Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,483
- 40,011
- Thread starter
- #201
For once Mwanakijiji umeona mbali!
are you serious? check my record against anybody's halafu uone kama ni "for once".
For once Mwanakijiji umeona mbali!
Ok kabla sijazima computer na kulala ni hivi lets be clear 'FaizaFoxy' yeye na genge lake lote, truth be said at times sioni eye to eye with them regarding their criticism of JKN.Kama baba yako yupo, naye hakusomesha wewe eti kwa vile na yeye hakusomeshwa na baba yake ambaye ndie babu yako!, kumlaumu babu yako marehemu, kwa makosa ya kutomsomesha baba yako, na kujustify ndio sababu ya wewe kutosemeshwa, doesn't help!. Wewe mtoto unatakiwa ubanane na baba yako!, leave your late grand alone!. Umenikumbusha story ya Kalumekenge aliyekataa kwenda shule!.
NB. Kuwalaumu the dead ambao wamefanya makubwa kwa taifa hili genuinely, sio kuwatendea haki!. We live in the present!, let the past be the past!. Kuhusu JKN, mimi huwezi kuniambia chochote nikakuelewa, bora ujilalie zako!.
Angalizo tuu: Tuko kwenye mchakato wa kumtangaza JKN "Mwenye Heri", hivyo nguvu ya ki Mungu iko juu yake!, jiulize ni nini kilimfika FaizaFoxy kwa kumbeza huyu Mzee au yule Mzee Mohammed Said!, kwa vile hukijui, na mimi naomba nisikuambie chochote only nakushauri "respect the dead fallen heroes"!. Yakikukuta ya kukuta, usije kujilaumu kuwa hukuambiwa!. "Let the dead heroes rest in peace"!.
P.
Si ni kila mtu ana uono wake!, hata kama wewe unajijua umeona mbali kwa mengi, yeye kwa uono wake, this is for once! tena unab ahati sana hii once ni angalau kwa vile sasa umemuona nanii, vinginevyo ungekuwa "not even once umewahi kuona mbali"!. Shukuru kwa kidogo ili uweze kupata kikubwa!.are you serious? check my record against anybody's halafu uone kama ni "for once".
Jiangalie yasikukute ya kukuta kubeza "watakatifu"!, anyway, asante kwa nyinye wenzetu kumbe saa hizi ni usiku, huku kwetu ndio tumeamka!, asubuhi njema!.usiku mwema.
Si ni kila mtu ana uono wake!, hata kama wewe unajijua umeona mbali kwa mengi, yeye kwa uono wake, this is for once! tena unab ahati sana hii once ni angalau kwa vile sasa umemuona nanii, vinginevyo ungekuwa "not even once umewahi kuona mbali"!. Shukuru kwa kidogo ili uweze kupata kikubwa!.
P.
Kosa tulilofanya 2005 kumchagua Kikwete kwa vigezi feki (e.g ni chaguo la Mungu )limetugharimu na litaendelea kutugharimu kwa miaka mingi ijayo. Membe ni nakala halisi ya JK, na kama alivyo JK, hana lolote atakalotusaidia zaidi ya kutuongezea umaskini. Hata hivyo, taarifa ni kwamba mwanakijiji na membe ni ndugu.
Watuhawajifunzi kutokana na makosa. Mwaka 1995 NCCR mageuzi ilikuwa moto sanaikisheheni wanachama, personalities n.k. Mikutano ikijaa mashariki hadimagharibi, kaskazini hadi kusini. Postmorterm ya uchaguzi ilionyesha kuwawakati NCCR wakijipanga katika nafasi za uwaziri n.k. CCM ilikuwa bize hukovijijini na ndiko walikopata ushindi.
Chadema hawaonekani kujifunza kutokana na hayo. Tulidhani operesheni Sangara na M4Cvingebadilisha mtazamo wa kisiasa, badala yake tunaona mbio za kugombea nakuendelea kuugawa umma.
Kwa sasa chama kama CUFwanajua wazi kuwa hawana uwezo na wamepoteza imani ya kupewa dola. Wanachokifanyani kutaka kubaki na kitu ili waendelee kuwemo ndani ya ndoa. Kwa kufanya hivyowatagawa kura za Chadema siyo CCM. Mgawanyiko wowote ndani ya CDM utakiumizachama sana kwasababu 'maadui; sasa ni zaidi ya mmoja.
Mchambuzi, watu hawakumbuki kuwa baada ya 1995 CCM walipeleka haraka mswada wa 'winner takesall'' na ndiyo bakora iliyowamaliza CUF hadi kuuingia katika ndoa ya mkeka.
Mara zote CCM ilikuwa ina mahesabu ya 50.001%na kuibuka kidedea. Bakora hiyo sijui kama itawanusuru CDM.…Tume ya uchaguzi nayoni mtego mwingine usioonekana.
