kuna faida na hasaragani na kuchelewa pia kuna faida na hasara gani? And whaty do you think of Lissu's candidacy? Namtaja Lissu kwa sababu angalau naweza kujenga hoja kwanininadhani anaweza kuwa chaguo zuri la Chadema kwani masuala anayosimamia mengi yapo wazi, hivyo jina la Lissu goes beyong Personalities, and already linaendana na ISSUES; so does Dr. Slaa ingawa Umri unamtupa mkono; Zitto bado nivigumu sana kuelewa anasimamia nini, ingawa Zitto wa 2005 – 2009 was outstanding
Ukirejea matukio ya nyuma utaona kuna 'grudge' kuhusiana na mambo ya uongozi.Kwa bahati mbaya 'grudge' haikujengeka katika siasa bali imehusisha mambo nje ya hapo. Nadhani unakumbuka Kafulila na kauli zake alipojitoa. Something behind? the answer is yes, and it's big enough to destabilize the party.
Vijana are the heart of the party, once stop pulsating or pulsating erratically, the party is in big trouble.

Kazi kubwa ya CDM ni kuimarisha chama na kuandaa mazingira ya ushindi. Hakuna muda kamili but there is a reasonable time ya kujitangaza. Uchaguzi ni mwaka 2015, pengine hadi mwaka mmoja kabla tungeweza kusikia wakaijitokeza. Maandalizi si kitu kibaya lakini yasifikie mahali yanapunguza nguvu za chama.
Hatari ya kutangaza mapema ni kutoa nafasi za mgawanyiko kabla ya ujenzi wa chama, na kuwaweka wagombea katika mazingira ya kufitinishwa, kuhujumiwa n.k. Nadhani unaona fitna zinavyopaliliwa hata hapa JF.
Kwa mtazamo wako, Chadema kulifumbia macho suala la Kanuni ya Mshindi ni Mshindi ni kwa makusudi au kwa kupitiwa? Inapotokea kiongozi wa juu wa Chadema kama Mbowe ambae ni Mwenyekiti kutamka hadharani kwamba Iwapo CCM itashinda 2015, basi atajiuzulu Siasa, does he take into account of this problem ya kanuni pamoja na repercussionzake 2015?
CDM wamekumbwa na mafuriko ya umma na hii imewachukua with suprise!Wamejisahau kuwa kule kusimamia kwao hoja ndiko kuliwapa umaarufu na kujenga imani kwa wananchi. Wanadhani kuwa wao sasa wanaweza kusimama na CCM kama mbadala wa serikali na hivyo wameanza kubadilika.

Hawausikilizi umma kama ilivyokuwa zamani bali kujifungia katika maofisi na mikutano. Zamani walikuwa hapa siku hizi wanasoma tu, one way traffic na si two way! Hawakusikiliza umma wakati wa katiba wakaenda Ikulu na sasa wanashindwa watauambije umma.

Hili la kutoangalia katiba ni matokeo ya kuwa na harakati 'solo' na kutokuwa na mkakati wa pamoja. Kitu wasichokubali na kitachowagharimu ni kuwa kuna power struggle, kuna tension inajijenga hasa katika kundi la vijana. Najua ni 'ngumu kumesa' lakini spedi iwe spedi na si kijiko kikubwa!

Kama si uroho na tamaa, baada ya kazi ya kukijenga chama kufikia japo 80%, ungeshangaa kuona umma ukiwa na mgongano mzuri wa nani abebe bendera. Hapo ndipo wangegonganisha the best vichwa wawe na the best candidate.
Kiongozi mzuri na anyekubalika anatokana na umma na mara nyingi hajitambui ila umma ndio utakaomtambua
Mwanakijiji anakuja nahypothetical statement kwamba:
Na based on how he has presented it, its obvious kwamba it is up for us to determine the truth in this statement or falsify the statement – KWA HOJA; lakini the way mada inavyokuwa treated na baadhi yetu humu ni kama vile Mwanakijiji ameshaweka wazikwamba Membe ndio chaguo sahihi la CCM;
All that said and done, mtazamo wangu juu yamada hii ni ule ule kwamba so far, haijalishi nani anasimamishwa na CCM, in my view, yoyote yule atashinda, unless Siasa zetu zianze kujikita zaidi na ISSUES kuliko Personalities
Ukisoma mada halafu usipoona neno 'ni kweli'? kuna pointi inakosekana. Kwa mtazamo wangu hoja yake ipo katika sehemu mbili.
(mtazamo wangu). 1. Fuatilia kauli ya Membe kuwa na muda wa kujiandaa kuwa best candidate in two years halafu unganisha na matukio ya wiki hii yanayomhusu Membe.
2. Kwamba hata kama mafisadi hawatapeta na akatokea Mwana CCM mwingine, je CCM bado itakuwa ni chaguo la wananchi? Kwamba nini kitakuwa kimebadilika, sura au sera? na je tatizo letu ni mtu au chama?
 
Nadhani Mzee Mwanakijiji amewalinganisha kwa "usafi" Lowassa na Membe na amefikia hitimisho kwamba kama hoja ni CCM kuchagua mtu safi basi kwa kigezo cha usafi wa Ki- CCM basi mtu huyo ni Membe kwani ni yeye ambaye anaweza kuwa "safi" kwani kwa mtazamo wa Mzee Mwanakijiji Lowassa amechafuka na hawezi kuwa Mgombea atakayeweza kushindana na mikiki ya Kampeni kwani Umma wa Tanzania wanaamini kwamba yeye si msafi na ni FIsadi MKubwa au Papa kama anavyopenda kusema Prof: Lipumba au mzee Mengi.

