HOJA MBADALA: Tuhamasishe CCM imsimamishe Membe 2015?

Okay.. mulugo, Karibu JF...
Join Date : 25th October 2012 Posts : 3 Rep Power : 0 Likes Received 0 Likes Given 0
 
Last edited by a moderator:
It is true hana scandal za ufisadi na hajachafuka kama potential candidates wengine wa CCM,jambo moja tu ambalo nina doubt nalo sana ni juu ya msimamo wake dhidi ya ufisadi,hatujawahi kusikia hakikemea rushwa hata siku moja.
 
Ni ukweli Usiopingika kuwa Mhe. Membe ndo Rais Ajaye Tanzania, ndio atamrithi JK maana historia inamlinda kila awaye Waziri Mambo ya Nje ndo Rais Ajaye toka 1995

Umekwisha amka mzee, maana ulipost hii mada ukiwa matingasi saa saba za usiku. Ukiamka ongeza nyama na ushahidi kuhusu msukumo wako wa kuleta mada kisha nijulishe ili nami nichangie. Usisahau supu, kama huna omba kwa Kongosho, King Kong III au madameX.
 
Kaka wana-CCM wamejipanga kumsimamisha Dr. Abdallah Kigoda na si mwingine

Ukiangalia sana kati ya viongozi wengi wa CCM na walioko serrikalini Membe ndiye anayeonekana kuja kuweza kumudu kuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia chama hicho.

Ukimlinganisha na wagombea wengine (hasa Lowassa aliyejiuzulu kwa kashfa) ni Membe tu ambaye anaonekana kulindwa na mlolongo mkubwa wa kashfa mbalimbali na japo - kama nilivyosema wiki kadhaa nyuma - hajajiandaa kuwa Rais ni wazi miaka hii miwili iliyobakia inaweza kumsaidia kujitengenezea na kuwa a true "presidential candidate"

CCM ikimsimamisha Membe kama mgombea wake inaweza kuwa na nafasi ya kushinda tena kiti cha Urais; wakimsimamisha mtu mwingine yeyote itakuwa ni mwisho wa utawala wa CCM.

Ni kweli?
 
Lowasa ndiye pekee ndani ya ccm ambaye anaweza kutumainiwa kidogo na mwenye uwezo wa kusimamia kile anachoamini kama kiongozi(vision). Hakuna mwingine wa kulingana naye ndani ya ccm japo hataweza kushinda kwa CDM 2015.
 
Kama Lowasa ndo Fisadi pekee ndani nchi basi anafaa kuwa Rais wa hii . Nasema anafaa kwa sababu ameweza kupenya kwny wizara zote na taasisi zote tangu utawala wa Mwalimu na kuchota mahela yote na kujilimbikizia! Basi huyu ndo mjanja na viongozi wote wa idara na wizara ni wajinga kwa sababu walikuwa wanamwachia signature za kibenki ili akombe mahela. Dah huyu ni mtu anayeaminika sana ; yani anapewa tu mahela bila hata utaratbu na kwenda kufanya mambo yake! Lowasa ni mtu anayependa pesa kama alivyo ,mtu mwingine yeyote tofauti yake na wengne yeye anapopata anakumbuka kutoa kwa ajili ya kuchangia wengne, hivyo Mungu anambariki zaidi. Taifa hili linahitaji katba mpya na sheria mpya na sio kiongozi mpya asiyependa hela! Asiyependa hela atatutia umaskini kwani atakua anachukia matajiri ! Sheria na katiba mpya zikimpata kiongozi mchapa kazi na anayechukia umaskini kama Lowasa na Magufuli basi tutasonga mbele
. CCM na Lowasa musiwabeze!
 
Mh.mwanakijiji hakika pasipo kumumunya maneno Membe amekutuma,toa hiyo thread.

Kwa nini nasema hivyo mkuu wangu?.
1:Membe hakubaliki ndani ya CCM na hasa wale ambao watakwenda kufanya uchaguzi wa kumpata mgombea kupitia chama hicho,na kama kuna kosa ambalo amelifanya na kutokujipanga kwenye uchaguzi unaomalizika hivi sasa ndani ya chama hicho.

2:Lowasa ni mtu ambaye ni popula sana ndani ya ccm na hata wewe unalijua hilo,na hata kwenye uchaguzi huu unaomalizaika ametengeneza kura nyingi hilo halina ubishi mkuu.

kwa hiyo ka tathmini tu hiyo ya awali nadhani umeona ni namna gani ambavyo Lowassa atamshinda Membe,na nataka nikwambie kwamba hata mimi ukinishindanisha na Membe ndani ya CCM namshinda kwa sababu nina watu ndani yake kuliko yeye.

Naungana na yule aliyesema kwamba wewe ni mfuasi wake na humu umekuja kupima tu upepo,na nina hakika upepo utauona.
 
Back
Top Bottom