Kinachoshangaza katika siasa zetu ni hili jambo la kutaja majina bila kuwa supporting data,evidence etc.
…Bado tumejikita katikakutafuta viongozi kwa kuangalia majina tena hata yale machafu yanayomlazimushetani kuona aibu yakitajwa
Tumekuwasensitive kwa majina zaidi ya mkakati,thread hii wala haikulenga majinaukiisoma kwa makini ina mantiki zaidi iliyokusudiwa na pale chini kuna neno ''nikweli''?
neno ni kweli limeachwakatika mjadala sasa ni majina na wala si mikakati ya kupata kiongozi bora.Elimu ya umma inahitajika sana!
Na based on how he has presented it, its obvious kwamba it is up for us to determine the truth in this statement or falsify the statement – KWA HOJA; lakini the way mada inavyokuwa treated na baadhi yetu humu ni kama vile Mwanakijiji ameshaweka wazikwamba Membe ndio chaguo sahihi la CCM;CCMikimsimamisha Membe kama mgombea wake inaweza kuwa na nafasi ya kushinda tenakiti cha Urais; wakimsimamisha mtu mwingine yeyote itakuwa ni mwisho wa utawalawa CCM.
Mchambuzi ndiyo maana tumekuwa tunakemea mambo ya kufanya siasa ''unilaterally'.
Watu hawajifunzi kutokana na makosa. Mwaka 1995 NCCR mageuzi ilikuwa moto sana ikisheheni wanachama, personalities n.k. Mikutano ikijaa mashariki hadi magharibi, kaskazini hadi kusini. Postmorterm ya uchaguzi ilionyesha kuwa wakati NCCR wakijipanga katika nafasi za uwaziri n.k. CCM ilikuwa bize huko vijijini na ndiko walikopata ushindi.
Chadema hawaonekani kujifunza kutokana na hayo. Tulidhani operesheni Sangara na M4C vingebadilisha mtazamo wa kisiasa, badala yake tunaona mbio za kugombea na kuendelea kuugawa umma.
Kwa sasa chama kama CUF wanajua wazi kuwa hawana uwezo na wamepoteza imani ya kupewa dola.
Wanachokifanya ni kutaka kubaki na kitu ili waendelee kuwemo ndani ya ndoa.
Kwa kufanya hivyo watagawa kura za Chadema siyo CCM.
Mgawanyiko wowote ndani ya CDM utakiumiza chama sana kwasababu 'maadui; sasa ni zaidi ya mmoja.
Mchambuzi, watu hawakumbuki kuwa baada ya 1995 CCM walipeleka haraka mswada wa 'winner takes all'' na ndiyo bakora iliyowamaliza CUF hadi kuuingia katika ndoa ya mkeka.
Mara zote CCM ilikuwa ina mahesabu ya 50.001% na kuibuka kidedea. Bakora hiyo sijui kama itawanusuru CDM.
Mchakato walioukabali CDM unaendelea, na wao wamekaa pembeni bila kutoa maoni. Wamekaa pembeni wakati CCM ikifanya vitu vyao. Hili jambo unalozungumzia siyo popular miongoni mwa wengi, muhimu ni ukweli usemwe bila kuvikana vilemba vya ukoka.
Tume ya uchaguzi nayo ni mtego mwingine usioonekana.
Kinachoshangaza katika siasa zetu ni hili jambo la kutaja majina bila kuwa supporting data, evidence etc.
Makosa hayo yamefanyika miaka 7 iliyopita.
Wakati wenzetu jirani wakikimbia sisi tumebaki kusikia hadithi hakuna lolote la maana, nchi imekwama!
Bado tumejikita katika kutafuta viongozi kwa kuangalia majina tena hata yale machafu yanayomlazimu shetani kuona aibu yakitajwa
Tumekuwa sensitive kwa majina zaidi ya mkakati,thread hii wala haikulenga majina ukiisoma kwa makini ina mantiki zaidi iliyokusudiwa na pale chini kuna neno ''ni kweli''?
neno ni kweli limeachwa katika mjadala sasa ni majina na wala si mikakati ya kupata kiongozi bora.
Elimu ya umma inahitajika sana!