Mzee Mwanakijiji hajasema kwamba Membe anafaa kuwa Rais bali anafaa kuwa Mgombea Urais kupitia CCM kuliko wenzie wote wanaotajwa. Kama kushinda au kushindwa hilo ni suala jingine kabisa linalohitaji mjadala wake!!

Ni kweli, umemtendea haki mwanakijiji. Andiko lake lilimaanisha ulichoandika. Hata hivyo, ccm wafanye wafanyavyo, walete kijana, mzee, mwanamke nk haitasaidia - Hawatashinda kihalali. Njia pekee ya ccm kushinda kama tutaacha unafiki ni kwa kuiba kura au kutumia dola kuisambaratisha chadema - no more.
 
Ni kweli, Hata ccm wafanye wafanyavyo, walete kijana, mzee, mwanamke nk haitasaidia - Hawatashinda kihalali. Njia pekee ya ccm kushinda kama tutaacha unafiki ni kwa kuiba kura au kutumia dola kuisambaratisha chadema - no more.
Mkuu Aweda, it good to "hope for the best" kwa hayo unayoamini, ila nakushauri, "keep prepared for the worst!"
hatutaki tena watu waje wasuse tena 2015!, jipangeni kisasawa kusheherekea ushindi hiyo 2015!, ila pia jitayarisheni na kwa vilio na kukubali matokeo "halali" na sio lazima yawe ndio matokeo "halisi"!.

Pasco.
 
Mwanakijiji bado una imani na CCM? Kweli u mvumilivu na bila shaka utakula mbivu!!! Day in day out the same old story of theMAGAMBAS who pretend to be impeccable. Historia imeonyesha kila MAGAMBA achukuae madaraka ya Urais baada ya Baba wa Taifa anakuja na vituko vya kuudhi kuliko mwingine. Sisi wengine si wavumilivu sana tunataka mabadiliko potelea pote hata kama ni mbichi zitaiva tu maradi ziwe zimekomaa.

Kama mko serious na mnataka kumaliza mchezo mpeni nchi mwakyembe
 
Humu kinachogomba ni ushabiki wa kisiasa na propaganda kwa maslahi binafsi. Mnaomkosoa Membe mna hoja gani? Anaweza kuwa na maamuzi sasa kwa nafasi yake zaidi ya Rais? Lete kashfa zake tuzijue na tuzijadiri kisha tuseme haifai au anafaa badala ya mambo ya jumla jumla. Tunajua Lowassa ni mtuhumiwa mkuu wa Richmond pia uadirifu wake umejaa makovu. Nyerere alisema mwaka 1995 na kweli alipopewa uwaziri mkuu tulishuhudia wenyewe kuwa huyu ni mlafi wa raslimali zetu. Bora Membe kuliko aliye na utajiri ambao chanzo chake hakieleweki.
 
Mtazamo wangu juu ya Mh. Membe kama chaguo la ccm kwa nafasi ya Urais-2015 nilishautoa hapa toka 27th December 2011 13:56:

Mkuu Omutwale,
Asante kwa kutupa kumbukumbu hii, nadhani imekuja kipindi muafaka ambapo dalili za homa ya 2015 zimeanza kuonekana japokuwa ni mapema sana kuwaza uchaguzi wakati kuna burning issues nyingi zinazohitaji attention.
Mimi simfahamu sana Mh. Membe kiutendaji kwasababu hata wizara aliyopo haitoi nafasi nzuri sana ya yeye kupimwa ufanisi wake. Hata hivyo pia sishawishiki nae kuwa the right candidate kumreplace JK kwasababu ana character nyingi sana za kufanana na JK. Mfano mdogo tu ambao hata wewe umeutoa ni huo undumi lakuwili nikiwa na maana kuwa anapenda kumfurahisha kila mtu au kuonekana mzuri kwa kila mtu kitu ambacho nafasi hiyo haitaki mtu wa namna hiyo. Tukimpa nafasi atataka kufurahisha wananchi na mafisadi mwisho wa siku hataweza kufanya kazi.
Pia nina wasiwasi sana na jinsi na response yake kwenye burning issue sijui wengine mnaonaje lakini huwa namuona na jazba sana kwenye kujibu hoja kama alipokuwa anahojiwa kwenye 45 minutes za ITV, issue ya chenji ya radar, bendera ya wapinzani wa Gadaffi kupepea Dar etc. Sasa nikimweka kwenye upresident na hiyo staili yake naona anapwaya sana.
Mwisho wa siku tutaishia kuwa tunapata maneno mazuri kila siku bila utekelezaji for another 10 years!!!! We will be dead and buried deep down economically.
 
Membe dhaifu hana kitu kabsaaaaaaaaaaaaaaaaaa....mwambien ata viatu vya ubunge hawez kuvivaa...mwanachuo mzalendo
 
Si CCM si CHADEMA C KAFU hakuna mtu wa kuwa rais pale,its beta tukawa bila rais kama sasa hivi na maisha yakaenda,,,,,membe atauweza uraisi wakat kajimbo kake kanamshinda?????

:biggrin1: ulichosema ni kweli kabisa bora tusiwe na mtawala kama sasa
 
Back
Top Bottom