Ukirejea matukio ya nyuma utaona kuna 'grudge' kuhusiana na mambo ya uongozi.Kwa bahati mbaya 'grudge' haikujengeka katika siasa bali imehusisha mambo nje ya hapo. Nadhani unakumbuka Kafulila na kauli zake alipojitoa. Something behind? the answer is yes, and it's big enough to destabilize the party.Mchambuzi;4752707]Nguruvi3, Kimsingi naelewa hoja yako,lakini kwa mtazamo wako, unadhani nini kinaendelea na sakata lote la sasa laZitto na Urais 2015? Kuna anything behind his candidacy that's not good for theparty? Pia je, unadhani muda gani ndio mzuri kwa chadema kuanza kuonyesha nani atakuwa ndio chaguo lao 2015? Kuwahi kumweka wazi mgombea kuna faida na hasaragani na kuchelewa pia kuna faida na hasara gani? And whaty do you think of Lissu's candidacy? Namtaja Lissu kwa sababu angalau naweza kujenga hoja kwanininadhani anaweza kuwa chaguo zuri la Chadema kwani masuala anayosimamia mengi yapo wazi, hivyo jina la Lissu goes beyong Personalities, and already linaendana na ISSUES; so does Dr. Slaa ingawa Umri unamtupa mkono; Zitto bado nivigumu sana kuelewa anasimamia nini, ingawa Zitto wa 2005 – 2009 was outstanding
CDM wamekumbwa na mafuriko ya umma na hii imewachukua with suprise!Wamejisahau kuwa kule kusimamia kwao hoja ndiko kuliwapa umaarufu na kujenga imani kwa wananchi. Wanadhani kuwa wao sasa wanaweza kusimama na CCM kama mbadala wa serikali na hivyo wameanza kubadilika.Kwa mtazamo wako, Chadema kulifumbia macho suala la Kanuni ya Mshindi ni Mshindi ni kwa makusudi au kwa kupitiwa? Inapotokea kiongozi wa juu wa Chadema kama Mbowe ambae ni Mwenyekiti kutamka hadharani kwamba Iwapo CCM itashinda 2015, basi atajiuzulu Siasa, does he take into account of this problem ya kanuni pamoja na repercussionzake 2015?
Ukisoma mada halafu usipoona neno 'ni kweli'? kuna pointi inakosekana. Kwa mtazamo wangu hoja yake ipo katika sehemu mbili.Mwanakijiji anakuja nahypothetical statement kwamba:
Na based on how he has presented it, its obvious kwamba it is up for us to determine the truth in this statement or falsify the statement – KWA HOJA; lakini the way mada inavyokuwa treated na baadhi yetu humu ni kama vile Mwanakijiji ameshaweka wazikwamba Membe ndio chaguo sahihi la CCM;
All that said and done, mtazamo wangu juu yamada hii ni ule ule kwamba so far, haijalishi nani anasimamishwa na CCM, in my view, yoyote yule atashinda, unless Siasa zetu zianze kujikita zaidi na ISSUES kuliko Personalities
Nadhani Mzee Mwanakijiji amewalinganisha kwa "usafi" Lowassa na Membe na amefikia hitimisho kwamba kama hoja ni CCM kuchagua mtu safi basi kwa kigezo cha usafi wa Ki- CCM basi mtu huyo ni Membe kwani ni yeye ambaye anaweza kuwa "safi" kwani kwa mtazamo wa Mzee Mwanakijiji Lowassa amechafuka na hawezi kuwa Mgombea atakayeweza kushindana na mikiki ya Kampeni kwani Umma wa Tanzania wanaamini kwamba yeye si msafi na ni FIsadi MKubwa au Papa kama anavyopenda kusema Prof: Lipumba au mzee Mengi.
Mzee Mwanakijiji hajasema kwamba Membe anafaa kuwa Rais bali anafaa kuwa Mgombea Urais kupitia CCM kuliko wenzie wote wanaotajwa. Kama kushinda au kushindwa hilo ni suala jingine kabisa linalohitaji mjadala wake!!
Mkuu Aweda, it good to "hope for the best" kwa hayo unayoamini, ila nakushauri, "keep prepared for the worst!"Ni kweli, Hata ccm wafanye wafanyavyo, walete kijana, mzee, mwanamke nk haitasaidia - Hawatashinda kihalali. Njia pekee ya ccm kushinda kama tutaacha unafiki ni kwa kuiba kura au kutumia dola kuisambaratisha chadema - no more.
Mwanakijiji bado una imani na CCM? Kweli u mvumilivu na bila shaka utakula mbivu!!! Day in day out the same old story of theMAGAMBAS who pretend to be impeccable. Historia imeonyesha kila MAGAMBA achukuae madaraka ya Urais baada ya Baba wa Taifa anakuja na vituko vya kuudhi kuliko mwingine. Sisi wengine si wavumilivu sana tunataka mabadiliko potelea pote hata kama ni mbichi zitaiva tu maradi ziwe zimekomaa.
Mtazamo wangu juu ya Mh. Membe kama chaguo la ccm kwa nafasi ya Urais-2015 nilishautoa hapa toka 27th December 2011 13:56:
Si CCM si CHADEMA C KAFU hakuna mtu wa kuwa rais pale,its beta tukawa bila rais kama sasa hivi na maisha yakaenda,,,,,membe atauweza uraisi wakat kajimbo kake kanamshinda?????